Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA, Mbeya

Tumekupata kamanda big up!!!!!
Wakuu,

Leo CHADEMA wanafanya mkutano wa hadhara jimbo la Mbeya mjini, nia ni kuendelea kushtaki uonevu unao fanywa na kiti cha spika.

Mkutano unafanyika kwenye kiwanja maarufu kilicho pewa jina la DR slaa.

YANAYOJIRI:

• Maandamano makubwa yametusua katikati ya jiji la Mbeya.

• Watu ni wengi sana! Kama kawaida wanakuja kusikiliza kile wanacho kikosa kwenye vyama vingine.

• Dr slaa anaonekana ni kipenzi cha wana Mbeya! Naomba niweke hakiba ya maneno!

• Mkiti wa Mbeya Mjini, Mwambigija anafungua mkutano: watu wa Mbeya wasingemwelewa Mbunge wao Sugu iwapo asingeinuka bungeni kwenda kuzuia udhalimu na uminyaji haki wa kiti bungeni! Wasingemwelewa!

• Anasema muda wa CCM kutawala umesha-expire, kila mtu anajua hivyo. Amewataka polisi kuacha mpambano wa kuwania udiwani wa CHADEMA na CCM, wasiingilie kati kupendelea na kuibeba upande mmoja.

• Dkt. Slaa kailipua ikulu kwa matumizi ya kifisadi ya bil. 29, fedha ambazo zimewekwa kwenye kitengo kipya cha Presidential Delivery Beareu! Zingeweza kujenga madarasa 4142 Shule ya Msingi, 2071 sekondari, zahanati 580, vituo vya afya 290, bila kuwachangisha wananchi hata senti!

• Dkt. Slaa kamlipua Waziri wa Maji Maghembe kwa kujipelekea mradi wa maji wa bilioni 50 jimboni kwake, wkt miradi mingine ya maji nchi nzima imetengewa bil. 4 tu

• Dkt. Slaa amesema Mwakyembe alilazimisha kampuni ya CCM Jitegemee Trading Company, kupata zabuni kwenye eneo la CCM, SUKITA thamani ya bil. 10 kwa kauli ya kushnikiza ''tuwasaidieni tu''

attachment.php

photo.JPG
 
Nina sababu ya kuipenda mbeya yangu....
Nina sababu ya kuipenda nchi yangu.....
Nina sababu ya kuipenda chadema.

Viva chadema. You have our support

CC: M23

Mkuu.
Mbeya is bad news! Magamba wanahitaji Ma-diamond kama 1000 kuvunja rekodi ya nyomi ya leo.
 
Last edited by a moderator:
Kamanda Slaa alikanusha habari iliyoandikwa leo kwny JF na mitandano mingine juu ya uhusika wao na Kuporwa kwa mama wa Zitto na kwamba tupuuze taarifa hizo kwa kuwa yeye na Mbowe hawahusiki na kwamba hizo ni njama za adui zao ktk kudhoofisha chama.

Back
Top Bottom