Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ishi maisha ya haki kwa gharama yoyote. Yanalipa sana Hata yasipolipa unavyodhani jua yanalipa Tafsiri ya haraka usimtendee mtu jambo usichotaka utendewe. Karibu kwa YESU KRISTO BWANA
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Watani wa Jadi wanakutana leo katika Uwanja wa Uhuru kutoana jasho la meno. Japokuwa Simba wana kamdomo sana, ila safari hii naona watawabonda Yanga, maana wamechezea kichapo mara nyingi sana...
16 Reactions
716 Replies
11K Views
showcase simple ya ukutani pia inaweza kuhamishika. tupe oda boss tukutengenezee Yako. tupo Dar Mbagala. 0692477610
5 Reactions
13 Replies
156 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mwajiriwa mpya niliyepewa Kituo Wilaya ya Uyui (Tabora), wale waliopangiwa hospitali ya wilaya wameandikiwa/kupewa pesa ya kujikimu takribani TSh 925,000+, wakati sisi tuliopangiwa vituo...
1 Reactions
9 Replies
82 Views
Wakubwa mimi ni member mpya humu nahitaji ushirikiano wenu kwa sababu mumekuwa mkinishawishi mambo mengi sana na kunifunza na kunipa experiencce mbalimbali ahsanteniii
3 Reactions
14 Replies
37 Views
Kutoka kwenye ukurasa wa Twaha Mwaipaya ametoa madai ya kuwa kuna Mauaji ya mlinzi wa Mgahawa wa Shishi Food yamefanyika Jana usiku ila Mauaji hayo yanafanywa Siri hawataki watu wajue, msifiche...
8 Reactions
7 Replies
127 Views
Baada ya kusoma kwa muda mrefu bila kupost hatimae nimejiunga rasmi. Nipokeeni nategemea kuendelea kujifunza mengi kutoka kwenu
4 Reactions
45 Replies
134 Views
Wakuu, heshima zenu! Leo nakuja na mada tofauti kabisa, naombeni ushauri wenu. Mwaka 2024 niliachana rasmi na binti tuliyependana sana! Chanzo kikubwa cha mahusiano yetu kufa ilikuwa familia yake...
33 Reactions
285 Replies
2K Views
Ndg wana JamiiForums, kama swali linavyojieleza hapo juu, ninapokea mitazamo yenu juu ya suala la kupost au kutokumpost mwenza mitandaoni. Kuna watu wanaona sawa wengine wanaona sio. Vipi wewe...
4 Reactions
25 Replies
79 Views
FOREVER YOUNG 🥹 Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young? Mimi natamani forever niwe young Lakini je ni kwamba tunaogopa kuzeeka au tunaogopa kua wa dhaifu kutokana na uzee ? Kipindi...
22 Reactions
200 Replies
857 Views

FORUM STATS

Threads
2,098,679
Posts
56,321,474
Back
Top Bottom