Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA, Mbeya

Kwa kweli CHADEMA ni chama cha watu maana hakijipigii debe ila wenyewe tunaona maana mambo yanazidi kuwa makubwa kila kukicha CCM wanaona wananchi wamechoka na ah/di zao bandia.
:boink:
 
Hongereni MAKAMANDA kazi ndio imeanza huku MAGAMBA yashalowa.VIVA MA-PEOPLE.
 
Mungu yupo upande wa CHADEMA. Shetani yupo upande wa CCM. Wananchi wameshalitambua hili.
 
Magamba yakiandaa mkutano utasikia "...njoo umuone Diamond akitaka kulewa, Malow na TMK wanaume!!"
 
Jamani tahaa chadema nikajua ntaziacha arusha tu, daaa hadi uku mbeya chadema inakimbiza saivi tupo tunamsindikiza rais wetu toka eneo la mkutano
 
Jazeni watu.......mbona Dodoma hamkusema? Nyie dawa yenu ipo mbioni tutawanyuka kuanzia chaguzi za serikali za mitaa na kwa hakika mutalipata somo kubwa katika hilo. CDM hamna jipya sasa tukutane 2014 tuone kilichomtoa kaka manyoa maana hamtaamini machoni........:yo::banplease::yo:
 
Habari njema, wakati makamanda hao wanaendelea na kazi yenye baraka huko Mbeya, na wengine tujipange kufanya chochote si lazima mkutano kama huo, lakini kila mtu ajipange kuchangia chochote kuhakikisha huu moto unaendelea hasa kwenye ngazi za vijiji
 
Back
Top Bottom