Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

sisi kwa sisi

Senior Member
Feb 1, 2012
119
2
Nilisoma gazeti la mwanahalisi la Jana na kuona jinsi Chadema ilivyojibu hoja ya Mh zitto Kuhusu Chanzo cha mazungumzo ya CHADEMA na rais JK.

Licha ya kuwa ile habari imetoka kwenye gazeti kama andishi, lkn ukiangalia kwa undani utagundua ilikuwa ni kauli ya Chama.
Hii tofauti na viongozi wengine wa Chama, huzungumza mengi ambayo kimsingi yanapingana na Chama.

Lakini uongozi wa juu hauchukui jitihada za kukanusha.tayari ztto alitoa makala kuhusu Uhusiano wake na Uongozi wa juu hasa baada ya kudai siku hizi hata patokee msiba haambiwi
jee kwanini imefikia hali hii
 
1. hiyo kauli imetolewa na kiongozi yupi wa CDM ?

2.JE MWANAHALISI NI MSEMAJI WA CDM?

3.zitto anaonewa kivipi na CDM? labda useme mwanahalisi anamwonea zitto ila NAKATAA as mwanahalisi ametoa ufafanuzi mzuri so ni wajibu wa Zitto naye kutoa maelezo ya ziada incase

4.Mwanahalisi hambebi/hamkandamizi mtu yeyote ila anabeba hoja..Ikiwa JK atakuja na hoja ya maana mwanahalisi ataianisha na ikitokea Slaa kaja na pumba tutaelezwa pia
 
Mimi sijalisoma na sidhani kama nitalipata gazeti hilo.

Sasa, kwanini usiandike uzi wako kwa mapana, ukichanganua na kunukuu pale ambako unahisi kuna shida ila sisi wachangiaji tusitoe maoni yetu kwa hisia na ushabiki?
 
Mlolongo mzima wa mazungumzo nimeuona na ulianzishwa na Regia. Lakini tatizo la magazeti yetu kuandika kwa kufata matakwa ya baadhi ya watu ndo chanzo. Hali hii inasababisha kuonekane ndani ya chadema kuna bifu wakati hiyo siyo hali halisi
 
Mimi sijalisoma na sidhani kama nitalipata gazeti hilo.

Sasa, kwanini usiandike uzi wako kwa mapana, ukichanganua na kunukuu pale ambako unahisi kuna shida ila sisi wachangiaji tusitoe maoni yetu kwa hisia na ushabiki?
litafute uone mambo
 
Zitto Kabwe ana kiherehere sana hata juzi Juma Mkamia aliomba muongozo ili ajuwe kwamba Zitto Kabwe nae ni miongoni mwa wasemaji wa ikulu!!??
Watu wa Kigoma kwenye siasa wana matatizo sana hasa hawa ambao wamechanganyika na utusi ndani yake.
 
Gazeti la mwanahalisi halimilikiwi na chadema,kwanza naliamini kwa reliable niuz na lipo independent,hebu mtoa hoja tueleze kiongozi wa chadema alohojiwa hapo.NAAMINI UMETUMWA KWANI HUELEWI MAANA YA MAKALA? Mwambie zitto NCCR wanamtamani sana
 
Nilisoma gazeti la mwanahalisi la Jana na kuona jinsi Chadema ilivyojibu hoja ya Mh zitto Kuhusu Chanzo cha mazungumzo ya CHADEMA na rais JK.

Licha ya kuwa ile habari imetoka kwenye gazeti kama andishi, lkn ukiangalia kwa undani utagundua ilikuwa ni kauli ya Chama.
Hii tofauti na viongozi wengine wa Chama, huzungumza mengi ambayo kimsingi yanapingana na Chama.

Lakini uongozi wa juu hauchukui jitihada za kukanusha.tayari ztto alitoa makala kuhusu Uhusiano wake na Uongozi wa juu hasa baada ya kudai siku hizi hata patokee msiba haambiwi
jee kwanini imefikia hali hii

Lazima utambue kuwa social networks zinz faida na hasara zake. Moja ya hasara zake ni mtumiaji kukiuka official communication channel ta taasisi husika.

Kwa hilo hiyo haikuwa sahihi pia kwa Zitto pia kutoa hadharani mambo yaliyojiri ndani ya vikao. Haknu anyeonewa ni mabadiliko ya btekenolojia acha kulia kulia!
 
Alichokataa juma Nkamia juzi na kumsuta zitto sasa kimebainika ni ukweli hasa mara baada ya kauli toka ikulu,Zitto akurupuki hata siku moja.
 
Si kweli unayosema mtoa mada.Gazeti la mwanahalisi halijamtaja mtu. Isipokuwa ninachojua Mwanahalisi wana bifu kubwa na Zitto.Sijui chanzo cha ugomvi wao kwani Zitto aliwahi naye kunukuliwa akisema mhariri wa mwanahalisi ameishia darasa la nne.

Kwa hiyo ni vita yao wenyewe.Lakini nadhani umefika wakati Zitto na Kubenea wapatane.

Waachane na vita yao.Wanaweza hata kumtumia Dr Slaa kuwapatanisha.Na hilo linawezeka kwa sababu kwanza wote ni wanaChadema na pili hata kiimani wote ni waislam.Wanaweza kupatana na maisha yakasonga mbele.Naamini wote wako humu jamvini na watatafakari ushauri wangu.
 
1. hiyo kauli imetolewa na kiongozi yupi wa CDM ?

2.JE MWANAHALISI NI MSEMAJI WA CDM?

3.zitto anaonewa kivipi na CDM? labda useme mwanahalisi anamwonea zitto ila NAKATAA as mwanahalisi ametoa ufafanuzi mzuri so ni wajibu wa Zitto naye kutoa maelezo ya ziada incase

4.Mwanahalisi hambebi/hamkandamizi mtu yeyote ila anabeba hoja..Ikiwa JK atakuja na hoja ya maana mwanahalisi ataianisha na ikitokea Slaa kaja na pumba tutaelezwa pia
niliyokuwa nayo yoooote umeyamaliza mkuu
 
Ndugu,

Kwa kawaida mkikaa kwenye kikao, mmoja wenu akaleta hoja, ikajadiliwa kwa mapana na mwishowe hoja hiyo ikapitishwa au ikakataliwa uwa SIO nani kakubaliwa au kakataliwa bali kikao kimekubali au kimekataa.

Jambo la muhimu katika hoja ya CHADEMA kwenda kuonana na Rais ni moja tu walifanya jambo la maana au la! Nani alitoa hoja, nani alimuunga mkono au nani aliguna si jambo la kuumiza vichwa ila la maana hapa ni kwamba walipoenda kuonana na Rais walifanikiwa katika hoja zao au la. Kikao kiliamua kuonana na Rais basi.
 
si wote tuliosoma hilo gazeti hvy ni bora uweke mambo yaliyoandikwa.
hakuna kitu dada yangu,gazeti linamnukuu ofisa mmoja wa cdm akikanusha habari za zitto kusema kuwa hoja ya kumuona rais ilitolewa na regia kwa mara ya kwanza.ofisa huyo anaeleza kuwa pendekezo hilo lilitolewa kwa mara ya kwanza na kamati kuu kufuatia taarifa ya mtaalam wa chama aliyepewa jukumu la kukishauri chama juu ya hatua muafaka za kuchukua baada ya ccm na ccm b kuchakachua mswada wa katiba mpya.ofisa huyo anasema kuwa rejia hakuwa mjumbe wa kamati kuu na kuwa wakati mamboi yakijadiliwa zitto hakuwepo kwani alikuwa mgonjwa.
zitto kama hatengwi ila anajitenga mwenyewe nilishangaa sana kuona kaenda kulala na kuwaachia viongozi wakuu(wazee) wakihangaika kuratibu mazishi ya regia kule kwao.mbowe,slaa, arthi,rwakatare na heche wakihangaika kuratibu uhamishaji wa mahema wakati vijana wengine wakiwa wameenda kulala.vijana wengine nawasamehe kwa sababu wengine kama msigwa,wenje na sugu walifanya kazi kutwa kuaandaa nyumbani kwa akina regia.lakini kwa zitto ambaye ni kiongozi mkuu wa kitaifa na kijana asingetakiwa kulala na kuwaacha viongozi na wazee wake wakihangaika usiku kucha.kwa mfano Kamanda wa anga alienda kulala saa kumi na moja na sikuona kama kamanda rwakatare alilala siku ile
 
Ndugu,

Kwa kawaida mkikaa kwenye kikao, mmoja wenu akaleta hoja, ikajadiliwa kwa mapana na mwishowe hoja hiyo ikapitishwa au ikakataliwa uwa SIO nani kakubaliwa au kakataliwa bali kikao kimekubali au kimekataa.

Jambo la muhimu katika hoja ya CHADEMA kwenda kuonana na Rais ni moja tu walifanya jambo la maana au la! Nani alitoa hoja, nani alimuunga mkono au nani aliguna si jambo la kuumiza vichwa ila la maana hapa ni kwamba walipoenda kuonana na Rais walifanikiwa katika hoja zao au la. Kikao kiliamua kuonana na Rais basi.

ni kweli mkuu,halafu ukikumbuka taarifa ya zitto aliyoitoa kama tanzia nadhani yenye kichwa cha habari "Nikuageje Rejia" alichomeka mambo mengi yasiyohusu maombolezo na kwa kweli ilikuwa na malengo maovu kuliko mema.kiukweli siku huyu dogo akiondoka katika chama hiki au akifukuzwa mimi nashangilia na sioni kwa nini hafukuzwi chamani?
 
Mimi sijalisoma na sidhani kama nitalipata gazeti hilo.

Sasa, kwanini usiandike uzi wako kwa mapana, ukichanganua na kunukuu pale ambako unahisi kuna shida ila sisi wachangiaji tusitoe maoni yetu kwa hisia na ushabiki?

ila uda aliipotezea kwa nini?
 
1. hiyo kauli imetolewa na kiongozi yupi wa CDM ?

2.JE MWANAHALISI NI MSEMAJI WA CDM?

3.zitto anaonewa kivipi na CDM? labda useme mwanahalisi anamwonea zitto ila NAKATAA as mwanahalisi ametoa ufafanuzi mzuri so ni wajibu wa Zitto naye kutoa maelezo ya ziada incase

4.Mwanahalisi hambebi/hamkandamizi mtu yeyote ila anabeba hoja..Ikiwa JK atakuja na hoja ya maana mwanahalisi ataianisha na ikitokea Slaa kaja na pumba tutaelezwa pia
Kwani ww ndie msemaji na mtoa majibu wa cdm? Au...
 
Zitto Kabwe ana kiherehere sana hata juzi Juma Mkamia aliomba muongozo ili ajuwe kwamba Zitto Kabwe nae ni miongoni mwa wasemaji wa ikulu!!??
Watu wa Kigoma kwenye siasa wana matatizo sana hasa hawa ambao wamechanganyika na utusi ndani yake.

please....for GOD's sake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom