Mashabiki wa Klabu ya Simba wa Tawi la UWASINYA lililopo katika Kata ya Nyarugusu, Halmashauri ya Wilaya ya Geita Mkoani humo, katika kuelekea Msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC), wamesherehekea...
Wanaume Wengi ni wazembe wa kujitaftia maarifa ila ukitaka kuweka confidence na kuweka ego au aura !
1. Soma sana makala , vitabu na majarida ya topic kadhaa hii ni tabia yangu toka shule Mpaka...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN...
Kuna mambo ambayo yalikuwa na maana miaka 20 au 30 iliyopita, lakini leo yamepitwa na wakati. Mojawapo ni tabia ya baadhi ya watu kujiona wako juu kwa sababu tu wamezaliwa Dar es Salaam.
Mwanzoni...
Niseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.
Binti yangu nilianza kukaa nae alipo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam...🍺
Back to the point....
Kwanza alinikasirisha, kisha akakasirika eti kwasababu nimekasirika...🤗
Then nikaona ninyamaze kwasababu hata...
Kimsingi Kauli kama hizi hutokewa na watu wajinga na ambao wanaishi kwenye mawazo ya kale na kusikiliza stori za vijiweni zilizojaa uongo na mihemko.
Mwambukusi Toka anazaliwa Hadi anazeeka yeye...
Tanganyika na Zanzibar wanacheza huko. Lakini kwenye screen wameandika Zanzibar na Tanzania bara. Sijui ni kwa nini wasiandike tuu Tanzania bara Vs Tanzania visiwani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.