Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

Si kweli unayosema mtoa mada.Gazeti la mwanahalisi halijamtaja mtu. Isipokuwa ninachojua Mwanahalisi wana bifu kubwa na Zitto.Sijui chanzo cha ugomvi wao kwani Zitto aliwahi naye kunukuliwa akisema mhariri wa mwanahalisi ameishia darasa la nne.

Kwa hiyo ni vita yao wenyewe.Lakini nadhani umefika wakati Zitto na Kubenea wapatane.

Waachane na vita yao.Wanaweza hata kumtumia Dr Slaa kuwapatanisha.Na hilo linawezeka kwa sababu kwanza wote ni wanaChadema na pili hata kiimani wote ni waislam.Wanaweza kupatana na maisha yakasonga mbele.Naamini wote wako humu jamvini na watatafakari ushauri wangu.
Sio lazima msuluhishi akawa dr. ndugu wawili wakigombana chukua jembe kalime wakipatana beba kapu ukavune. sheikh wa mkoa anaweza kuwasuluhisha kwa kusoma vifungu ktk msaafu au ktk hadithi za mtume. slaa anawajua petro, mikael yohana nk.
 
acha uongo kama hujui piga kimya mwanahalis linamilikiwa na Antony komu kwa fedha za ruzuku za chadema,habari ndio hiyo hatupendi kuwaumua lakini mnatuchokoza,tutasema sasa.

Raia mwema,mwanahalisi na t daima yote ni chadema type, japo yanasingana kutokana na viongozi wa cdm wanaoyamiliki kutofautiana katika mabo mbalimbali huko chamani ndio maana kila mtu anakimbilia kujijenga na kumbomoa mwenzake kwenye gazeti lake,pia mbowe na kubenea ni washkaji wakubwa sana sana licha ya komu kulimiliki mwanahalisi ambalo limetekwa na mafisadi.

Ndio maana tuna shaka sana na ukaribu wa chadema na mafisadi,wanchedema mkiona hao jamaa wanawachezea kwa ku side na mafisadi nendeni CCK mkakipe nguvu kile chama.

Hivi vyama ni sawa na makoti tu ukiona koti linakubana unalivua,namsikitikia sana dr slaa masikini,yeye peke yake ndio hana gazeti na hajui uhusiano wa Lowassa, Rostam, Mbowe na komu ilivyo, angejua angeondoka zake aende CCK

jisikitikie kwanza wewe ambae hata kesho utakula nini haujui haya mambo ya kumsikitikia dr slaa wakati anakutetea wewe na watoto wako na taifa lote wapi na wapi?
 
nilisoma gazeti la mwanahalisi la jana na kuona jinsi chadema ilivyojibu hoja ya mh zitto kuhusu chanzo cha mazungumzo ya chadema na rais jk.

Licha ya kuwa ile habari imetoka kwenye gazeti kama andishi, lkn ukiangalia kwa undani utagundua ilikuwa ni kauli ya chama.
Hii tofauti na viongozi wengine wa chama, huzungumza mengi ambayo kimsingi yanapingana na chama.

Lakini uongozi wa juu hauchukui jitihada za kukanusha.tayari ztto alitoa makala kuhusu uhusiano wake na uongozi wa juu hasa baada ya kudai siku hizi hata patokee msiba haambiwi
jee kwanini imefikia hali hii


kwa naunga mkono hoja ya kwamba zitto ni mchapa kazi kweli kijana mbunifu! Tatizo la zitto alishachakachuliwa na magamba!! Sasa kutokana na kimbelembele chake cha kufikiria kuwa rais hata kama hakizi vigezo aliamua kuleta kachokochoko na viongozi wake wakuu...ni kwa kuwa tu cdm inabusara vinginevyo angekuwa kashatemwa! Mimi nilikuwa na muamini sana ila sasa kwishney ....kwa kifupi ukitaka kujua ni kiongozi gani anaivuruga cdm kwa sasa ni zitto k......hata anayeleta makundi ni zitto k
 
Nilisoma gazeti la mwanahalisi la Jana na kuona jinsi Chadema ilivyojibu hoja ya Mh zitto Kuhusu Chanzo cha mazungumzo ya CHADEMA na rais JK.

Licha ya kuwa ile habari imetoka kwenye gazeti kama andishi, lkn ukiangalia kwa undani utagundua ilikuwa ni kauli ya Chama.
Hii tofauti na viongozi wengine wa Chama, huzungumza mengi ambayo kimsingi yanapingana na Chama.

Lakini uongozi wa juu hauchukui jitihada za kukanusha.tayari ztto alitoa makala kuhusu Uhusiano wake na Uongozi wa juu hasa baada ya kudai siku hizi hata patokee msiba haambiwi
jee kwanini imefikia hali hii
Hapio ndipo ilipofika CHAMEMA ambayo inajinadi kuwa ni chama cha kitaifa ni kwa nini anakosolewa ZITO peke yake na si LEMA aneyefanya madudu kila kukicha? Ubaguzi huu utaifikisha wapi Chadema na mustakabala wao wa kuichukuwa Tanzania wanayodai imeharibiwa?
Ni kweli wataitoa kwenye haya matatizo au ndiyo watatuingiza kwenye vilio na maumivu? acheni hizoooo.
 
Waberoya
waambie hao wanaopenda chongo nakuiita kengeza MBOWE ni Bom ndani chadema siku moja watakukumbuka.

Dr Slaa anamuabudu MBOWE kama Mungu. Kwanini hawi muwazi kumkosoa Mbowe pale anapokosea na kuwakandamiza wenzie ndani ya CHADEMA?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom