Habari za chinichini zinapenya kutoka viunga vya UDOM na mitandao ya kijamii kwamba kitu kilichomponza mhadhiri wa UDOM, Dr Kaijage, na kujikuta akipewa kesi ya ugaidi, ni ujasiri wake wa...
Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga
Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla...
Dj Choka kwa sasa anasumbuliwa na figo, hivyo anahitajika mara kwa mara kufanya dialysis kusudi aweze kuishi.
Kumchangia afanyiwe dialysis ni jambo zuri sana pia ni thawabu kwa Mwenyezi Mungu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Tukio lililozua taharuki jijini Dar-es-Salaam ambapo dereva wa gari kagonga boda, (inasemekana kafariki) kisha kukimbia kwa kasi
Boda wenzake wakaanza kumfukuza kwa kasi, baada ya kumpata hiki...
Dunia tunayoiishi kwa muundo wa 3d ni umetengenezwa na kiumbe kilichopo level ya 10d yaani 10th dimension.
Kila kitu kinachoeendelea kimepangwa, kuanzia mwezi, nyota na sayari nyingine.
Mtu...
Shule ya Sekondari Nsongwi Juu (Mbeya Vijijini) imekuwa shule yenye utawala mbovu imefikia hatua mpaka Walimu wanashindwa kufanya kazi kwa sababu ya utawala huo. Kesi zimekuwa nyingi zimefika...
Hey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
Ndugu yangu ameitwa kazini kama Afisa Usafirishaji na katika barua yake ya ajira ameagizwa kuripoti Dodoma. Alifika mapema katika kituo alichopangiwa na kuanza taratibu za kuripoti kama...
From Halis Max Facebook Page.
Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa ✍️
Watu wa football mpo wapi? Wanahabari na Majukwaa yetu mmelala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.