Zitto na Nchemba now on tbc

Kwa mujibu wa maelezo yao ni kwamba mpango unasema serikali itakuwa inatenga 35% ya mapato ya ndani kwa ajili ya maendeleo ambapo Zitto amesema imetenga 0%. Mwigulu akasema mpango unasema ni 35% ya bajeti, Zitto akamwambia achana na huo mpango wako wenye kiingereza cha kuungaunga so akamfungulia mpango wa kiswahili ambao ndio uliopitishwa na bunge.........Nchemba akagwaya

Nchemba kama hakuuelewa huo mpango wa maendeleo namshauri aonane na Dr Mpango atamwelewesha vizuri. Serikali iliji-commit kutenga 35% ya mapatoo yake ya ndani kila mwaka for 5 years. Na sababu kubwa ya kutaka hiyo 35% itoke ndani ni ili kuepukana na tatizo la utegemezi wa wahisani ambao mara nyingi wanatoa kiasi tofauti na walichoahidi au/na wanatoa hela kwa kuchelewa. Hivyo ikaonekana ili mpango huo usisue-sue basi 35% itokane na makusanyo ya ndani.

Sasa Nchemba analeta ngonjera za first class! Na CCM wakumbuke hii ni bajeti ya pili, wamebakiwa na bajeti 3 tu kufikia tamati ya huo mpango wa miaka mitano (2011-16). So far wamefanya nothing, na wakiendelea kujitetea kwa kueleza marks za darasani watajikuta muda umeisha bila kufanya chochote. They've messed up MKUKUTA, they are off-target za vision 2025 na huu mpango wa maendeleo nao unaelekea huko huko kuzimu.
 
Mkuu, unataka kusema Mwigulu ana akili nyingi?? zipi hizo??
Kama ana akili nyingi........kwanini anashindwa kueleza issues ki uchumi basi...

Nchemba ni too weak kwenye kila anachofanya..........yani yupo kama boss wake...DHAIFU sana!!
Ukiwa na akili nyingi ni bora uwe Lecturer

Wanasiasa wanatumia mdomo siyo kufikiria xana!!!!!!!!!

Nchemba loooooo, hamnazo"""""" you are not politician

Waachie wenyewe hyo kaz banaaaaa
 
Nilisoma na Mwigulu pale Mazengo. Huyu jamaa anajua sana kukariri aisee hakuna mfano.
Tatizo kutafsiri nadharia ya darasani na kuileta kwenye vitendo huku mtaani ndo kipimo cha uelewa wa mwanafunzi.
Aidha Mwigulu anajua anachokifanya maana kwa kambi ambayo yeye ni mhasibu mkuu, ni lazima utetee hata kile usichokiamini ili mradi mkat wako wa kila siku upatikane.

Mwigulu na Nape ni vijana wenye upeo mzuri ila likija swala la kuhudumia tumbo, inabidi wayapiganie hata yale ambayo mwili na nafsi zao hazikubaliani nayo.

Kwa kiswahili fasaha, NI WANAFIKI.
 
Mkuu, unataka kusema Mwigulu ana akili nyingi?? zipi hizo??
Kama ana akili nyingi........kwanini anashindwa kueleza issues ki uchumi basi...

Nchemba ni too weak kwenye kila anachofanya..........yani yupo kama boss wake...DHAIFU sana!!
He will never act like a mchumi akiwa kwenye nafasi ya ubunge kwasababu ubunge kwake ni ajira na anything that threatens ajira hiyo atafanya kila awezalo ili kutetea hata upuuzi.
 
FJM, salute.........inajulikana kwamba wahisani hawataki kuchangia 5 yrs DP, wanataka kuchangia MKUKUTA tu, na usiwe intergrated kwenye mpango wa 5yrs....kumekuwa na mfutano mkubwa sana.

Sasa commitement ya mapato ya ndani kwa mpango wa maendeleo wa miaka mitano seemed brilliant........tatizo kwene utekelezaji sasa ndo kwenye kasheshe......hawatengi fedha.

Mwigulu anasema hela za wizara kama Elimu ndo zinaingia kwenye contribution ya 35%.........katika hizo fedha, ngapi ni za ndani na ngapi ni za nje? ngapi ni za maendeleo na ngapi ni za matumizi ya kawaida?

This Mwigulu guy hovyo kweli kweli!!!
Nchemba kama hakuuelewa huo mpango wa maendeleo namshauri aonane na Dr Mpango atamwelewesha vizuri. Serikali iliji-commit kutenga 35% ya mapatoo yake ya ndani kila mwaka for 5 years. Na sababu kubwa ya kutaka hiyo 35% itoke ndani ni ili kuepukana na tatizo la utegemezi wa wahisani ambao mara nyingi wanatoa kiasi tofauti na walichoahidi au/na wanatoa hela kwa kuchelewa. Hivyo ikaonekana ili mpango huo usisue-sue basi 35% itokane na makusanyo ya ndani.

Sasa Nchemba analeta ngonjera za first class! Na CCM wakumbuke hii ni bajeti ya pili, wamebakiwa na bajeti 3 tu kufikia tamati ya huo mpango wa miaka mitano (2011-16). So far wamefanya nothing, na wakiendelea kujitetea kwa kueleza marks za darasani watajikuta muda umeisha bila kufanya chochote. They've messed up MKUKUTA, they are off-target za vision 2025 na huu mpango wa maendeleo nao unaelekea huko huko kuzimu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli mtu mzima unajisifia marks za darasani mpaka leo??
really??

Unajisifu kwamba umesoma shule maalum Ilboru??.......tena O'level ..... kama alikuwa maalumu saaana mbona hakwenda MZumbe au kurudi Ilboru A' Level....??
Mbona hataji Mazengo alikosoma??

Huyu jamaa nadhani ali-stop kukua alipofikisha 18 years!!!
 
Yani CCM waliona mtu wa kumpambanisha na Zitto ni Mwigulu? jamani jamani anyway la kuvunda halina ubani
 
Mwigulu na Nape walipopata shavu ndani ya ccm nilidhani watajitahidi kuleta mabadiliko ya chama ili kukinusuru na kaburi! Ila wapi bana!
Sasa hivi wanaangaika kuhubiri ubora wa ccm inayokufa (kama bado ipo hai)!
 
Ni hatari kulazimisha siasa katika maswala yanayohitaji ukweli na ndo maana ccm kila wakati wanashindwa mipango yao yote isipokuwa uchakachuaji!
 
Mwigulu na Nape walipopata shavu ndani ya ccm nilidhani watajitahidi kuleta mabadiliko ya chama ili kukinusuru na kaburi! Ila wapi bana!
Sasa hivi wanaangaika kuhubiri ubora wa ccm inayokufa (kama bado ipo hai)!
"Mtu anayefilisika haoni kama anafilisika"
 
Nilichukizwa sana Na Marine alikuwa ana upendeleo wa wazi kwa Nchemba. Halafu alikuwa hajiamini eti alimwambia Zitto ukiwa Bungeni wewe ndo msemaji hapa Mimi ndo mkuu, kwani Zitto kuongea kwake kulionyesha kuwa anatumia mamlaka ya Ubunge? Si alikuwa anajadili tu, alipoteza muda kujielezeaaaa. Nusura nimtwange vibao, bahati yake tv yangu ingepasuka.
 
kweli mwigulu ni kilaza%.. A, ya public finance inahusikaje na bajet? Bajet its about planing.. ni financial planners ndo wanatakiwa hapo .. A, ya darasan its neva applicable in real life,, na umalaya wake akafumaniwa igunga kule.. Anaropoka tu.. Na baadhi ya wagonga meza na washabiki wa ccm wanakurupukia mambo na kumshabikia.. Co..bdouglas anayo iongelea tunaifaham.. Na zito ni genius sana.. Alafu marine ajipange mambo ya kuwaita watu kwenye interview arafu anawapangiana kuwa limit cha kuongea sio poua..!
 
Sasa marks za darasani zimekujaje apo!Na uko ni kuishiwa hoja inabidi uteme nondo za maana then watu wenyewe waanze kufuatilia profile yako na sio kujisifu mwenyewe.
Sasa kama angesoma Harvard au Oxford ingekuwaje.
 
Yani CCM waliona mtu wa kumpambanisha na Zitto ni Mwigulu? jamani jamani anyway la kuvunda halina ubani

Unadhani wakuu wao walipokataa wagombea wao wa Ubunge wasishiriki kile kipindi cha " Mchakato Majimboni" walikosea? wanajifahamu jinsi wabunge wao walivyo 'vilaza" Wao na Wakuu wao wote ni DHAIFU!!

Huyu mdogo wangu Bwana Nchemba juzi na jana kama angekuwa jirani yangu wakati anaongea bungeni ningemkata vibao, alinitia hasira sana.
 
nimeipenda hii kitu
MWIGULU though sijawahi kukusikia ndo leo hapa nimepata news,sikia:
1.kuwa na A ya somo fulani na kupata Hons. si sababu ya kukufanya uwe na uwezo katika utendaji kazi,suala la kutekeleza ulichokisomea linaonekana ktk "positive output" inayoleta suluhisho sahihi/kutatua tatizo ktk jamii.
2.kuna A nyingi sana tu za kkopi na kupest vyuoni,kuna A za kudesa,kuna A za kucheat kwa namna nyingi tu.
3.msomi halingii "cheti" alichonacho bali utekelezaji wenye akili,nini unawafanyia wanainchi chenye manufaa?ss anapolipuka ktk redio nina nini na nini sisi hatuhitaji kuona cheti chake kila mtu kasoma bwana!!ata wasiosoma wana akili zao kwa namna ya maisha wanavyoyamudu bwana!
4.ivi unapotetea bajeti ya nchi unaangalia chama cha manjano na kijani au manufaa ya wanainchi???
5.ingawa siangalii bunge thz days,,,kitendo chako cha kutupa bajeti ya upinzani bungeni inaonyesha upeo wako mdogo sana/finyu na ulimbukeni wa hali ya juu na kushindwa kwako kabisa kupanga hoja na kwamba unatetea ugali wako kwa namna hiyo unasikitisha sana(ebu tuelezee je ndio maana ya A yako ya uchumi wa WB??kwani WB ni kitu gani bwana?sisi tunataka A za kiutendaji na si za kupamba ukutani),sisi tunajua mwenye A na kutambulika WB wanakaa mezani na kupanga na kupangua hoja kwa akili na UTEKELEZAJI wake positively kwa wanainchi.
6.ivi KOMBA.....?
 
Back
Top Bottom