Richard Mabala awashauri TBC wamwombe radhi Jokate kwa kupotosha kile alichosema

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
Mwanazuoni Richard Mabala awataka TBC wamwombe radhi Katibu mkuu wa UWT kwa kupotosha kile alichosema

Mabala amesema baada ya kumsikiliza Jokate amegundua TBC wamemzushia kuhusu kuwabagua Wanaume kwahiyo wamuombe radhi

Mabala amesema kilichofanywa na TBC ni kuendekeza Mfumo Dume

Naye Wakili Fatma Karume amemtaka Jokate kutoegemea Jinsia na kuhoji iwapo 2030 mgombea uRais wa JMT atakuwa mwanamme, atasemaje?

Mjadala unaendelea huko X

Pia soma > Jokate Mwegelo: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume

Mabala.png


Leo ni Njia ya Msalaba
 
jk mwenyewe hajielewi hata kama ni kumpa nguvu mwanamke wasijisahau basi
 
Back
Top Bottom