Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna hili suala nafikiria mara mbilimbili. Mwanaume aliyelea watoto na kuwasomesha halafu mwisho wa siku anakuja kugundua watoto hao sio wake, kumbe mke alisha cheat tangu zamani, sipati picha...
5 Reactions
23 Replies
89 Views
Akizungumza na Vyombo vy habari leo Aprili 6, 2026 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokraisa na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema kuna ma- caretel (Kundi la wafanyabiashara) ambao...
2 Reactions
4 Replies
45 Views
Jaribu kuwaza tu, umesomesha mchumba chuo, washkaji na ndugu walikukataza..maneno ya mtandaoni na ya wahenga yanayoonya kuwa mchumba hasomeshwi, uliyaona ni upuuzi tu.. ukaweka akili na moyo kwa...
4 Reactions
21 Replies
162 Views
Natafuta pesa kwa bidii ila nachokipenda kwenye maisha yangu hata nikipata pesa sitotumia na wengi sababu kwa week pekee napokea simu ya baba yangu tu hakuna usumbufu
6 Reactions
17 Replies
89 Views
Walimu hasa mlioko vijijini. Najua hali ya ufundishaji ni ngumu lakni hakuna namna, komaeni na hizo kishikwambi angalau kukuza ndoto za vijana mfano kuna Dj arts, kuchora, kuimba nk. Ila zinakufa...
0 Reactions
17 Replies
58 Views
Ni ugunduzi wa muda kidogo. Namibia wamegundua karibu mapipa 11bilioni. Ni akiba ya tatu kwa ukubwa Afrika baada ya Libya na Nigeria. Mafuta hayo yamepatikana baharini na yanafika hadi South...
4 Reactions
8 Replies
56 Views
Tangu ijumaa Iran ilivyobahatisha kuidungua ndege ya kivita ya Marekani na rubani ku eject kimsboy na Webabu waliibuka mafichoni na kuanza kuposti propaganda mfulululizo. Ila leo kimya baada ya...
1 Reactions
6 Replies
73 Views
Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliowakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia...
28 Reactions
664 Replies
3K Views
Jamani Wana JamiiForums nilitengeneza mgahawa wangu mzuri na Classic maeneo flani kwa ajili ya mapishi ya Supu, chapati, ugali, na wali. Nikawa nauza vizuri tu siku ya kwanza hamna hata Chakula...
15 Reactions
49 Replies
966 Views
Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei. Vyombo...
29 Reactions
13K Replies
193K Views

FORUM STATS

Threads
2,049,986
Posts
55,198,882
Back
Top Bottom