Nauliza tu maana nilishawahi kufanya kazi kama mtangazaji kwenye redio moja ya mkoani
Lakini weee hakuna rangi niliacha kuona
Tulikaa miezi 6 hatujalipwa alafu Boss anakuambia "Bro, hapa...
MTWARA
Mafunzo ya Mfumo wa e-Ardhi yameanza mkoani Mtwara, huku wataalamu wa masuala ya ardhi wakijipanga kutumia mfumo huo wa kidijiti katika kuboresha utoaji wa huduma za ardhi kwa wananchi...
Duniani kila kumbe kiishicho kitakufa.
Kila auawe ima atauawa au atakufa tu.
Kila afurahiaye maumivu ya wenzake ataumia
Kila asababishaye au kushabikia mateso ya wenzake atateseka
Namuonea huruma...
Kuna vitu vinashangaza.
Ukipata wasaa wa kuingia migodini, hasa hasa open pit, utakutana na dumpers (dumping trucks) zenyewe zinafanya kazi sana sana ya kubeba udongo kutoka walikoblast kwenda...
Salam wakuu . moja kwa moja kwenye mada
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na jirani ambae ana tabia ya kufungulia bufa hadi mwisho
Maana hapa naona kama...
Nasema tamasha la maadhimisho ya bongo fleva mika 30 ni zaidi ya fiesta.
wakongwe wamekamata kila kona.
Leo tarehe 19.09. Chuga kitawaka.
TMK halisi tunawataka wapige shoo kwa pamoja kama walivyo...
Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.