figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,737
- 62,991
Waziri Nchimbi ametakiwa kuwakutanisha lady jay dee na Ruge ili wamalize tofauti zao. Hayo yamesemwa na esther bulaya alipokua akichangia. amesema wote wanajenga nyumba moja kwanini wagombanie fito?. mia