Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

Na asiyejuwa kwamba Topical ni mpemba atakuwa ni mgonjwa zaidi.

Zitto na safari watabeba mabegi ya wakristo huko chadema hadi soli ziwaishie hicho chama kina wenyewe, lazima umesoma seminari ndio unapewa cheo..
 
Kama walivyosoma Seminary Zitto Kabwe na Arfi.

Wanatumika tu kama toilet paper soon watapigwa chini; wakitaka ku-prove waombe kazi zaidi ya makamu na naibu wa mkristo..hapo ndio atapewa jina la mbwa...
 
Sasa utaiitaje CUF?

Kila mtu mwenye Dini ya kiislamu lazima atafute kitu cha kubagua kati yake na Mwanadamu Mwenzake; ili kuleta chuku...

Chuki inakusaidia nini? shukuru Mungu Unaishi Tanzania hujaona Damu zikimwagika, Haujawahi kuzuiwa kwenda nje ya nyumba yako kwa miezi 6; wewe na familia yako wote mko salama kokote mliko mnatembeleana na kucheka, hasira zenu mnazitoa na kuisha hakuna jazba

Shukuruni Mwenyezi Mungu Wewe na Familia yako Mna kazi na Serikali yako iwe ya kikristo au ya kiislamu inawatambua kama wanadamu halali

Acheni Ufitina kuna watu wanataabika hata kwenda Mpirani sasa Wanakufa na walikuwa hawana hayo angalia Egypt (MISRI) Sasa - Wameondoa FISADI yamewapata

Ha ha ha..wakristo wakibagua waislamu sawa, waislamu wanatakiwa waseme hewala! tukisema vingine wabaguzi ha ha ha hizo nyimbo nimezisikia sana mkuu..

Kinachotakiwa waambie wakristo wabaguzi usiogope kuwaambia if you can, otherwise nyimbo za kawaida sana hizo..
 
Zitto kabwe sio mwislamu ndio maana huwezi kumuona msikitini na kwa mujibu wa uislamu huyu alitakiwa apigwe mawe hadi kufa kwa kosa la uzinzi ( kuzaa kabla ya ndoa )
kaka huko kwenye zinaa na kuchukua wake za watu usiende kabisa,ni sawa sawa na kuanzisha vita ya mawe wakati ukijua wazi kwamba unaishi katika jumba la vioo kupitia mgombea urais wetu 2010!acha kabisa hiyo biashara kichaa tena pasua kichwa.
 
hivi dk slaa anamke? au bado ni kachumba? kwa mujibu wa biblia huyu anazini
 
Mi sion haja ya kung'ang'ania nan aliyeshaur kuhusu kukutana na rais ! Sasa hapa tunatafuta umaarufu ambao hauna tija.hamna matatizo mengine ya kushughulikia?
 
Zito Zuberi Kabwe si mdini wala mkabila, ni kijana smart ambaye anaweka maslahi ya Taifa mbele

Kilichotokea kwenye ile taarifa ya Mwanahalisi ni umbumbumbu wa kupinga hoja zisizopingika, ETI ULE USHAURI ULITOKA KWENYE SECRETARIET YA CHADEMA!!! HAISEMI NANI NDANI YA SEKRETARIET ALIYESEME' this is funny part of mwanahalisi, magazeti yanayonyonya akili za wenye akili wa Tanzania hii kama Mwanakiji!!! halisemi ''nani katoa ile taarifa ndani ya sekretaireti'' ila inadai Zito alimzushia Regia Mtema!!!

Gazeti hili linamilikiwa na akina Temu mweka hazina wa CDM!!

Rudi nyuma nenda mbele, ZITO amekibeba chadema si tu kwa sababu ya ujana au ubunge, ila ana AKILI SANA, ana akili ambazo hatuoni kijana wa aina ya zito CCM wala vyama vingine, msomi amabye anaujua uchumi na anaweza kufanya jambo!

Zito ni threat kwa wapenda ufisadi ndani ya chadema wale wasiokuwa na vision ya kuchukua serikali! bali wenye vision ya kujiongezea utajiri na kuimarisha biashara zao kama akina (Mbowe).

Nilipokuwa na wasiwasi naye namuuliza, lakini mara nyingi nimejihakikishia bila chenga kuwa Zito ni mpinzani halisi, ni caliber ya akina kafulila na hamad, ni caliber ya akina Omary Lyas na Ben na akina Msando, watu ambao wakishika uongozi lazima utawajua kwa misimamo yao

Zito ANACHUKIWA NDANI YA CHADEMA SI KWA SABABU YA DINI!!! LA ILA KWA SABABU YA UWEZO WAKE! MISIMAMO YAKE NA VISION YAKE! chadema wabunge wengi wakiwemo akina Lema tulijionea wakimpinga zito, akina Slaa walitamka waziwazi kuwa wako juu ya zito kwani amepata kura milioni 2, wengine hawawezi kumwangalia usoni..wanasemea chini chini kama hivi! siasa zake ni za miaka 50 ijayo ambazo wengi wao sio viongozi bali hata wanachama wa chadema hawamwelewi wala kucopy naye!

JF tumeshuhudia watu wakionyesha chuki za wazi wazi, hata pale atakapotoa ufafanuzi....KIJANA HUYU ANAPITIA VIPINDI VIGUMU, ashukuriwe mola ni strong!! je akiamua kwenda CCM leo nani wa kumzuia? nani atamfanya nini?? si maisha yake? mtamwita msaliti ili hali mmeishasema msaliti tangu kale??

Zito ana credibility kubwa ndani ya chadema , hajatokea chama chochote, ameanzia chadema, amekulia chadema, wengine wametokea wapi?? they have been CCM members for long time na wameondoka kwa kutopewa uongozi ( kama slaa) ila leo hii ni hero!

Lets me say this, WAPINZANI WA TANZANIA TUNAWAARIBU WENYEWE! hakuna adui mkubwa kama kuwa insider, kuwa traitor, wanaowarudisha nyuma wapinzani ni wapinzani wenyewe..CCM they dont have that time!!!

CCM wamemfukuza Kafulila? CCM wamemfukuza Hamad? CCM walifukuza wale madiwani? penye ukweli tuseme....HAKUNA M'BUNGE YEYOTE NDANI YA CHADEMA ALIYEMFIKIA ZITO KWA STRENGTHS ZAKE, NA HAKUNA M'BUNGE ANAYECHUKIWA CHADEMA KAMA ZITO HUYO HUYO!!!

CHADEMA mtadaiwa, Mbowe utahukumiwa!!1 historia itaandikwa, ukweli utawekwa wazi...akina Kubenea kila lenye mwanzo lina mwisho, umejifanya mpambanaji 'mnafiki wewe' umenunua akili za wengi na wengine wamekuona shujaa wao, wako tayari kukulamba na kukunyonya kila mahali.....LAKINI ANAYEUA UPINZANI NCHI HII wa kwanza ni wewe!!! Temu umekaa kimya, wana JF-WENGI wenye zile akili ndogo, oh yes akili za panzi wanakushangilia....mwishowe!

chama kinakosa watu, kinakosa wafuasi......mtu akishasema '' kumbe hata zito naye walewale'' HAMUANGALII ZITO ANA ANGALIA UPINZANI WOTE'' at the end anaona hakuna haja ya kupiga kura wala kuwa mfuasi...HILI WENGINE HAMLIONI!!

Zito unapokuwa na wasiwasi naye muulize, either m-pm, au weka hapa jukwaani, pata majibu yake, ukiridhika endelea naye, tunachofanya ni ujinga na CCM wanatuangalia , yes they are busy planning their fate!! we are planning to end someone's potentials!!!

ZITO aluta continua!

Siku zote nakudharau kwa sababu huwezi kuweka hoja zako bila kwanza kumtukana Slaa na Mbowe.Kwani bila kuwatukana hawa pointi zako hazipangiki? Ndio maana hoja zako zinaonekana ni upuuzi tu.
 
Ina maana umepoteza muda wako kumsoma huyo alieandika Gazeti hapa badala ya point chache aeleweke!?
 
Ile Tanzia(?) ya Zitto ilikuwa na mambo mengi ndani yake ambayo hayakupaswa kuwepo!hata zile habari za kuwa +Marehemu Regia(R.I.P),Aliingia ktk mgogoro na Afisa wa chama kuhusu chama kukabidhiwa kwa wasomi hazikuwa mahali pake,sintofahamu ya +Regia na Suzan Kiwanga haikuwa na tija kuizungumzia nyakati zile....na blaablaa nyingi alizochomekea ambazo zilhusu vikao vya ndani was nonsense!Uyu dogo ana sifa sana,kalewa umaarufu...si ajabu watu wanahisi anakihujumu chama kwa mafisadi
Mkuu Ngaliba na Mtolewa big ups.nafurahi kwa nyie kusema ukweli.Zitto hakuwa na sababu yoyote ya kujidai anaandika Tanzia kwa marehemu huku akiongelea mambo ya ndani ya chama.hakuwa yeye pekee aliyekuwa karibu na marehemu.sasa kila mtu aliyekuwa rafiki wa marehemu angeorothesha mambo kama alivyofanya Zitto ingekuwaje?Zitto alifanya hivyo makusudi ili kujaribu kutuma mambo ujumbe fulani kwa watu.Amemtumia marehemu kupata credits.suala la yeye kuwa ndiye aliyesababisha CDM wakutane na Mh Raisi pia ni uzushi mtupu.kwamba viongozi wote chadema hawana uwezo wa kutatua mambo au wanamwogopa Raisi mpaka Zitto aingilie kati ni nonsense.the only reason kwamba Zitto bado yuko Chadema ni kwamba walishamwelewa nia yake na wamemwacha kama alivyo kwasababu hawezi kufurukuta.otherwise kama angekuwa ni tishio kwao wangeshamwondoa siku nyingi.Zitto anatakiwa atulie na kuwa upande mmoja.apatane na kushirikiana na kufanya kazi na wenzake kama chadema na sio afanye mambo kama Zitto.angekuwa ni smart kuliko wengine basi atoke akaanzishe chama chake mwenyewe.Heshima,Utu,ushirikiano na Umoja ni suala muhimu sana kwenye jumuiya yoyote.Majuvuno,chuki na tamaa hazijengi wala hazita saidia kutatua kero nyingi walizonazo wananchi.Mh Zitto I really admire and respect you lakini lazima ubadilike.Be blessed!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom