Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA, Mbeya

CHADEMA? CHADEMA JAMANI CHADEMAAAAA TENA, TENA NA TENA MBEYA KAMA IRINGA???

Jamani kama kweli umati huo wote nao ni kwa hiari tu na ni kutokana na mkutano ulioitishwa chini ya masaa 72 tu basi kweli tukio hili si bure lazima kitu kama ka 'UGAIDI' hivi dhidi ya uamuzi tata wa Naibu Spika Mhe Job Ndugai kufukuza wabunge 6 wa CHADEMA bungeni majuzi na hali ya uchonganishi kwa kiongozi huyu kwa chama chake CCM ki-ajali tu bila kutarajiwa matokeo yote haya na mtu yeyote yule.

Kutokana na matukio haya tangu Mwanza, Dodoma, Iringa na sasa kule katika taifa la Mbeya, napendekeza tena kwa dhati kabi kwamba kijana mwenzetu Nape usikubali jambo hili hata kidogo; cha msingi hebu kamwite Mhe Mwigulu Nchemba ofisini Lumumba mara moja na upate kumpa maagizo ya kutayarisha HOJA BINAFSI kwenda bungeni wiki ijayo kwa madai ya 'Ugaidi Mpya wa CHADEMA dhidi ya Mheshimiwa sana Job Ndugai.

Ili kuweza kupata ushahidi zaidi wa kikatu hapa, hebu kamchomoe fasta jomba Ludo kule lupango na akamtembelee tena upya Maggid Mjengwa kisha video kuopolewa hapo hadi bungeni bila chenga.

Hili la wabunge 6 tu kutikisha nchi kiasi hiki kamwe haikubaliki maana maslahi ya chama tawala haipo salama huku mitaani licha ya Mama Makinda na Ndg Ndugai kuonyesha umahiri mkubwa kuchezea CCM nafasi zote muhimu za Full-beki namba 4 na 5 kwa kila kombora lichomokalo toka kambi ya upinzani pale sebuleni Dodoma.

attachment.php

MAELEZO YA PICHA YA PILI:

Picha hiyo hapo chini ni kumbukumbu muhimu kuhusiasa na mkutano uliofana sana na umati mkubwa wa WAPIGA KURA WA 2050 huku wakihiari kuhudhurishwa tamasha la muziki wa Bongo Flava na ubwabwa wa kukata na shoka kwenye mkutano wa kisiasa kwa watani zetu wa kijani uliofanyika kule Igunga kwenye uchaguzi mdogo jimboni hapo.

Kiongozi wa kampeni hizi kwa wakati huo alikua ni 'Mkuu wa Mawasiliano ya Kigaidi na Ulipaji Taifa', Mhe Mwigulu Nchemba ambaye pia alipata kuchokonolewa macho hapo Igunga kwa madai ya kushindwa kujizuia kujenga ujirani wa kindo na mwandani kwa kada mwingine wa CCM.

Wadadisi wa mambo ya kisiasa nchini walinakiliwa wakidai kwamba gharama iliotumika na CCM jimboni hapo ilikua ni zaidi ya gharama ya mtu kuweza kununua mabasi 25 yenye ubora wa Marcopolo Paradiso.

Basi moja ya aina hii siku hizi hukadirishwa kufikia dhamani ya Tsh 130,000,000/-
.

52fghv.jpg
 
Jazeni watu.......mbona Dodoma hamkusema? Nyie dawa yenu ipo mbioni tutawanyuka kuanzia chaguzi za serikali za mitaa na kwa hakika mutalipata somo kubwa katika hilo. CDM hamna jipya sasa tukutane 2014 tuone kilichomtoa kaka manyoa maana hamtaamini machoni........:yo::banplease::yo:

refine your swahili boy.
 
Ni kweli Mkuu.Kamanda anafanya kazi.Anapanda na kushuka.Tuzidi kumpa kamanda moyo na makamanda wengine.Kazi ya kuqhabarisha hasa hii ya kurusha picha si ya mtu mmoja.Popote alipo mwanachadema kazi ya uenezi inatakiwa iendelee.

Pia nikupongeze mkuu Molemo, Mohamedi Mtoi Mikael P Aweda, Mwita Maranya Lwesye, Magesi, Greenwich Froida Basil Lema Mzito Kabwela POMPO, Matola, Bigirita, LiverpoolFC Baba V, PakaJimmy Mpaka Kieleweke, bacelona na makamanda wengine kwa kuwa active katika muda muafaka.

CC: bungeni, thatha Sumu m 23 my web, Mtela Mwampamba, Juliana Shonza

CC: Madame B -Kwa kunipa Moral Support always

CC:Wapenda mabadiliko wote hata wale wasio na vyama
Ben,hujamtendea haki Kinana kwa kumnyima pongezi kwa kazi nzuri ya uenezi wa CDM. Hata kama yuko upande wa pili lakini kazi aliyoifanya Morogoro imesaidia watu wenye akili kujua CDM ndio chama cha Wazalendo.
 
Last edited by a moderator:
Mbona leo siwaoni Pro-ccm humu ndani inaonekana wameshikwa pabaya pole sana macccm
 
Ni kweli Mkuu.Kamanda anafanya kazi.Anapanda na kushuka.Tuzidi kumpa kamanda moyo na makamanda wengine.Kazi ya kuqhabarisha hasa hii ya kurusha picha si ya mtu mmoja.Popote alipo mwanachadema kazi ya uenezi inatakiwa iendelee.

Pia nikupongeze mkuu Molemo, Mohamedi Mtoi Mikael P Aweda, Mwita Maranya Lwesye, Magesi, Greenwich Froida Basil Lema Mzito Kabwela POMPO, Matola, Bigirita, LiverpoolFC Baba V, PakaJimmy Mpaka Kieleweke, bacelona na makamanda wengine kwa kuwa active katika muda muafaka.

CC: bungeni, thatha Sumu m 23 my web, Mtela Mwampamba, Juliana Shonza

CC: Madame B -Kwa kunipa Moral Support always

CC:Wapenda mabadiliko wote hata wale wasio na vyama

Asante sana Kamanda.Lakini umesahau jina moja la mtu anayeitwa Kamanda Ben Saanane ambaye akitajwa tu kuna watu wanatamani ardhi ipasuke waingie wajifiche.

Jina hili ni moja ya majina ambayo hayawezi kusahaulika katika historia ya Chadema kwa miaka mingi ijayo.

Pamoja sana Kamanda.
 
Last edited by a moderator:
We miss Late Regia Mtema umakini wako haujazibwa.Tunaye Makene lakini mhhhhhhhhhhh!!

uuuuwwiiiiiiiiiiii usinikumbushe mbunge wangu nilishaanza kusahau machungu. Hata hivyo mungu amfanyie wepesi huko aliko.
 
wanachama wa chadmea mbeya wanasema Mh Juma Nkamia asikanyage mbeya ha ha ha
 
Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    37.3 KB · Views: 74
  • 2.jpg
    2.jpg
    36.8 KB · Views: 83
  • 3.jpg
    3.jpg
    40.1 KB · Views: 68
Wanambeya mnatukonga Nyoyo Watanzania! CCM haina pa Kutokea!
Magamba ambao huwa wanadai Chadema ni chama cha kaskazini, sasa wataongea nini kuhusu nyomi za kutisha zilizotokea kwenye mikutano ya CDM, huko Mwanza, Iringa na hivi leo Mbeya??!!

Ukilinganisha mikutano hiyo ya CDM na ule mkutano wa CCM uliofanyika Morogoro, ambao ulikuwa sawa na tamasha la muziki, utagundua kuwa, kwa hakika hivi sasa CCM ipo ICU!!
 
Jazeni watu.......mbona Dodoma hamkusema? Nyie dawa yenu ipo mbioni tutawanyuka kuanzia chaguzi za serikali za mitaa na kwa hakika mutalipata somo kubwa katika hilo. CDM hamna jipya sasa tukutane 2014 tuone kilichomtoa kaka manyoa maana hamtaamini machoni........:yo::banplease::yo:

Mapovu meeeengi , wakati Kura yako ni Moja tu ! Shame on you !
 
naona Ndungai bungeni anajisifu kuwasimamisha na anadai wabunge wanataka wenzao adhabu iendelee
nadhani roho inamsuta sana na anatamani ardhi ipasuke,
soon kwa aibu atajimaliza kama Yuda Iskarioti asipotubu
 
Back
Top Bottom