TAARIFA KWA UMMA
Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya wananchi kupata taarifa na kutoa maoni, tulitii agizo hilo hadi huduma ziliporejeshwa Desemba 06, 2025.
Tangu kurejeshwa, tumepokea taarifa kutoka kwa watumiaji wetu wa Tanzania kuwa kuanzia Desemba 7...