Teacher1
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 333
- 149
Nadiriki kusema hivi nina wasiwasi na elimu ya Mwigulu Nchemba msomi ambaye hajui kebehave kama msomi...
1.Kama ni msomi huwezi tupa bajeti ya mwenzako kisa Mpinzani wasomi huwa wanargue kwa hoja na vielelezo.
2.Msomi huwa hana matusi wala kejeli narudia tena wanatoa hoja.
3.Nilitegemea first class economist awe tofauti kidogo..atupe kitu special kwenye bajeti ambacho sisi wa kawaida hatukioni.
4.Iga mfano wa mchumi maarufu Prof.lipumba anatoa hoja tu na sio kejeli wala kutupa bajeti ya Wapinzani.
5.TBC leo Mwigulu kachemka hajui ni kitu gani anapaswa kuongea hasa akiwa na watu makini kama kina Zitto na sio wale wachumia tumbo.
6.Aina hii ya watu wapo wengi kwenye chama chetu na hakika nakwambia hawa ndio watakaokuja kuwa viongozi wetu wa baadae na wanakuja kuuza hii nchi.
Nawasilisha.
Kama Mwigulu amesoma basi Kamanda Msigwa alikuwa right kusema mawazili na wabunge wa CCM maprofesa wazima wanaongea kama darasa la Pili