Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kwa uku kwetu bongo ukimuuliza mr blue msanii anayemkubali pande za obama atakwambia ni JAYZEE,na angetamani siku moja awe kama yeye au hata kuimba nae tu(japokuwa ni ndoto),wema sepetu atakwambia...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
habari wana jf, Jijini Dsm kuna mengi ndugu zangu, mi nimejitokea zangu mwanza, najisemesha nina kipaji kwenye sanaa ya uigizaji! Nimeishia kuingizwa mjini na huyu mama wa buguruni (ana kundi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mara nyingi huwa najiuliza sababu ya wasanii wa kike kushindwa kufanya vizuri katika muziki wa hapa nyumbani almaarufu kama Bongo Flava. Wasanii wengi wa kike wamekuwa wakiibuka na kupotea, ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wapenzi nn mashabik wa music wa Tanzania mjini Guangzhou China....for the first time. WCB president,Diamond weekend ijayo atakuwa na maonyesho ya music mjini humo. Tarehe na detail zingne...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Sijui ni kwangu tu,naona kama wananiboa,mfano kuna movies za mzee majuto kuna jamaa anajiita zumbekuku,kuna movie nyingine ya "garage" anajiita chilisosi. Wapo wengi sijui ndo sauti zao halisi au...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Diamond akiwa na Wema na binamu yake aitwae Romeo Kuna sababu zaidi ya 100 kuwa ‘ile inayoitwa’ movie ya Diamond na Wema Sepetu iliyopewa jina na Diamond, ‘Temptations’ haipo na kama...
0 Reactions
94 Replies
15K Views
Nawazungumzia Judith Wambura Mbibo au Lady Jaydee (ANACONDA) na Naseeb Abdul au Diamond (MNYAMA),kwa sasa ukitaka kutaja jina la mwanamuziki bora wa kiume basi listi itaongozwa na bwana mdogo...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Yaani kuna nyimbo moja ambayo Jidee anaimba," yote mliosema" kuna melodi ambazo Diamond kaiga zote,kaweka kwenye wimbo wake wa my no one! Ha kumbe ukubwa dawa!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
toa maon yako kuhusu hii segment ndan ya XXL.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Closed
Jumamosi tarehe 26/01/2013 nikiwa ofisini mida ya saa mbili usiku mie na jamaa zangu tukisubiri kusikiliza taarifa ya habari (StarTv) jamaa yetu mmoja akingia na watu watatu (mwanamke mmoja)...
7 Reactions
175 Replies
25K Views
Haka ka binti kametengenezwa vilivyo; yaani ni kakali. Kwa mastaa wa kibongo bado sijaona zaidi ya hapa.
0 Reactions
97 Replies
31K Views
Wadau wa movie vipi jamani...captain phillips ya tom hanks ishaanza kuoneshwa theatre....mwenye info atuambie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mshindi wa redds miss Tanzania 2013 ametangazwa muda huu ni Happiness Watimanywa toka Dodoma
1 Reactions
102 Replies
16K Views
Anaitwa Asha Jumbe,ila jina la movie aliyowahi kucheza na marehemu kanumba inayojulikana kama WHITE MARIA,ilimpaisha zaidi huyo bidada kwani alicheza kwa kiwango cha hali ya juu sana,ni kabinti...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari zenu wanajamvi,naomba kuuliza kuhusu huyu mtu anayejulikana kwa jina hilo tajwa,ni nani hapa mjini?ni celebrite? mwenye cv yake anisaidie, pia mwenye picha yake anisaidie niweze...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
kama tunavyojua juzi 2 hapa ilikua ni birthday ya wema ambapo alikua hong kong but badae bwana mdogo da president himself diamond platnumz akamjoin kutokea malaysia adi hong kong kama birthday...
3 Reactions
33 Replies
14K Views
To download the song and for more info ingia hapa! http://millardayo.com/diamond10/
1 Reactions
25 Replies
10K Views
MSANII WA BONGO MOVIE AVULIWA ZOTE NCHINI CHINA NA KUFANYIWA UPEKUZI;ALALAMIKA KUTOMASWA KIMAHABA WAKATI WA KUMKAGUA MSANII wa Bongo Movie, Devota Mbaga hivi karibuni alipatwa na kisanga cha...
0 Reactions
37 Replies
15K Views
hehehehe sijawahi kuona msanii kaanguka U.S.A kama show za B.E.T au sijui majukwaa yao yapoje. sijui snura alilewa kiasi kwamba akashindwa kujicontrol lol!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Staminah ft Rich Mavoko - Kabwela nimepigwa msumari wa kichwa mwili unangoja kaburi maisha yamenipiga picha nega zimetoka vivuli dunia tambala bovu nalidekia kwa shida jitahidi kui'solve bila...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…