Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA, Mbeya

Kama umefanikiwa kufuatitia kilickotokea Mbeya jana basi nidhahiri utakubaliana na mimi kwamba wananchi wa Mbeya wamefunguka kiasi cha kutosha na wamekuwa mstari wa mbele kuleta mabadiliko Tanzania. Plato ktk nadharia yake ya ''allegory of the cave'' anaeleza kuwa watu wamejifungia ktk ulimwengu wa aina mbili EPISTEME WORLD [Ulimwengu wa maarifa au mwanga ] na DOXA WORLD[ Ulimwengu wa ndoto giza .Ukweli ni kwamba watu wa Mbeya wameondoka kwa kiasi kikubwa kutoka DOXA WORLD ulimwengu ambao hutoa ukweli mdogo sana na kuingia EPISTEME WORLD wenye kiwango kikubwa cha ukweli.Sina shaka tena kwamba watu wa mby watarudi tena ktk doxa world. God bless M4C!
 
Ni kweli Mkuu.Kamanda anafanya kazi.Anapanda na kushuka.Tuzidi kumpa kamanda moyo na makamanda wengine.Kazi ya kuqhabarisha hasa hii ya kurusha picha si ya mtu mmoja.Popote alipo mwanachadema kazi ya uenezi inatakiwa iendelee.

Pia nikupongeze mkuu Molemo, Mohamedi Mtoi Mikael P Aweda, Mwita Maranya Lwesye, Magesi, Greenwich Froida Basil Lema Mzito Kabwela POMPO, Matola, Bigirita, LiverpoolFC Baba V, PakaJimmy Mpaka Kieleweke, bacelona na makamanda wengine kwa kuwa active katika muda muafaka.

CC: bungeni, thatha Sumu m 23 my web, Mtela Mwampamba, Juliana Shonza

CC: Madame B -Kwa kunipa Moral Support always

CC:Wapenda mabadiliko wote hata wale wasio na vyama

Usijali wangu Kipenzi,....... ni moja ya majukumu yangu ili ujisikie ni mwenye furaha maishani mwako.
Niko nawe Pamoja Ben Saanane...............
Naipenda CHADEMA........... Nakupenda pia wangu mpenzi.
Z
 
Last edited by a moderator:
point yako ya maana ila nakusifu kwa kumezeshwa vzuri na Prof Max Mmuya, Dr Kessy, Dr Kiwanuka na Wahadhiri wengine wa Idara ya Political Science pale Mlimani UDSM
 
Wakuu,

Leo CHADEMA wanafanya mkutano wa hadhara jimbo la Mbeya mjini, nia ni kuendelea kushtaki uonevu unao fanywa na kiti cha spika.

Mkutano unafanyika kwenye kiwanja maarufu kilicho pewa jina la DR slaa.

YANAYOJIRI:

• Maandamano makubwa yametusua katikati ya jiji la Mbeya.

• Watu ni wengi sana! Kama kawaida wanakuja kusikiliza kile wanacho kikosa kwenye vyama vingine.

• Dr slaa anaonekana ni kipenzi cha wana Mbeya! Naomba niweke hakiba ya maneno!

• Mkiti wa Mbeya Mjini, Mwambigija anafungua mkutano: watu wa Mbeya wasingemwelewa Mbunge wao Sugu iwapo asingeinuka bungeni kwenda kuzuia udhalimu na uminyaji haki wa kiti bungeni! Wasingemwelewa!

• Anasema muda wa CCM kutawala umesha-expire, kila mtu anajua hivyo. Amewataka polisi kuacha mpambano wa kuwania udiwani wa CHADEMA na CCM, wasiingilie kati kupendelea na kuibeba upande mmoja.

• Dkt. Slaa kailipua ikulu kwa matumizi ya kifisadi ya bil. 29, fedha ambazo zimewekwa kwenye kitengo kipya cha Presidential Delivery Beareu! Zingeweza kujenga madarasa 4142 Shule ya Msingi, 2071 sekondari, zahanati 580, vituo vya afya 290, bila kuwachangisha wananchi hata senti!

• Dkt. Slaa kamlipua Waziri wa Maji Maghembe kwa kujipelekea mradi wa maji wa bilioni 50 jimboni kwake, wkt miradi mingine ya maji nchi nzima imetengewa bil. 4 tu

• Dkt. Slaa amesema Mwakyembe alilazimisha kampuni ya CCM Jitegemee Trading Company, kupata zabuni kwenye eneo la CCM, SUKITA thamani ya bil. 10 kwa kauli ya kushnikiza ''tuwasaidieni tu''

attachment.php

photo.JPG

Wapo wapi walosema chama cha ukanda!
 
Back
Top Bottom