Askofu Pisa amesema kuwa haitaruhusiwa kwa mtawa yeyote au mseminari katika mazingira yeyote yale atakayeruhusiwa kujihusisha na jambo lolote lenye taswira ya kisiasa hata kama mtawa angekuwa na ndugu mwenye kujihusisha na siasa.
Akizungumza Septemba 24, 2025 jijini Dodoma, wakati wa kufungua mkutano maalumu wenye ajenda ya “Ushirikiano na mahusiano katika utekelezaji wa majukumu ya utoaji haki” uliofanyika katika ukumbi wa mikutano ya Jaji Mkuu, Masaju amesema hakuna haki itakayoweza kupatikana ikiwa Mahakama itaendelea kusumbuliwa na vitendo vya rushwa.
Kutokana na kifo cha mgombea ubunge wa Fuoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Ali Mwinyi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeahirisha uchaguzi wa ubunge katika jimbo hilo hadi itakapopanga tarehe nyingine ya uteuzi wa wagombea.
Hayati Magufuli aliwaagiza Waziri wa Mambo ya ndani, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini kuhakikisha huyo mtu anafikishwa mbele ya sheria ili pesa aliyochukua airudishe ikafanye shughuri zingine ndani ya Jeshi la Polisi.
Mdau anasema Makamu wa Rais kuwa Rais kwanza ni kuwakosea wananchi maana kiuhalisia watu hawakumchagua yeye alikuwa kama kivuli tu, nguvu na ushawishi wa mgombea Urais ndio iliyombeba.
Makonda ameyasema hayo Septemba 21, 2025, wakati wa ibada katika Kanisa la Mbingu Duniani lililopo Njiro - Arusha, akidai si mara yake ya kwanza kulishwa sumu na kwamba amenusurika kifo mara kadhaa.
Hii ni story ya kweli na siyo ya kutunga, lengo langu nataka ndugu zangu mpate ujumbe kuhusu haya maisha. Kiufupi usikubali kukata tamaa hata kidogo, no matter what you fall, keep fighting, God has plans for all of us.
Jaji Masaju anasema kuna haja ya kurekebisha Sheria/Kanuni za Uchaguzi. Anasisitiza wananchi ndio msingi wa mamlaka yote na Serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa Katiba hii na lengo kuu la Serikali ikiwa ni ustawi wa wananchi na Serikali ikiwajibika kwa wananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.