Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimebaatika kutizama ile video inayo trend kule fb ikimuenyesha mdada akichinjwa kikatili🥵🥵.. kinyamaaa, kikatiliii. Aise kunatisha tupunguze shobo wakuu na mtu kama humjui kiundani mwache apite...
12 Reactions
105 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
166 Reactions
685K Replies
44M Views
Kama hutegemei kuajiriwa, bali unataka ujiajiri uwe CEO wewe mwenyewe, cheti cha kuzaliwa kinakutosha. Achana na mbwembwe za kutafuta mavyeti mengine, hizo mbwembwe waachie wanaotaka kuajiriwa...
10 Reactions
112 Replies
587 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
316 Reactions
187K Replies
7M Views
Wazee yaani usiku huu saatisa hii kuna jambo linajirudia rudia sana akilini mwangu kwa zaidi ya mwezi sasa alafu naona kabisa nitaenjoy na kufurahi sana endapo nitatimiza hilo jambo sijui kwa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
SAMIA KUHANI MSIBA WA CHIVAYO KESHO? Hopewell Chin'ono wa Zimbabwe ameandika katika ukurasa wake wa Facebook akidai kuwa vyanzo vyake vya taarifa vinasema kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
2 Reactions
9 Replies
137 Views
Sitaki kuwapotezea muda kwa maelezo marefu. Kila kitu kiko wazi. Tafiti za mahusiano zilizofanywa na wataalamu wa mahusiano zinaonyesha wanawake wengi hawatazami ukubwa wa pochi, bali ukubwa wa...
11 Reactions
95 Replies
819 Views
Nini kifanyike ili Atcl iweze kutengeneze faida Ni mda sasa kila CAG anaposoma report ATCL imekua ikipata hasara kwenye huu uzi ntaelezea namna ATCL itakavyopata faida Jambo la kwanza kabisa...
11 Reactions
135 Replies
1K Views
Mwanaume aliyetambulika kwa jina la Laurent Kweka anatuhumiwa kumuua Mkewe, aliyefahamika kwa jina la Jenipher, kwa kumpiga risasi nyumbani kwao Bunju A, Mtaa wa Mkoani, Zone ya Senzele, Dar es...
21 Reactions
565 Replies
10K Views
Tukio la kushtua limetokea Mtaa wa Senzele, Kata ya Bunju B, jijini Dar es Salaam, baada ya Laurent Kweka kudaiwa kumuua mkewe, Jeni Urassa, kwa kumpiga risasi kichwani kisha kujisalimisha Polisi...
45 Reactions
528 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
2,096,814
Posts
56,289,080
Back
Top Bottom