Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,282
- 105,486
Huwezi kupima sguare kwa nyuzi bana, halafu kupima square inategemea unataka kujua nini, Area, circumference, diagonal, midpoint, etc, sasa unaposema square ina nyuzi ngapi siwaelewi, unataka kutuambia unaweza sema Area ya square fulani ni nyuzi 20 it is nonsense. Nyie muendelee na ungwini labda mtatudanganya lakini huku mtakuwa kama mnakimbilia choo cha kike ni facts tupu hakuna blah blah.
Huyu inabidi arudi shule ya msingi kujifunza upya geometry.
Ndiyo type ya watu tunao deal nao, yaani mtu kama huyu unajisumbua kutoa Hegelian dialectics halafu yeye hata hajui kwamba square inaweza kupimwa kwa nyuzi.
Eti mie nikafikiri nina simplify mambo kwa kuleta elementary geometry.Hesabu ni ugonjwa wa kitaifa Tanzania.
Unaona kazi yetu ilivyo ngumu hapa?