Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,712
. . . . Hii ni kwa mujibu wa wajuzi wa mambo. . . . . . . . . Tendo la ndoa ili linoge linatakiwa mfanye bila kupanga yaani kisuprise flan hivi,mkipanga mvuto unapotea na halisisimui.Mfano. . . . Umetoka kazini umefika home,unaenda jikoni unamkuta amevalia ka kanga kake,mzuka unapanda unapiga game hapohapo,huwezi kusali kwenye mazingira haya.Bora wenzetu,wao bismillahi inatosha,lakini mzuka ukipanda nayo inashindikana sometime. . . . .