D decruca JF-Expert Member Joined Jun 18, 2012 Posts 295 Reaction score 75 May 23, 2013 #1 kuna kipindi waungwana nilisikia kwamba msanii na mwanamuziki Dotnata ni mjamzito. Napenda kuuliza waungwana alijifungua baby gani?
kuna kipindi waungwana nilisikia kwamba msanii na mwanamuziki Dotnata ni mjamzito. Napenda kuuliza waungwana alijifungua baby gani?
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 May 24, 2013 #2 Ili iweje
Ragnar Fluke JF-Expert Member Joined May 22, 2012 Posts 374 Reaction score 118 May 24, 2013 #3 Nkupe namba zake....?
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,233 Reaction score 26,753 May 24, 2013 #4 habari za mimba hukutuambia, uje kutuuliza kujifungua kwake........?
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,612 Reaction score 18,998 May 24, 2013 #5 mambo gani haya...?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,839 Reaction score 74,919 May 24, 2013 #6 Mpeni Chai kwenye Kombe la bati.