Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

Katika suala la udini kila mmoja wetu awe chanzo cha mabadiliko hakuna siku Tanzania itakuwa ya dini moja. Kuendekeza udini ni kuwatengenezea watoto wetu nchi yenye vita kama si leo basi kesho au hata kesho kutwa.
 
Zitto kabwe sio mwislamu ndio maana huwezi kumuona msikitini na kwa mujibu wa uislamu huyu alitakiwa apigwe mawe hadi kufa kwa kosa la uzinzi ( kuzaa kabla ya ndoa )

Mwacheni Zitto ni msahafu upi ulisema waendao kanisani na msikitini pekee ndio wataonja pepo? kanisani na msikitini kwa wengine wanakwenda kwa mazoea lakini matendo yao yanamuogopesha hata shetani.
 
Gazeti la mwanahalisi halimilikiwi na chadema,kwanza naliamini kwa reliable niuz na lipo independent,hebu mtoa hoja tueleze kiongozi wa chadema alohojiwa hapo.NAAMINI UMETUMWA KWANI HUELEWI MAANA YA MAKALA? Mwambie zitto NCCR wanamtamani sana

mwenye hisa nyingi mwanahalisi ni mkurugenzi wa fedha na utawala wa chadema na nasikia ana bifu binafsi na Zitto. hata hivyo, na sisi tuwe sehemu ya kupima hoja badala ya kuchanganya hoja na bifu lao.
 
ssi ahamie NCCR bwana..kwani misiba ikitokea anataka aambiwe na nani?si anasiki kwenye vyombo vya habari au?
 
Kama ulikuwa hujui kanisa ndio linateuwa Rais nakupa pole sana, Lowasa. Mwakyembe, Samuel Sita, Benard Membe, je watu hawa umewaona wakifanya kampeni zao misikitini?
Hujui kwamba kanisa ndio lilisema Kikwete ni chaguo la Mungu? usipende kudandia vitu usivyovijuwa wewe kijana. ni chama cha CUF peke yake ndio chenye Memorundum of undestanding na misikiti.

Naona unababwaja jibu swali mambo ya CCM wewe yanakuhusu nini?

Chadema ni chama cha Kanisa?
 
UDA nasikia Kubenea alivuta hakuna siku mtasikia kubenea kaandika kwa kina kuhusu UDA.
Hivi kuuna mahakama yoyote dunia hii unayoweza kwenda kutoa ushahidi huu na ukasikilizwa, bwana mdogo umbea ni sifa ya kike achana nao.
Hapa hatuhitaji porojo.
 
Naona unababwaja jibu swali mambo ya CCM wewe yanakuhusu nini?

Chadema ni chama cha Kanisa?
CCM ndio chama cha kanisa na ndio maana kuna MoU na ndio maana kuna ubalozi wa kanisa katoliki Vatican hapa Tanzania.
 
user-online.png
ritz

30th January 2012 16:22
#1
JF Premium Member Array


Join Date : 1st January 2011
Posts : 4,884
Rep Power : 1241



[h=2]
icon1.png
Mbege nzuri inatengenezwa vipi[/h] Wanabodi,
Naitaji msaada wenu jinsi ya kutengeneza Mbege nzuri..

Yoyote mwenye kujua naomba anielekeze jinsi maandalizi yake na vifaa gani vinavyotakiwa.

Nipeni maujanja ya kutengeneza Mbege wana JF.
 
1. hiyo kauli imetolewa na kiongozi yupi wa CDM ?

2.JE MWANAHALISI NI MSEMAJI WA CDM?

3.zitto anaonewa kivipi na CDM? labda useme mwanahalisi anamwonea zitto ila NAKATAA as mwanahalisi ametoa ufafanuzi mzuri so ni wajibu wa Zitto naye kutoa maelezo ya ziada incase

4.Mwanahalisi hambebi/hamkandamizi mtu yeyote ila anabeba hoja..Ikiwa JK atakuja na hoja ya maana mwanahalisi ataianisha na ikitokea Slaa kaja na pumba tutaelezwa pia

Ni ukweli usiopingika kuwa Mwanahalisi lina mahusiano ya moja kwa moja na CDM kwani mmoja wa wamiliki wake ni Bw.Antony Komu aliye Mkurugenzi wa Fedha/Utawala wa CDM na ni kweli kuwa Mwanahalisi hupokea maagizo ya moja kwa moja kutoka kwa Mbowe & Co. kumwandika vibaya Zitto!
 
CCM ndio chama cha kanisa na ndio maana kuna MoU na ndio maana kuna ubalozi wa kanisa katoliki Vatican hapa Tanzania.

Na chama gani cha siasa mgombea wake wa Urais ni Padre?
 
Kifupi katika vichwa ambavyo vinaibeba Chadema ni Zitto. Ni kijana mahiri na mara zote ana hoja nzito sana na za kiungwana zisizotawaliwa na jazba kama akina Lisu na Mnyika na wengine wengi ndani ya Bunge lenu.

Huyo kwa namna yoyote anaogopeka sana kuweza kuchukua nafasi ya juu kabisa ndani ya Chadema ndio maana sasa wameanza kumzuia zuia.

Tatizo kubwa la Zitto kwa Chadema ni kuwa hana share katika Chademe na kubwa zaidi ni ukanda aliotokea sio chimbuko lakini zito zaidi ni Dini yake.

Udini @work........... Pole shehe!
 
Zitto Kabwe ana kiherehere sana hata juzi Juma Mkamia aliomba muongozo ili ajuwe kwamba Zitto Kabwe nae ni miongoni mwa wasemaji wa ikulu!!??
Watu wa Kigoma kwenye siasa wana matatizo sana hasa hawa ambao wamechanganyika na utusi ndani yake.

Kwa vile anatoka Kigoma basi anakiherehere?
 
Zitto anafanyiwa kila hila iuliwe "character" yake.

Hivi Zitto anafikiri kuna siku atakuwa Katibu Mkuu au atakuwa Mwenyekiti au atakuwa mgombea Urais wa magwanda? Maaaweee! labda aukane Uislaam.

Namsikitikia sana kupoteza nguvu zake bure, lakini ndio watu wa UWT walivyo, maslahi ya Serikali mbele halafu yao halafu ya wananchi. Ingekuwa hafati "amri" saa hizi zamani angekuwa hayupo na magwanda.

Wewe kaka ni mdini sana!
 
Nilisoma gazeti la mwanahalisi la Jana na kuona jinsi Chadema ilivyojibu hoja ya Mh zitto Kuhusu Chanzo cha mazungumzo ya CHADEMA na rais JK.

Licha ya kuwa ile habari imetoka kwenye gazeti kama andishi, lkn ukiangalia kwa undani utagundua ilikuwa ni kauli ya Chama.
Hii tofauti na viongozi wengine wa Chama, huzungumza mengi ambayo kimsingi yanapingana na Chama.

Lakini uongozi wa juu hauchukui jitihada za kukanusha.tayari ztto alitoa makala kuhusu Uhusiano wake na Uongozi wa juu hasa baada ya kudai siku hizi hata patokee msiba haambiwi
jee kwanini imefikia hali hii

Acha uchonganishi wewe, hivi mtaacha lini tabia za kipuuzi namna hiyo? Watu wanazungumzia mambo muhimu ya kitaifa (Migomo) wewe unaleta umbeya wako hapa. Hembu kadiscuss na familia yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom