Zitto na Nchemba now on tbc

Nadiriki kusema hivi nina wasiwasi na elimu ya Mwigulu Nchemba msomi ambaye hajui kebehave kama msomi...

1.Kama ni msomi huwezi tupa bajeti ya mwenzako kisa Mpinzani wasomi huwa wanargue kwa hoja na vielelezo.

2.Msomi huwa hana matusi wala kejeli narudia tena wanatoa hoja.

3.Nilitegemea first class economist awe tofauti kidogo..atupe kitu special kwenye bajeti ambacho sisi wa kawaida hatukioni.

4.Iga mfano wa mchumi maarufu Prof.lipumba anatoa hoja tu na sio kejeli wala kutupa bajeti ya Wapinzani.

5.TBC leo Mwigulu kachemka hajui ni kitu gani anapaswa kuongea hasa akiwa na watu makini kama kina Zitto na sio wale wachumia tumbo.

6.Aina hii ya watu wapo wengi kwenye chama chetu na hakika nakwambia hawa ndio watakaokuja kuwa viongozi wetu wa baadae na wanakuja kuuza hii nchi.

Nawasilisha.

Kama Mwigulu amesoma basi Kamanda Msigwa alikuwa right kusema mawazili na wabunge wa CCM maprofesa wazima wanaongea kama darasa la Pili
 
Ukweli unachukua hatamu pole pole. CCM na hila zao na mapesa + system are steadily ousted with realistic facts; dark days are soon to be over and our longing for a bright new dawn to be realized. Asante sana Mh. Zitto
 
vijana wanakata ishu kweli kweli,hawa wote,mwigulu na zitto wako fit haswaaaaaaaa
 
Kwani "A" PUBLIC finance ni kitu gani bhana MWIGULU NCHEMBA?

Mbona hiyo umeshindwa kuitafsiri kwenye maisha ya kawaida ya WATANZANIA??Hivi mbona PROF.I. LIPUMBA akichambua kitu anatumia lugha nyepesi mpaka mtu asiyeenda shule anamwelewa??

Lakini pia wewe unafikiri nchi hii ni wewe peke yako umesoma MACROECONOMICS NA UMEIELEWA SANA KULIKO WENGINE WOTE NCHI HII?Hata mimi nina "A" ya uchumi lakini siwezi kujifanya much know kama wewe huwezi jifunza kwa wenzio kina JANUARY MAKAMBA?

Wanaongea pale inapobidi kwani wewe ndio wa kwanza kupata "A" ya UCHUMI?Mbona LIMBUKENI SANA WEWE?Unatakiwa uombewe kwa kupenda kuchukua wake za watu kama MCH. MSIGWA ALIVYOSEMA JANA ALIKULENGA WEWE,UNAKUMBUKA KULE IGUNGA ULIFUMANIWA NA MKE WA KADA MWENZIO WA CCM???
 
Kwan mbona mimi nna A ktka Economics, Public finance, na vtu vingine!!!!!!!!!

Hiv huyu angesoma Masters ya Finance and Economics ingekuwaje????
 
Nadiriki kusema hivi nina wasiwasi na elimu ya Mwigulu Nchemba msomi ambaye hajui kebehave kama msomi...

1.Kama ni msomi huwezi tupa bajeti ya mwenzako kisa Mpinzani wasomi huwa wanargue kwa hoja na vielelezo.

2.Msomi huwa hana matusi wala kejeli narudia tena wanatoa hoja.

3.Nilitegemea first class economist awe tofauti kidogo..atupe kitu special kwenye bajeti ambacho sisi wa kawaida hatukioni.

4.Iga mfano wa mchumi maarufu Prof.lipumba anatoa hoja tu na sio kejeli wala kutupa bajeti ya Wapinzani.

5.TBC leo Mwigulu kachemka hajui ni kitu gani anapaswa kuongea hasa akiwa na watu makini kama kina Zitto na sio wale wachumia tumbo.

6.Aina hii ya watu wapo wengi kwenye chama chetu na hakika nakwambia hawa ndio watakaokuja kuwa viongozi wetu wa baadae na wanakuja kuuza hii nchi.

Nawasilisha.

Ni dhahiri sasa hapo kwenye RED siyo material huyu mtu. Inawezekana aliwekeza kwenye MADESA.
 
Nimeuangalia mjadala kwa muda kiasi unaweza kuona tofauti kubwa sana kama mwanga na giza kati ya Mwichemba na Zitto! Zitto anachokisema amekifanyia uchambuzi wa kina. Next time Mwigulu naye akae chini asome na kufanya tafakari ya kina la sivyo atajiabisha mbele ya watu.
 
Kitu kingine nilichom-disquqlify Mwigulu, ni pale alipojitahidi kujaribu kutetea mapungufu ya bajeti kwa kudai kwamba kuna vifungu ambavyo havijawekwa kwenye bajeti lakini waliviweka kwenye Mpango wa maendeleo! Sasa hata kama vipo kwenye Mpango wa maendeleo, kazi ya Bunge ni kupitisha Mpango wa Maendeleo au Bajeti! Kama kitu hakipo kwenye bajeti, bunge litakipitishaje ili kitumike!
 
Sijui kwa nini Nchemba anaona ni jambo la maana sana kutaja marks zake za darasani? Yeye si wa kwanza kupata first class. Dr Ciril Chami amesoma Economics UDSM na alifaulu vibaya sana, na baadae akaenda Canada kwa PhD ambapo alifauluzu vizuri kabisa. Ni Dr wa ukweli wa Economics lakini mbona Wizara moja tu ilimsinda?

Nchemba is just another 'rookie' kwenye ulingo wa siasa, amekosa hoja sasa anataka watu waongelee marks zake za darasani. Huu ugonjwa wa 'vyeti' uko sana CCM na ndio maana wana watu wenye Doctorate zisizoeleweka.

Budget ya ccm imepondwa na professional bodies kama PWC, KPMG, Delloite, Profs wa UDSM (ambao wamemfundisha Nchemba) sasa leo anataka kutuambia nini?

Na CCM kwa uzuzu wao wanaonekana kukariri upuuzi wa huyu dogo! Tusiandikie mate, by December wataona matokeo ya budget yao. Hela karibu nusu ni za kulipa madeni. Miradi mingi itasuasua!
 
Namuona zito hapa ametoa macho kama mjusi aliebanwa mlango.
Mwigulu yeye anatweta,sidhani kama huyu ni msomi,msomi hawezi kutweta hivo.
...AM REALY TIRED OF THIS BULLSHEET
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya elimu ya darasani na utendaji wa kazi, hata inayohusiana na kile ulichosoma darasani wakati mwingine.
Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma na kuelewa, na ndio maana hata kwenye biblia Yesu alikuwa anawaambia mwenye masikio na asikie.
Kuna tofauti kubwa kati ya mipango na utekelezaji, sio kila kinachpangwa kinatekelezwa na hata kikitekelezwa huwa kina matokeo matatu. Kufanikiwa, kutofanikiwa na kuwa na wastani.

Elimu ya darasani na mi A yoyote ile haitusaidii sisi ambao hatujui umuhimu wake maana kama hiyo mi A haiwezi kutufanya tuondokane na umasikini ni upuuzi mtupu. Jambo la msingi ni kuangalia je bajeti hii inatutoa tulipo na kutupeleka tunakokutaka ama la?
 
Kwa mujibu wa maelezo yao ni kwamba mpango unasema serikali itakuwa inatenga 35% ya mapato ya ndani kwa ajili ya maendeleo ambapo Zitto amesema imetenga 0%. Mwigulu akasema mpango unasema ni 35% ya bajeti, Zitto akamwambia achana na huo mpango wako wenye kiingereza cha kuungaunga so akamfungulia mpango wa kiswahili ambao ndio uliopitishwa na bunge.........Nchemba akagwaya
 
yule ni chizi na mzinzi sio msomi. HOVYO KABISA, anatitizwa na tabia ya kulazimisha uongo uonekane ni ukweli, kitu ambacho mtu msoni hawezi kufanya, usomi huendeana na ukweli unaosimamiwa na principals. Sifa mabazo hana, msomi gani huyo.
 
Nimemdharau rasmi Mwigulu Nchemba...ni msomi aliykalia kukariri chuo kikuu wakati wenzake wakielimika na hii imepelekea yeye kutokuwa na tofauti na Kapteni Komba au Lulu wa bongo movie japo kasoma.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom