Habari wadau,
Nimeweka hii thread huku kwasababu najua watu wengi wa media wanapita hapa.
Kifupi nina ideas za vipindi vipya vya tv sio vya kukopi nimebuni mwenyewe.
Tuwasiliane kwa...
Naomba leo nimuwahi heaven on desert
Baada ya tukio la moto la leo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA jijini Nairobi, Kenya, lililosababisha uwanja huo kufungwa kwa...
Hii Ndio Post Yake kwenye Instagram Ya Star Wa Single Mpya 'Tupogo' Ommy Dimpoz Kuhusu Kupima HIV Na Kuamua Kuto Uza au Kununua Mechi Tena.
Kwenye Interview ya simu niliyo fanya nae leo, Ommy...
Naomba kwanza nikili kuwa mimi si mshabiki sana wa nyimbo nyingi za kisasa (Bongo Flava) kama ilivyo kwa miziki ya wazee sugu japokuwa zipo baadhi ya tungo ambazo zimesheheni ujumbe maalumu katika...
MWIGIZAJI wa filamu Flora Festo Mvungi ‘Khadija' amedai kuwa amebadili dini kutoka Ukristu na kuwa Muislamu kwa mapenzi yake mwenyewe kufuatia chimbuko la familia yake upande wa mama yake...
Kwenye Exclusive interview na millardayo.com Madee amehadithia kila kitu kilichomtokea wakati anaingia tu Afrika Kusini siku kadhaa zilizopita ambapo hii imetokea kutokana na ukubwa wa habari...
KIKWETE NA B12 WA CLODS MEDIA..
P FUNK,SALMA KIKWETE NA LAMAR
SALMA KIKWETE NA WASANII WA KIKE..
SALMA KIKWETE NA WASANII WA KIKE..
KIKWETE NA SHILOLE..
KIKWETE NA ABDU KIBA NA ALLY...
Mwakilishi wa Tanzania,Dada yetu Feza Kessy muda huu katika jumba la BBA anaonekana akishikwashikwa, analiwa mate na anagugumia kuwa raha zinamzidia, muda wote camera za jumba hilo zikiwamulika...
Akiongea katika kituo cha EATV kupitia kipindi cha Planet Bongo msanii bongo flava Ben Paul amesema ni kweli amecopy wimbo ya The Script Ft Will.i.am ''hall of Fame na kupelekea kutunga wimbo wa...
Baada ya tetesi kuvuma kama moto wa kifuu kuhusu ishu ya Agnes Gelard,maarufu kama Agnes Masogange kukamatwa na madawa ya kulevya nchini Africa Kusini,yeye mwenyewe kaibuka kwenye mtandao wa...
WARAKA WA BABU MSEMA OVYO (C.T.U)
Ewe ndugu yangu mzee wa BAMAGA kwaza pole sana kwa swaumu mwezi huu mtukufu wa ramadhani swaumu hii kali kweli kweli kwani mie midomo hapa imenikauka japokuwa...
July 28, 2013
After tonight's Evictions that saw Annabel and Sulu being given the boot, Big Brother then gathered all of the Housemates in the living room.
Today Big Brother reproached Nando for...
Mwakilishi toka Tanzania kwenye shindano la big brother afrika,Nando jana usiku alikuwa kwenye ugomvi mkali na
mshiriki toka ghana elikem,niliukuta katikati sijajua chanzo lakini nimeyasikia...
WANAWAKE wengi nchini wameshika vyeo mbalimbali vya juu serikali au kwenye taasisi binafsi. Wafuatao ni wanawake 10 ambao wanakalia au wamekalia vyeo hivyo hapa nchini kama walivyomulikwa na C.T.U...
Wakuu si mara ya kwanza kuweka wazi hili,naomba nirudie tena kusema kuwa Wema nampenda,kwani nimekuwa nikimtumia ujumbe kwenye akaunt yake ya facebook na baruapepe yake bila mafanikio(bila majibu)...