Wakati wa mauaji ya October 29 yanafanyika jijini Mwanza, nilibahatika kuwepo Mwanza, Kuna shughuli nilikuwa nafanya na nilifikia Lodge Moja karibia na stendi ya Nyegezi. Nikipata nafasi...
Katika Karne ya 21 hakutakiwi tena lugha za mtoto wa nje ya ndoa au ndani ya ndoa, zaidi hutupaswi kabisa kumuita mtoto yeyote ni haramu. Mtoto ni mtoto, hakupaswi kuwa na tofauti yoyote ya...
Mimi ni mtu mpole, mstaarabu, mkimya na nisiye na makuu. Nmejifunza kuheshimu na kupenda kila mtu. Siwezi ugomvi wala matusi
Nimekuwa hivi miaka yote. Kijana mtulivu, nisiye na makuu. Mnyonge na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam...
Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.
Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya...
Nilitembea usiku kucha kwenda Mbeya kumwambia mwanangu acha kushiriki vurugu siku ya uchaguzi. Na hii ni baada ya kutonywa na mkewe kuwa mumewe (mwanangu) anasema anataka kushiriki vurugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.