Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei.
Vyombo...
Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliwakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia...
Itazame kwa makini sayari yetu Dunia.
Our home planet as a whole
Hebu fikiria watu bilioni 8 tuko hapo kasoro wenzetu 14 kutoka Marekani, China, Urusi, Canada na Ufaransa walio anga za juu kwa...
Haji Manara amejiunga na WASAFI FM na kuuangana na Oscar Oscar, Edo Kumwembe, na Adela Tilya kwenye kipindi Cha Leo na Jana.
Mara baada ya kukaribishwa, ameshaanza kuwa domokaya kiasi cha...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Na declare interest. Mi ni Baba wa watoto 4 wote wa kike. Mtoto Mkubwa yupo Form 3 na mdogo yupo Class four.
Kwanza nashukuru Mungu kwa kunipa mabinti 4. Kimsingi baada ya wawili wa kwanza kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.