Hauwezi kutaja historia ya Lowassa bila kuitaja Chadema vile vile hauwezi kutaja historia ya Chadema bila kumtaja Zitto Kabwe

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,840
Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto Kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa anafanya aisee

Zitto ndiye amechangia CHADEMA kufika hapo ilipo na kwa ushujaa wake zitto ameweza kutengeneza Chama cha ACT wazalendo moja ya chama kinachokuja kwa kasi sana Tanzania ni baada ya Chadema kuna ACT wazalendo. Tujaribu kumpa pongezi zake tusisubiri mpaka afe ndiye tumpongeze tuache unafiki kabisa

Wale haters samahanini sana.
 
Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu zitto kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa anafanya aisee

Zitto ndiye amechangia Chadema kufika hapo ilipo na kwa ushujaa wake zitto ameweza kutengeneza Chama cha ACT wazalendo moja ya chama kinachokuja kwa kasi sana Tanzania ni baada ya Chadema kuna ACT wazalendo.Tujaribu kumpa pongezi zake tusisubiri mpaka afe ndiye tumpongeze tuache unafiki kabisa

Wale haters samahanini sana.
Zitto amekufa?
 
Humu jf kwasasa kumejaa mandondocha sn aisee, yan huyo zitto alikuwa na nn hasa kikubwa cha kuifksha chadema hapo? Sasa kama alikuwa na uwezo mkubwa hvyo huo uwezo mbona kashndwa uonyesha huko aliko? BILA MBOWE TUSNGEWAONA AKNA ZITO, MDEE, SUGU, LEMA, HECHE, MNYIKA nk na wengneo walionunuliwa na maccm.
 
Umepa chai?
 
Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa anafanya aisee

Zitto ndiye amechangia Chadema kufika hapo ilipo na kwa ushujaa wake zitto ameweza kutengeneza Chama cha ACT wazalendo moja ya chama kinachokuja kwa kasi sana Tanzania ni baada ya Chadema kuna ACT wazalendo. Tujaribu kumpa pongezi zake tusisubiri mpaka afe ndiye tumpongeze tuache unafiki kabisa

Wale haters samahanini sana.
Hapo hakuna ukweli!!Ipo hivi, Hauwezi kuhitaja CDM bila kumtaja Lowasa.Sawa!!Lakin ukimtaja Lowasa si lazima uitaje CDM. Ndio maana aliondoka cdm
 
Kuna haja watu wajue historia ya vyama vya upinzani, uanzishwaji, ukuaji na watu waliohusika kuifikisha ilipo kwa usahihi bila mihemuko!
 
Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa anafanya aisee

Zitto ndiye amechangia Chadema kufika hapo ilipo na kwa ushujaa wake zitto ameweza kutengeneza Chama cha ACT wazalendo moja ya chama kinachokuja kwa kasi sana Tanzania ni baada ya Chadema kuna ACT wazalendo. Tujaribu kumpa pongezi zake tusisubiri mpaka afe ndiye tumpongeze tuache unafiki kabisa

Wale haters samahanini sana.
Mtu aliyeleta mageuzi CHADEMA ni Freeman Mbowe, wengine walikuwa wapita njia. Kuanzia Kaborou, Dr Slaa, Zitto, Kitila, Arfi, Mdee, etc.
 
Wewe ni mpumbavu!!, Zitto huyu aliyeokotwa chuoni ndio unamsemea?.
 
Mtu aliyeleta mageuzi CHADEMA ni Freeman Mbowe, wengine walikuwa wapita njia. Kuanzia Kaborou, Dr Slaa, Zitto, Kitila, Arfi, Mdee, etc.
Ungemtoa Dr Slaa!!. Cdm haijawahi na hatukuja kuwa Kama ilivyokuwa chini ya katibu mkuu Slaa!.
 
Humu jf kwasasa kumejaa mandondocha sn aisee, yan huyo zitto alikuwa na nn hasa kikubwa cha kuifksha chadema hapo? Sasa kama alikuwa na uwezo mkubwa hvyo huo uwezo mbona kashndwa uonyesha huko aliko? BILA MBOWE TUSNGEWAONA AKNA ZITO, MDEE, SUGU, LEMA, HECHE, MNYIKA nk na wengneo walionunuliwa na maccm.
Sasa ndondocha hasa ni nani? Hao wanaowasifia waliotengenezwa kisiasa na wakatengenezeka au wewe unayewaponda waliotengenezwa na ukamsifia aliyewatengeneza?
 
Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa anafanya aisee

Zitto ndiye amechangia Chadema kufika hapo ilipo na kwa ushujaa wake zitto ameweza kutengeneza Chama cha ACT wazalendo moja ya chama kinachokuja kwa kasi sana Tanzania ni baada ya Chadema kuna ACT wazalendo. Tujaribu kumpa pongezi zake tusisubiri mpaka afe ndiye tumpongeze tuache unafiki kabisa

Wale haters samahanini sana.
actually,
wenye historia nae ndio wanaweza kuelezea na kuthibitisha hayo 🐒

kwa wengine haina maana yeyote na si muhimu kujua hiyo historia yao kama ambavyo chairman Mbowe kule monduli alivyo hemka na kutaka historia ya lowasa Chadema ielezwe na serikali, ambayo haifahamu chochote na haikua na umuhimu kufahamu historia yao 🐒
 
Subiri afe uone kama atasifiwa au lah, au kama unaona sifa zinacheleweshwa makusudi mtangulize.
 
ZZK amefanya wengi sana waipende siasa na hususani chadema, alikuwa ni moja kati ya mawe muhimu sana ya pembeni katika kuijenga Chadema,

ZZK amefanya makubwa kwa chadema kuliko hata TAL
 
Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa anafanya aisee

Zitto ndiye amechangia Chadema kufika hapo ilipo na kwa ushujaa wake zitto ameweza kutengeneza Chama cha ACT wazalendo moja ya chama kinachokuja kwa kasi sana Tanzania ni baada ya Chadema kuna ACT wazalendo. Tujaribu kumpa pongezi zake tusisubiri mpaka afe ndiye tumpongeze tuache unafiki kabisa

Wale haters samahanini sana.
Lowassa alitaka kuitumia CHADEMA km daraja tu hana historia yoyote huko. Zitto sawa
 
Sasa ndondocha hasa ni nani? Hao wanaowasifia waliotengenezwa kisiasa na wakatengenezeka au wewe unayewaponda waliotengenezwa na ukamsifia aliyewatengeneza?
sina muda mchafu wa kubshana na machawa mimi, umeme hakuna, maji hakuna, elimu ya hovyo, ajira hakuna, katiba ya hovyo, viwanda alivyoacha mwl nyerere vyote vlimalizwa na majitu yaliyoko ccm, mashirika ya umma yote hovyo halafu nibshane na jitu linalosfia ccm na maviongoz yake.
 
Back
Top Bottom