Karibu VN TRONIX, duka linalojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya kielektroniki, vifaa vya umeme na accessories zake kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, kwenye biashara na katika shughuli...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nilitembea usiku kucha kwenda Mbeya kumwambia mwanangu acha kushiriki vurugu siku ya uchaguzi. Na hii ni baada ya kutonywa na mkewe kuwa mumewe (mwanangu) anasema anataka kushiriki vurugu...
Kuna baadhi ya watu wanaona kama vile CCM au Serikali yao inaonewa Kwa kutumiwa kuhusika na utekaji mfano mzuri suala lile la mabinti waliomaliza form iv walivyorecord na kutoa maneno ambavyo...
Sii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Nyamagana, SSP Virginia Sodoka, amewaonya wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Mt. Agustino cha Tanzania (SAUT) dhidi ya kujihusisha na vitendo vya uchochezi...
Wana jamii mimi ni me 25 nakaa kwa wazazi nasimamia duka la jumla toka nimeanza kusimamia ni miaka 4 kwenda 5,
Sasa baba anataka kunifungulia duka la hardware hapa mjini ila nikiangalia maduka ya...
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Mwana wa Haramu.
Mimi Robert, Mtibeli halisi. Nilizaliwa kwa njia haramu. Njia zisizo rasmi. Sikuzaliwa ndani ya ndoa. Na ukweli lazima usemwe wote bila kujali...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.