LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 862
- 1,097
TBC wamekatisha matangazo wakati waziri wa mambo ya ndani akianza kutoa maelezo kuhusu hoja ya askofu Gwajima kuhusu kurejea kwa mambo ya utekaji na kupotea watu hivyo kuchafua setikali ya awamu ya sita...haijeleweka wazi sababu ya kukatisha ghafla matangazo bila kutoa taarifa.