Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

ni show ya kina Kala pina, Kalla Jeremaya, Mansul na wengine kibao siku ile ile ya show ya Lady Jay dee na zote zinapigwa promo ya nguvu na Cloulds fm, au ndo yale yale ya mwenye nguvu mpishe na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
"Nadhani baada ya hii, maswali yatapungua kama sio kuisha kabisa...Nafahamu kila mtu anasoma kwa wakati wake pengine hamkuona sababu nilizoelezea kwanini sijatoa waraka mwingine Tar 15 kama...
0 Reactions
103 Replies
11K Views
kuna kipindi waungwana nilisikia kwamba msanii na mwanamuziki Dotnata ni mjamzito. Napenda kuuliza waungwana alijifungua baby gani?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
KUBWA KULIKO ZOTE WEEKEND HII Wacha weeeeeee hii ndio habari ya Dar mitandaoni kwa sasa baada ya la hapo juu mambo yakawa mambo haya sasa jionee Drama in Dar City Hizo...
0 Reactions
132 Replies
33K Views
ABY SYKES ABBY SYKES DULLY SYKES Baba mzazi wa mwanamuziki nyota wa bongo flava nchini Dully Sykes Mzee Sykes hivi karibuni alinaswa na kamera ya Xdeejayz akichambua bangi mikononi...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Huyu mbondei wa muheza mwenye ndoto za kugombea ubunge hapo muheza 2015 kupitia ccm naona anazidi kuchuja hii nyimbo yake ya kama zamani alianza kuipa promo toka mwaka jana mwishon mara...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
SABABU ZA MATONYA KUTOSHIRIKI SHOW YA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE Tetesi zinaweza kuwa za ukweli au pengine zikawa ni story za kujitungiaLakini tetesi zinasema kuwa Matonya alipigiwa simu na...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Hii ni kwa utafiti wangu mdogo kwa nguli huyu wa Hip hop lakini pia akiwa mtunzi na mtayarishaji maarufu wa Muziki bila kusahau ni DJ vile vile. Binafsi sikujua huyu mwadada ameshiriki kuandika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kupitia season mpya ya Clouds Fm, ndani ya 'So so fresh' na DJ Fetty, Mh Halima Mdee (Mbunge wa kwa - CHADEMA) amefunguka juu ya swali aliloulizwa kuhusu story zilizosambaa kuwa anashiriki...
0 Reactions
38 Replies
12K Views
Nimeangalia hii yutybu aisee nimesikitika sana wasanii wa bongo hawana pa kutokea kabisa.....wakiambiwa wagonoe wanagonoa..... MAZUNGUMZO YA MAKUBALIANO YA LINAH NA BARNABA KAMA IFUATAVYO <span...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri Nchimbi ametakiwa kuwakutanisha lady jay dee na Ruge ili wamalize tofauti zao. Hayo yamesemwa na esther bulaya alipokua akichangia. amesema wote wanajenga nyumba moja kwanini wagombanie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
watu wanataka Jide aachiwe wateja "bure bure",mi nahitaji apambane vilivyo kwani ndo biashara inavyotaka iwe...Wanamuziki wooote wafanye maonyesho yao siku hiyo it doesn't matter to me ila kwa...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
kutokana na sakata na claus kumekuwepo na uzushi baadhi ya blogs kuwa channel five hawatarusha pia kipindi cha lady jay dee..na kutopigwa nyimbo zake...katika kituo hiki.... leo mkurugenzi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo kwenye XXL ya clouds nimemsikia mwana FA akitangaza shoo yake itakayofanyika trh 31 maeneo ya makumbusho kwa kumbukumbu zangu siku hiyo nayo Ladyjdee atafanya shoo yake nyumbani lounge ya...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Wazee wa anti-virus watakwepo bungeni. Ila hawajaeleza ni kwasababu gani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni nchini Congo on ziara yake ya music..akiwa kwenye msafara uliokuwa ukilindwa na maaskari na wanajeshi wa nchi hiyo ili tu diamond asipate madhara yoyote toka kwa umati mkubwa wa watu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
ANTiVIRUS DAWA YA Virus WA Hiphop in Tanzania WARAKA NAMBA 1(ZIPO 88) KILA WIKI UTAPATA WARAKA MMOJA Ni wazi na dhahiri kabisa kesi iliofunguliwa mahakamani dhidi ya Lady JayDee haina maana...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
msanii aliyejishindia tuzo kibao ,alitamba na muv kibao kama vile salt,ameondolewa matiti yake yote mawili kumuepusha na cancer,julie mwenye watoto sita pia ameondolewa kizazi chake huku mumewe...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wahusika hapo juu yaani gary(maraclara) na andrew(second chance) wote wameigiza role moja kwenye tamthilia hizo tofauti kila mmoja amejaribu kuvaa uhusika vilivyo huku visa vya vyao wote...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom