Zitto Kabwe Anajenga Hoteli ya Kifahari! [Zitto kafafanua]

Status
Not open for further replies.
Hii ni ya mbezi kimara

images

asante kupeng'e....
 
Hivi mbona watu mnawashwa sana na maisha ya watu, nani kakuomba uweke picha ya ghorofa lake hapa, umbea tu na kiherehere, mnaacha kufanya mambo yenu manafuatilia maisha ya watu, yatawashinda! Si ajabu wewe unaishi jangwani (kwenye mafuriko) unahangaika na maisha ya Zitto, sasa hiyo picha ya ghorofa inakusaidia nini?

Hii hoja nilileta mwaka jana mod wakainyofoa

ilikuwa lile ghorofa lake la mbezi ya kimara nitaweka picha soon
 
Wanajamvi,

Nimepigiwa simu na Ndugu yangu anayeishi Dodoma mjini akinihabarisha kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe anajenga Hoteli kubwa sana ya Nyota 5 Mjini Dodoma, eneo liitwalo KISASA.

Hili ni jambo jema na la maendeleo sana, lakini Je Zitto, hili jambo ni kweli?
Umekuwa unapinga hata kuwa na magari ya kifahari, huku ukisema kuwa hushabikii UTAJIRI, je fedha za kupandisha jengo kubwa na la kifahari kama hilo ni hizihizi za posho zenu, au umekopa benki, au umepewa na mfadhili, au una vyanzo vingine vilivyofichama?

Tafadhali sana Zitto, njoo ujibu kwa kauli yako mwenyewe!

Nawasilisha!

hakuna ubaya wowote kwa huyu mh. kuwa na hotel ya namna hiyo kama anapata fedha kwa njia ya halali, watanzania tuache mawazo ya kishamba:A S embarassed:
 
Ndo ubaya wa kujulikana, hata ukipata faili watu wanafuatilia mwanzo mwisho.
 
Sasa hivi mimi nawaunga mkono mafisadi wote wanaoliibia taifa hili na kuwekeza hapahapa nchini ili ile ahadi ya JK ya ajira kwa vijana itimie!

Safi sana wakiwa na tamaa ya maendeleo binafsi aka ufisadi wawe pia na kaji-uzalendo
 
Wanajamvi,

Nimepigiwa simu na Ndugu yangu anayeishi Dodoma mjini akinihabarisha kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe anajenga Hoteli kubwa sana ya Nyota 5 Mjini Dodoma, eneo liitwalo KISASA.

Hili ni jambo jema na la maendeleo sana, lakini Je Zitto, hili jambo ni kweli?
Umekuwa unapinga hata kuwa na magari ya kifahari, huku ukisema kuwa hushabikii UTAJIRI, je fedha za kupandisha jengo kubwa na la kifahari kama hilo ni hizihizi za posho zenu, au umekopa benki, au umepewa na mfadhili, au una vyanzo vingine vilivyofichama?

Tafadhali sana Zitto, njoo ujibu kwa kauli yako mwenyewe!

Nawasilisha!

Kuna ubaya gani Mwache ajenge hebu tuambie wewe unamradi gani wa ujenzi au umemuona Zitto tu fuatilia wezi wa vitofali vya dhahabu huko nyamongo achana na Zitto
 
Mkuu, kwa hiyo wewe unamuamini sana huyo ndugu yako chochote akikwambia anakubali angalia kuna siku atakuambia amekutafutia mchumba.
 
Wakati mwingine uongo na uzushi wa kipuuzi Kama huu ukiachwa kuna watakaoamini. Sio tu kujenga Hotel, sina hata kiwanja Dodoma. Sitegemei kuwa na kiwanja Dodoma wala kujenga Dodoma.

Nimezushiwa mengi sana

1. Nina nyumba Masaki

2. Nina 900m StanBic

3. Nina kiwanda cha kokotoNa mengine mengi sana.

Yote hayo sio ya kweli na kuna watu wanayaamini.

1. Sina biashara yeyote hapa Tanzania

2. Sina nyumba yeyote Dar. Nina shamba la Ekari tatu tu Mbutu na halijaendelezwa toka mwaka 2004.

3. Ninaishi flats za kupanga Tabata

4. Sina na wala sijwahi kuwa na tamaa ya utajiri katika maisha yangu. Property isn't my thing kabisa.JFMtu akileta accusations dhidi ya mtu mwingine tafadhali aje na ushahidi wa mfano picha ya nyumba, ushahidi wa umiliki ambao ni rahisi sana kupata CDA kwa DODOMA au Wizara ya Ardhi.

Tuache umbeya tuseme kweli. Sikatai Kusemwa kwa ya kweli. Ninajifunza sana kwa critics za ukweli. Lakini uzushi Kama huu unaumiza

Kila la kheri
Ni vizuri umekanusha uzushi lakini kama unataka kujenga hata kuwa na eka 20 za shamba ni hiari yako,hakuna mtu anapaswa kukuingia kwenye maisha yako eti kisa Naibu Katibu Mkuu chadema, au Naibu Kiongozi upinzani au Mbunge wewe ni mtanzania unahaki kama watu wengine kufanya mambo yako halali watu wengine wanaudhi sana bana yaani mtu asifanye maendeleo yake binfsi halali chaa
 
KISASA - Dodoma Mjini?

Labda kama Dodoma Mjini sipafahamu vizuri!!!

Mimi ili nikubaliane na hii issue kuna jina limetajwa kisasa huko dodoma je ni kweli eneo hilo lipo ? Na je kuna ujenzi wa hotel unafanyika kwa sasa ?Tuanzie hapa but again nampongeza Zitto kama anajenga .

KIsasa ni Dodoma, eneo zilizopo nyumba za Maghufuli (za Serikali) na Hotel St. Gasper.Au hamuifhamau Dodoma? tuanize hapo....
 
Wakati mwingine uongo na uzushi wa kipuuzi Kama huu ukiachwa kuna watakaoamini. Sio tu kujenga Hotel, sina hata kiwanja Dodoma. Sitegemei kuwa na kiwanja Dodoma wala kujenga Dodoma.

Nimezushiwa mengi sana

1. Nina nyumba Masaki

2. Nina 900m StanBic

3. Nina kiwanda cha kokotoNa mengine mengi sana.

Yote hayo sio ya kweli na kuna watu wanayaamini.

1. Sina biashara yeyote hapa Tanzania

2. Sina nyumba yeyote Dar. Nina shamba la Ekari tatu tu Mbutu na halijaendelezwa toka mwaka 2004.

3. Ninaishi flats za kupanga Tabata

4. Sina na wala sijwahi kuwa na tamaa ya utajiri katika maisha yangu. Property isn't my thing kabisa.JFMtu akileta accusations dhidi ya mtu mwingine tafadhali aje na ushahidi wa mfano picha ya nyumba, ushahidi wa umiliki ambao ni rahisi sana kupata CDA kwa DODOMA au Wizara ya Ardhi.

Tuache umbeya tuseme kweli. Sikatai Kusemwa kwa ya kweli. Ninajifunza sana kwa critics za ukweli. Lakini uzushi Kama huu unaumiza

Kila la kheri
Zito pole kwa kuzushiwa,

Ila mimi sioni kuna ubaya gani mtu kumiliki nyumba, na wala sioni kuna ubaya gani mtu kuwa na fedha halali, na sioni kuna ubaya gani kujiongezea kipato kama vyanzo vya fedha vina kubali.

Ni Vibaya mtu kumzushia mwingine uongo, ila nafikiri imefika wakati watanzania tuwe na tabia ya kupenda kuendeleza na kuwekeza nchini kwetu na kueleza tumeweza vipi ili iwe changamoto kwa wanaokuwa na vijana au wajasiriamali. tupige mstari kati ya uwekezaji wa kifisadi na ule wa kujituma na kujiibiidisha ili isaidie wengi.

Mimi nakushauri anza kujenga kwani uwezo unao, usiogope wafitini wapo tu wasiopenda maendeleo ya wengine.
 
Wakati mwingine uongo na uzushi wa kipuuzi Kama huu ukiachwa kuna watakaoamini. Sio tu kujenga Hotel, sina hata kiwanja Dodoma. Sitegemei kuwa na kiwanja Dodoma wala kujenga Dodoma.

Nimezushiwa mengi sana

1. Nina nyumba Masaki

2. Nina 900m StanBic

3. Nina kiwanda cha kokotoNa mengine mengi sana.

Yote hayo sio ya kweli na kuna watu wanayaamini.

1. Sina biashara yeyote hapa Tanzania

2. Sina nyumba yeyote Dar. Nina shamba la Ekari tatu tu Mbutu na halijaendelezwa toka mwaka 2004.

3. Ninaishi flats za kupanga Tabata

4. Sina na wala sijwahi kuwa na tamaa ya utajiri katika maisha yangu. Property isn't my thing kabisa.JFMtu akileta accusations dhidi ya mtu mwingine tafadhali aje na ushahidi wa mfano picha ya nyumba, ushahidi wa umiliki ambao ni rahisi sana kupata CDA kwa DODOMA au Wizara ya Ardhi.

Tuache umbeya tuseme kweli. Sikatai Kusemwa kwa ya kweli. Ninajifunza sana kwa critics za ukweli. Lakini uzushi Kama huu unaumiza

Kila la kheri
Jenga kaka pesa ikipungua sema tukuongeze
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom