Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

Nani kafanya ichi,sjui nan kaanzisha ili haitusaidii kwa manufaa ya taifa,zitto naomba usijibu upuuzi uu
 
zitto akionekana kwenye kanisa la FRANSIS MARIA tu, mambo yake takuwa vizuri ndani ya CDM. namuonea huruma sana Abdalla safari
 
zitto akionekana kwenye kanisa la FRANSIS MARIA tu, mambo yake takuwa vizuri ndani ya CDM. namuonea huruma sana Abdalla safari
Hukumuonea huruma alipopata kura 3 kwenye uchaguzi wa chama cha misikitini CUF, ndio umuonee huruma leo!? tupunguze unafki.
 
Hukumuonea huruma alipopata kura 3 kwenye uchaguzi wa chama cha misikitini CUF, ndio umuonee huruma leo!? tupunguze unafki.
sasa kaingia chama cha kanisa ndio atazidi kuumbuka. maana imani yake ndio kikwazo.hakujifunza kutoka kwa zitto? tunasikia hata jina lake halipo ubalozini
 
sasa kaingia chama cha kanisa ndio atazidi kuumbuka. maana imani yake ndio kikwazo.hakujifunza kutoka kwa zitto? tunasikia hata jina lake halipo ubalozini

al-shabab-group-12.jpg
03_obama_terry_clip_image002.jpg
1278979575519.jpg
03_obama_terry_clip_image001.jpg
 
Jamii haiwezi kukamilika bila ya kuwa na watu wenye mawazo tofauti japo wote lengo lao ni moja.
Ikitokea katika jamii moja watu wote akili zao zikafanana basi ipo hitilafu kubwa, siku zote maendeleo hupatikana
palipo na misuguano yenye kujenga...Aidha hata katika ndugu wa familia moja wakiwa wengi lazima
atapatikana mnafiki au mkorofi lakini haimaanishi ndugu wengine wamkane... Ni vema kila mmoja atumie
kipawa chake vizuri ili kuleta maendeleo tarajiwa katika jamii. Zito, Mdee na Slaa watakumbukwa jinsi walivyoifanya
CDM kuwa maarufu TZ kutokana na hoja zao zilizotafitiwa bungeni, kama kuna mahali amekengeuka wapo wazee
watayamaliza...HAIPENDEZI KUCHOCHEA MITAFARUKU
 
Binafsi wakati wote namwona zitto ndumila kuwili mkubwa na cdm wanatakiwa kumfukuza mara moja kwani kuna uhakika kuwa anaandaliwa vikali kwa pesa nyingi za epa na ccm ili kuihujumu cdm lkn anafanya kwa tahadhari sn maana anajua cdm ni chama makini , inteligensia ya cdm ni zaidi ya ile ya serikali
 
LOL! For this comment!
 
Zitto Kabwe ana kiherehere sana hata juzi Juma Mkamia aliomba muongozo ili ajuwe kwamba Zitto Kabwe nae ni miongoni mwa wasemaji wa ikulu!!??
Watu wa Kigoma kwenye siasa wana matatizo sana hasa hawa ambao wamechanganyika na utusi ndani yake.

Tuombe radhi watu wa KG tafadhali, I mean it. Hii tabia ya ku-generalize mambo kuhusu kundi au kabila fulani si sawa.
Kuhusu Mwanahalisi Vs Zitto, naanza kushawishika na malalamiko ya Zitto dhidi yao kuwa Mwanahalisi wanamuandama.
 
Haki Gani unataka Ndani ya Chama? si Ndio hizo za akina Hamad wa Cuf? Ukiwa katika Chama auhitaji hata cheo kwenye Chama ni kufuata sera za chama kuboresha nchi; Angalaia Marekani au Uingereza Wabunge wao hawagombei Uongozi ndani ya chama chao na kuvuana nguo... na kuitana Maneno wanaenda kwenye Majimbo yao na kuonyesha tofauti kwa kunufaisha Jimbo hilo sio Chama...

Eti ZITTO alipokuwa Katibu Mkuu wa Chadema alinufaisha wanachama wa Chadema what Crazy antique is that? Ndio Maana tunarudi nyuma sisi na vyama Vingi; Umeona Kenya wanagombea Ukatibu Mkuu wa Chama, wao wanaishu nyingine naona tutaipata pia kila mtu anataka kuwa Rais...

Ajabu kweli ETI ZITTO hatendewi haki CHADEMA; ubaya wetu sisi Madaraka Mengi kweli...
 
Asiyefahamu kuwa chadema ni chama kwa ajili wakristo..Tanzania; atakuwa ni mgonjwa
 
Mwanachama muislam chadema anatakiwa kubeba mabegi ya wakubwa wake period..

Wanatakiwa waongozwe wasiongoze kamwe..kila kitu kiko wazi huko
 
Zitto anafanyiwa kila hila iuliwe "character" yake.

Hivi Zitto anafikiri kuna siku atakuwa Katibu Mkuu au atakuwa Mwenyekiti au atakuwa mgombea Urais wa magwanda? Maaaweee! labda aukane Uislaam.

Namsikitikia sana kupoteza nguvu zake bure, lakini ndio watu wa UWT walivyo, maslahi ya Serikali mbele halafu yao halafu ya wananchi. Ingekuwa hafati "amri" saa hizi zamani angekuwa hayupo na magwanda.

Kwani amekuambia anavitaka vyeo hivyo? au unampa kuanzisha fitina za Hamad wa CUF??
 
Mwanachama muislam chadema anatakiwa kubeba mabegi ya wakubwa wake period..

Wanatakiwa waongozwe wasiongoze kamwe..kila kitu kiko wazi huko
Kama Unasema Hivyo vipi Wanachama Wakristo wa CUF ni wabeba Mabegi as well?
 
Asiyefahamu kuwa chadema ni chama kwa ajili wakristo..Tanzania; atakuwa ni mgonjwa

Sasa utaiitaje CUF?

Kila mtu mwenye Dini ya kiislamu lazima atafute kitu cha kubagua kati yake na Mwanadamu Mwenzake; ili kuleta chuku...

Chuki inakusaidia nini? shukuru Mungu Unaishi Tanzania hujaona Damu zikimwagika, Haujawahi kuzuiwa kwenda nje ya nyumba yako kwa miezi 6; wewe na familia yako wote mko salama kokote mliko mnatembeleana na kucheka, hasira zenu mnazitoa na kuisha hakuna jazba

Shukuruni Mwenyezi Mungu Wewe na Familia yako Mna kazi na Serikali yako iwe ya kikristo au ya kiislamu inawatambua kama wanadamu halali

Acheni Ufitina kuna watu wanataabika hata kwenda Mpirani sasa Wanakufa na walikuwa hawana hayo angalia Egypt (MISRI) Sasa - Wameondoa FISADI yamewapata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom