Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

wewe ndiye aliyevulunda kabisaaa, nguvu nyingi kumbe pumb, la udini linakujaje hapa, kama ni udini angalia Dr. Slaa alivyopokelewa hapo zenj. umaarufu ni chama chenyewe sio mtu binafsi.

Mkuu sijaamini macho yangu jinsi CDM inavyoungwa mkono jimbo la UZINI
 
Kifupi katika vichwa ambavyo vinaibeba Chadema ni Zitto. Ni kijana mahiri na mara zote ana hoja nzito sana na za kiungwana zisizotawaliwa na jazba kama akina Lisu na Mnyika na wengine wengi ndani ya Bunge lenu.

Huyo kwa namna yoyote anaogopeka sana kuweza kuchukua nafasi ya juu kabisa ndani ya Chadema ndio maana sasa wameanza kumzuia zuia.

Tatizo kubwa la Zitto kwa Chadema ni kuwa hana share katika Chademe na kubwa zaidi ni ukanda aliotokea sio chimbuko lakini zito zaidi ni Dini yake.

Barubaru,
Hapo penye red tuachie wenyewe, mbona unataharuki nyingi na siasa za Tanzania yetu ilhali ukijidai Tanzania si kitu? Hebu tuelezee demokrasia ya Oman tupate kujifunza, kila unapoandika mara nchi yenu, mara bunge lenu ya ngoswe mwachie ngoswe, au ndio kisebusebu na kiroho papo?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Hivi huu huwa ni ujuha au mtondio wa ubongo? Mtu kusema Zitto anaonewa ndani ya CDM, kwani hiki si ni chama cha siasa? Huyu Zitto ni mtoto mdogo ambaye hawezi kujisemea mpk fulani aseme kwa niaba yake.

Zitto anabaguliwa = hivi kama ni kweli anabaguliwa angeendelea kuwepo?

Zitto anaonewa = Kwa hiyo umemuona ni pathetic kiasi hawezi kusiamama ila kwa Public Sympathy?

Hivi wewe umekuwa una akili saaaaana ya kujua mawazo na hisia za Zitto Kabwe mpk umsemee? Chama ni kabila kiasi iwe kwamba mtu anaweza kubaguliwa na bado akaendelea kuwepo na tena akiwa kimya ku-pretend kuwa anatendewa haki?

Kweli ujinga ni mzigo. Labda uniambie wamem' -blackmail.
 
Kifupi katika vichwa ambavyo vinaibeba Chadema ni Zitto. Ni kijana mahiri na mara zote ana hoja nzito sana na za kiungwana zisizotawaliwa na jazba kama akina Lisu na Mnyika na wengine wengi ndani ya Bunge lenu.

Huyo kwa namna yoyote anaogopeka sana kuweza kuchukua nafasi ya juu kabisa ndani ya Chadema ndio maana sasa wameanza kumzuia zuia.

Tatizo kubwa la Zitto kwa Chadema ni kuwa hana share katika Chademe na kubwa zaidi ni ukanda aliotokea sio chimbuko lakini zito zaidi ni Dini yake.

Kubwa jinga lingine hili! Acha Ukunguru wa kifa.ra
 
Kifupi katika vichwa ambavyo vinaibeba Chadema ni Zitto. Ni kijana mahiri na mara zote ana hoja nzito sana na za kiungwana zisizotawaliwa na jazba kama akina Lisu na Mnyika na wengine wengi ndani ya Bunge lenu.

Huyo kwa namna yoyote anaogopeka sana kuweza kuchukua nafasi ya juu kabisa ndani ya Chadema ndio maana sasa wameanza kumzuia zuia.

Tatizo kubwa la Zitto kwa Chadema ni kuwa hana share katika Chademe na kubwa zaidi ni ukanda aliotokea sio chimbuko lakini zito zaidi ni Dini yake.

The other day nilikuita mpumbavu ukasema nakutukana. Hivi kwa akili ndogo tu, kama Zitto ndio anaibeba CHADEMA na unaamini hivyo, inawezekanaje CHADEMA imburuze Zitto badala ya Zitto kuiburuza CHADEMA?

Nafikiri ni ule ujinga wa Kiarabu ndio unawasumbua. (mlituambia kuwa Gadafi aliwasomesha walibya bure mpk chuo kikuu at the same time mkalalama kuwa walibya wanarubuniwa na Marekani: wamesoma na bado hawana akili!!!!!!!!) Wewe kama unajua Zitto ni madhubuti basi huwezi kuwa wakili wake. Kama kuna baya analofanyiwa na atalisimamia.

Halafu kumbe unajua ni bunge letu, ww shida yako nini? Kama ulikimbia challenges za maisha ukaona ukawe mamsap wa mtu huko uarabuni, basi mambo ya Bongo waachie wenye Ubongo
 
Tumshauri Zitto ajiunge na chama cha CUF maana ndio chama cha dini yake, hata Mtatilo amepewa cheo kwa ajili ya ile sigida yake.
 
Ukisikia PAA basi ...

Pole sana.
 
Tumshauri Zitto ajiunge na chama cha CUF maana ndio chama cha dini yake, hata Mtatilo amepewa cheo kwa ajili ya ile sigida yake.

Tunashukuru sana kwa ufafanuzi wako murua..

Kumbe Chadema ni chama cha Wakiristo watupu! Ndio maana tumeona Mbunge wa Iringa Mjini ni Mchungaji Peter Msingwa.

Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Yohana Natse.

Mgombea Urais Padre W. Slaa.
 
Tatizo la Z.K ni kiherhere kama alivyosema mwenzetu. Hebu fuatilia mambo yake huko nyuma utaona ni kweli. Kwanza anapenda publicity, pili awe juu ya yote. Check alikomfikisha Kafulila. Haachi hapo, pia ni mpenda madaraka. To me he is not a good material in politics.
 
Tunashukuru sana kwa ufafanuzi wako murua..

Kumbe Chadema ni chama cha Wakiristo watupu! Ndio maana tumeona Mbunge wa Iringa Mjini ni Mchungaji Peter Msingwa.

Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Yohana Natse.

Mgombea Urais Padre W. Slaa.

Kuhesabu viongozi kwa hisia za udini ni hatari na hasa tukiamua kupita kila chama kwa kutumia kanuni yako tutajikuta tunaipeleka nchi kusiko.
 
Nafikiri mmetoka nje ya topic yenyewe! Huo udini ndio tunaupiga vita nyie ndiyo walezi wake. Let us be matured and act with maturity.
 
Tushughulikie mambo mazito na kumsadia Rais kutatua matatizo, Udini si uchumi wala udini si siasa wakati sisi tukibishana kuhusu udini Rais wetu mpendwa Kikwete ataelemewa na majukumu ambayo sisi bila kujali dini zetu tunahitaji kumsadia. Madaktari waliogoma ni wa dini gani?
 
Kuhesabu viongozi kwa hisia za udini ni hatari na hasa tukiamua kupita kila chama kwa kutumia kanuni yako tutajikuta tunaipeleka nchi kusiko.

Tatiza la kusoma sunday school hili na kupitia skuli na vyuo vile vya st .. st ..

Kunya anye kuku, akinya bata ...

Tunashukuru sana kwa ufafanuzi wako murua..

Kumbe Chadema ni chama cha Wakiristo watupu! Ndio maana tumeona Mbunge wa Iringa Mjini ni Mchungaji Peter Msingwa.

Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Yohana Natse.

Mgombea Urais Padre W. Slaa.

Kama ulikuwa hujui kanisa ndio linateuwa Rais nakupa pole sana, Lowasa. Mwakyembe, Samuel Sita, Benard Membe, je watu hawa umewaona wakifanya kampeni zao misikitini?
Hujui kwamba kanisa ndio lilisema Kikwete ni chaguo la Mungu? usipende kudandia vitu usivyovijuwa wewe kijana. ni chama cha CUF peke yake ndio chenye Memorundum of undestanding na misikiti.
 
Nilisoma gazeti la mwanahalisi la Jana na kuona jinsi Chadema ilivyojibu hoja ya Mh zitto Kuhusu Chanzo cha mazungumzo ya CHADEMA na rais JK.

Licha ya kuwa ile habari imetoka kwenye gazeti kama andishi, lkn ukiangalia kwa undani utagundua ilikuwa ni kauli ya Chama.
Hii tofauti na viongozi wengine wa Chama, huzungumza mengi ambayo kimsingi yanapingana na Chama.

Lakini uongozi wa juu hauchukui jitihada za kukanusha.tayari ztto alitoa makala kuhusu Uhusiano wake na Uongozi wa juu hasa baada ya kudai siku hizi hata patokee msiba haambiwi
jee kwanini imefikia hali hii

Wangwe alipopata msukosuko chadema udini haukuchukua nafasi yake, david kafulila alipofukuzwa chadema udini haukuwa sehemu ya hoja, madiwani waliofukuzwa Arusha-chadema wengi ni wa dini moja, Shibuda katengwa chadema, kwa nini misukosuko ya Zitto kisiasa lazima ibebe na udini? Nafikiri tunakokwenda siko!!!!!
 
Kuna watu hapa Jf wanadiriki kusema ni wapinga udini lakini ukiangalia post zao hawana tofauti kabisa na hao wanaosema ni wadini. nani ataondoa udini kama kweli upo endapo mashabiki wanaongezeka badala ya kupungua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom