Son of Man
New Member
- Aug 24, 2010
- 2
- 0
Nimetembelea blogu yako na ninakupongeza kwa ujasiri wako.We need people like you
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe JF kuna wataalam wa lugha, hii safi sana maana hata nasisi tunapata kuokota okota nga kidogo.
Du never heard of this before, never!!! Kiranga Kiranga tafadhali mkuu!!!!! I hope tunazungumzia hesabu and it is always with facts!
Thread zina evolve, hata wewe kama unataka thread ichukue a different turn unaweza kufanya hivyo, hatujakataza wewe kuchangia unachotaka, ila wewe naona unataka kuleta censorship na watu wawe bound kuchangia vitu fulani tu, na si vingine.
Unataka kuharibu free flow of ideas hapa, zama hizi zimepita katika print journalism huko kwa wahariri.
Kama huwezi kuchangia acha, huyo anaye endorse hata Kiswahili hajui sasa mimi nita value vipi endorsement yake na yeye kashakaa ughaibuni mpaka kasahau Kiswahili ?
btw neno linalotafutwa kupewa 'endorsement' ya kiranga kwenye sentensi hapo juu ni 'kupendekeza' ?
who is the blogger?
ana mamlaka gani ndani ya jamii ya Tanzania?
Pendekeza = suggest, propose, recommend......unadhani hayo yanakaribiana na "kuunga mkono"?
Bado nasimamia "(ku)unga mkono" kama tafsiri ya "endorse" katika muktadha husika.....
Why asking?
kwa sababu ningependa kujua kama opinion ya huyo blogger inaweza kuzingatiwa na wapiga kura au la.
pendekeza=suggest,propose,recommend ......sidhani kama linakaribiana sana na kuunga mkono lakini nadhani linakaribiana na 'to endorse'
Kama kuunga mkono sio ku endorse kwa mujibu wa kiranga basi neno la karibu linalofanana laweza kuwa kupendekeza
kwa sababu
Endorse kwa mujibu wa kamusi inaweza kumaanisha to recommend
Bora Nyambala umesema mimi nilikuwa nawaangalia tu kina Kiranga na mwenzake wanavyopelekana eti Perfect square ina nyuzi 360, nili feli hesabu lakini hii haipo hata mwalimu wangu Prof. Shayo R.I.P hakuwahi kunifundisha hivyo. Wao waendelee tu na semantic zao lakini kwenye namba tutadanganyana mchana kweupe, kama ulivyosema namba ni facts tupu kama jibu ni 5 ukiandika 5.000001 umekosa.Du never heard of this before, never!!! Kiranga Kiranga tafadhali mkuu!!!!! I hope tunazungumzia hesabu and it is always with facts!
Kiranga ndio mamlaka yako? asemacho Kiranga kwako ni gospel truth eeeh? Lol...haya bana to each his/her own...
.
Kwa mujibu wa kamusi gani? Maana kamusi niliyonayo mimi, toleo la pili iliyotungwa na TUKI haisemi kuwa 'endorse' ni 'kupendekeza'. Kamusi yangu inatoa maana mbili na mojawapo ikiwa 'unga mkono'...sasa wewe umerejea kamusi ipi Gaijin?
2a: to approve openly. to express support or approval
2b: to recommend