Mi nadhani ujenge hoja ili achunguzwe kama una wasiwasi naye.Wanajamvi,
Nimepigiwa simu na Ndugu yangu anayeishi Dodoma mjini akinihabarisha kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe anajenga Hoteli kubwa sana ya Nyota 5 Mjini Dodoma, eneo liitwalo KISASA.
Hili ni jambo jema na la maendeleo sana, lakini Je Zitto, hili jambo ni kweli?
Umekuwa unapinga hata kuwa na magari ya kifahari, huku ukisema kuwa hushabikii UTAJIRI, je fedha za kupandisha jengo kubwa na la kifahari kama hilo ni hizihizi za posho zenu, au umekopa benki, au umepewa na mfadhili, au una vyanzo vingine vilivyofichama?
Tafadhali sana Zitto, njoo ujibu kwa kauli yako mwenyewe!
Nawasilisha!
Wakuu, taarifa hizi ni za Uhakika kabisa, maana mleta habari anaelewa kwa undani ishu nzima...
Kwa Zitto hili ni jambo rahisi tu, aeleze wanajamvi kama ni hoteli yake ya kihalali...basi!
Wakuu, taarifa hizi ni za Uhakika kabisa, maana mleta habari anaelewa kwa undani ishu nzima...
Kwa Zitto hili ni jambo rahisi tu, aeleze wanajamvi kama ni hoteli yake ya kihalali...basi!
Hii hoja nilileta mwaka jana mod wakainyofoa
ilikuwa lile ghorofa lake la mbezi ya kimara nitaweka picha soon
Toka mwaka jana unasema nitaweka picha soon huu ndo umbea wenyewe
inakuhusu nini mbona mimi ninazo mbili za nyota Tano wacha nae ajenge umeshindwa kufight maisha kivyako unaanza kuingilia maisha ya Zito.....Nyambafu yako
Kizuri zaidi ni kuwa yeye katofautiana na kina mkaa hapa wanaokwenda kuwekeza aka kuficha hela zao ughaibuni kisha kuwaomba hao wa ughaibuni waje kuwekeza huku hahaaaaaaa ila usikute mleta mada ndiye zito mwenyewe anapima upepo manake hiyo heading nzito kuliko habari yenyeweUshahidi uweke basi ili mjadala uende vizuri..
Sioni tatizo lolote la Zitto kujenga hiyo hotel, huenda kakopa benki..