Zitto na Nchemba now on tbc

nimeipenda hii kitu
MWIGULU though sijawahi kukusikia ndo leo hapa nimepata news,sikia:
1.kuwa na A ya somo fulani na kupata Hons. si sababu ya kukufanya uwe na uwezo katika utendaji kazi,suala la kutekeleza ulichokisomea linaonekana ktk "positive output" inayoleta suluhisho sahihi/kutatua tatizo ktk jamii.
2.kuna A nyingi sana tu za kkopi na kupest vyuoni,kuna A za kudesa,kuna A za kucheat kwa namna nyingi tu.
3.msomi halingii "cheti" alichonacho bali utekelezaji wenye akili,nini unawafanyia wanainchi chenye manufaa?ss anapolipuka ktk redio nina nini na nini sisi hatuhitaji kuona cheti chake kila mtu kasoma bwana!!ata wasiosoma wana akili zao kwa namna ya maisha wanavyoyamudu bwana!
4.ivi unapotetea bajeti ya nchi unaangalia chama cha manjano na kijani au manufaa ya wanainchi???
5.ingawa siangalii bunge thz days,,,kitendo chako cha kutupa bajeti ya upinzani bungeni inaonyesha upeo wako mdogo sana/finyu na ulimbukeni wa hali ya juu na kushindwa kwako kabisa kupanga hoja na kwamba unatetea ugali wako kwa namna hiyo unasikitisha sana(ebu tuelezee je ndio maana ya A yako ya uchumi wa WB??kwani WB ni kitu gani bwana?sisi tunataka A za kiutendaji na si za kupamba ukutani),sisi tunajua mwenye A na kutambulika WB wanakaa mezani na kupanga na kupangua hoja kwa akili na UTEKELEZAJI wake positively kwa wanainchi.
6.ivi KOMBA.....?

Nakubaliana na wewe ndugu.
Huu ni zaidi ya ULIMBUKENI.
Hivi hakuna aliyetoka maeneo ya jimbo lake au anayejua maana ya majina yake,
"MWIGULU NCHEMBA?"
 
nimeipenda hii kitu
MWIGULU though sijawahi kukusikia ndo leo hapa nimepata news,sikia:
1.kuwa na A ya somo fulani na kupata Hons. si sababu ya kukufanya uwe na uwezo katika utendaji kazi,suala la kutekeleza ulichokisomea linaonekana ktk "positive output" inayoleta suluhisho sahihi/kutatua tatizo ktk jamii.
2.kuna A nyingi sana tu za kkopi na kupest vyuoni,kuna A za kudesa,kuna A za kucheat kwa namna nyingi tu.
3.msomi halingii "cheti" alichonacho bali utekelezaji wenye akili,nini unawafanyia wanainchi chenye manufaa?ss anapolipuka ktk redio nina nini na nini sisi hatuhitaji kuona cheti chake kila mtu kasoma bwana!!ata wasiosoma wana akili zao kwa namna ya maisha wanavyoyamudu bwana!
4.ivi unapotetea bajeti ya nchi unaangalia chama cha manjano na kijani au manufaa ya wanainchi???
5.ingawa siangalii bunge thz days,,,kitendo chako cha kutupa bajeti ya upinzani bungeni inaonyesha upeo wako mdogo sana/finyu na ulimbukeni wa hali ya juu na kushindwa kwako kabisa kupanga hoja na kwamba unatetea ugali wako kwa namna hiyo unasikitisha sana(ebu tuelezee je ndio maana ya A yako ya uchumi wa WB??kwani WB ni kitu gani bwana?sisi tunataka A za kiutendaji na si za kupamba ukutani),sisi tunajua mwenye A na kutambulika WB wanakaa mezani na kupanga na kupangua hoja kwa akili na UTEKELEZAJI wake positively kwa wanainchi.
6.ivi KOMBA.....?

NILISOMA KOZI YA UCHUMI PALE UDSM MIAKA MITATU MBELE YA MWINGILU NA HIZO A NILIZIPATA NYINGI TU KUTOKA KWA HAO WACHUMI WA DoE AKINA MZEE OSORO, MTATIFIKOLO, MWINYIMVUA, RUTASITARA, AVY MBELE ETC. THE TRUTH OF THE MATTER IS THAT, THE ECONOMICS COURSE AT UDSM IS OUTDATED AND USELESS IN ALMOST EVERY ASPECT. NIMEENDA VYUO VINGINE VYA WAMAREKANI NA NINAONA TOFAUTI ZILIVYO KUBWA. HAKUNA KITU TUNAFANYA PALE UDSM NA HATA HAO WANAOFUNDISHA WANAJUA HIVYO HASA KAMA WALIPATA BAHATI YA KUFANYA PhD ZAO NJE YA HUO MTANDAO WA AERC NA UDSM. I WOULDN'T BE PROUD OF ANY A's I SCORED AT UDSM.
 
kweli mwigulu ni kilaza%.. A, ya public finance inahusikaje na bajet? Bajet its about planing.. Ni financial planners ndo wanatakiwa hapo .. A, ya darasan its neva applicable in real life,, na umalaya wake akafumaniwa igunga kule.. Anaropoka tu.. Na baadhi ya wagonga meza na washabiki wa ccm wanakurupukia mambo na kumshabikia.. Co..bdouglas anayo iongelea tunaifaham.. Na zito ni genius sana.. Alafu marine ajipange mambo ya kuwaita watu kwenye interview arafu anawapangiana kuwa limit cha kuongea sio poua..!

public finance was one of the easiest courses i studied at udsm whoever failed to get an a in that course then he would almost certainly fail in all other economics courses taught at the department of economics. After all the public finance cause at udsm used the oldest book by joseph stigliz... And whoever taught the cause never refered any peer reviewed journal articles....
 
nchemba mshamba tu yule. nafkir katka wabunge washamba-washamba walioko magamba ni hili li mwigulu.
 
Leo nimesikia Mwigulu sasa anadai wapinzani wanapinga bajeti kwasababu wanatumiwa na nchi za magharibi wanaotaka kupora rasilimali za nchi.

Nimejiuliza kidogo, wamekuwa wanapora dhahabu, tanzanite, almasi mpaka wanyama wazima wazima. Hivi leo ndio tunakumbuka kwamba kuna rasilimali za nchi?
 
Wapiganapo fahari wawili nyasi huwaka moto
Unajua ingekuwa wanapigana inakuwa faida kwetu ingekuwa safi but wanapigana wao halafu wanatuangukia sisi.....tabu juu ya tabu
 
Leo nimesikia Mwigulu sasa anadai wapinzani wanapinga bajeti kwasababu wanatumiwa na nchi za magharibi wanaotaka kupora rasilimali za nchi.

Nimejiuliza kidogo, wamekuwa wanapora dhahabu, tanzanite, almasi mpaka wanyama wazima wazima. Hivi leo ndio tunakumbuka kwamba kuna rasilimali za nchi?

hapo sasa...ila izi siasa unaweza kuwa kichaa
 
Back
Top Bottom