Wenzi mwalifamu hili?!

. . . . Hii ni kwa mujibu wa wajuzi wa mambo. . . . . . . . . Tendo la ndoa ili linoge linatakiwa mfanye bila kupanga yaani kisuprise flan hivi,mkipanga mvuto unapotea na halisisimui.Mfano. . . . Umetoka kazini umefika home,unaenda jikoni unamkuta amevalia ka kanga kake,mzuka unapanda unapiga game hapohapo,huwezi kusali kwenye mazingira haya.Bora wenzetu,wao bismillahi inatosha,lakini mzuka ukipanda nayo inashindikana sometime. . . . .
 
but i remember wakti nakaribia kuolewa , i was jus 20yrs old, my mum told me, kuwa kwenda uvinza ni dhambi, hairuhusiwi na kwa cc wanawake kwa wanaume kula koni pia ni haramu, maana huwezi kwenda chumvini kwenye morning glory, halafu baada ya hapo misa ya kwanza kanisa la chuo, wewe ni wa kwanza kwenda kupokea ekarist takatifu! we believe yule NI MUNGU HAI ALTARENI, but ni wangapi wanafuata hiyo??? unatoka kula koni, then huohuo ulimi unakwenda kupokea! ni dhambi, ni kufuru.

Hebu niambie kwenda chumvini na kula koni kuna dhambi kiaje kama ni mke na mume?
 
Nimekuelewa vizuri gfsonwin, ndo maana nimetanguliza kusema ni wazo zuri, tena ngoja niongezee kusema ni wazo zuri mkiweza kulitekeleza. Shida yangu ni kwamba utekelezaji wake ni mgumu kidogo, Yaani mtalifanya tendo zima kuwa too formal, mtalipunguzia mashamsham ambayo ndo yanaongeza radha. Sijui wengine lakini binafsi naona kama tukitanguliza sala tunakuwa tunaweka limitations fulani hivi, matokeo yake nafsi zitawafanya mshindwe kujiachia bure!

Ninavyojua mimi (I stand to be corrected), chakula tunakiombea kwa sababu ndo kinatufanya tuishi, hivyo tunamuomba Mungu aweke baraka zake ili kijenge hekalu lake. Lakini tendo la ndoa si chakula kwamba linahitajika ili tuishi. Yaani sasa tunaliombea ili iweje wakati Mungu huyo huyo ameishalihalalisha kwa wanandoa. Ila kama ni kwa ajili ya kupata mtoto, it's well and good, hata mimi na wife tunafanyaga hivi and it work fine. Lakini thereafter, tunakuwa tunaombea chakula na ile sala ya kawaida kabla ya kwenda kulala.
Moto umesemw, vizuri kuwa ni wazo zuri nami nasema ni lazima kuliombea if at all wewe ni mtu unayemwammini Mungu.to my experience kuombea tendo la ndoa hakulipunguzii ladha ala uwezo wa kujiachia hata kidogo. Tena kama mkiweka ni utaratibu wenu huwa mnakuwa huru sana skiliza nikwambie kaka yangu wa moyoni kuna binti aliolewa 6 yrs hafurahii tendo la ndoa ndani hadi akaiita mshedede wa mumewe ndizi kisukari. akaanza kutafuta mabwana nje alipokuja kwangu nikamsikiliza nikamwamabia sasa bi dada anza utaratibu wa kuiombea hiyo ndizi kisukari tena mwambie Mungu kabisa kuwa unataka ikupe raha na uisikie na mwombe akupe amanai wakati wa tendo zima. Alipoanza sikujua but nilisha ngaa anapiga simu huku akiwa mwing wa furaha ananiambai dada yangu siamni sasa hivi naifurahia. nikamwambia Mungu huwa anaangalia haja za mioyo yetu so kila umwombacho lazima akupatie.

pia ni kwakua tu tumezoea kufanya pasi kusali lakni Mungu mwenyewe katika vitabu vyake vitakatifu ameagiza uombea tendo hili wenzetu waislamu wanawazidi katika hili manake wao huwa wanaombeaaa laknai siye wakristo tunabaki tu eti hadi wakati nataka mtoto. ifanye kuwa ni routine tamka hata msitari mmoja b4 the action halafu utaona raha ya tendo lenyewe.
 
Last edited by a moderator:
. . . . Hii ni kwa mujibu wa wajuzi wa mambo. . . . . . . . . Tendo la ndoa ili linoge linatakiwa mfanye bila kupanga yaani kisuprise flan hivi,mkipanga mvuto unapotea na halisisimui.Mfano. . . . Umetoka kazini umefika home,unaenda jikoni unamkuta amevalia ka kanga kake,mzuka unapanda unapiga game hapohapo,huwezi kusali kwenye mazingira haya.Bora wenzetu,wao bismillahi inatosha,lakini mzuka ukipanda nayo inashindikana sometime. . . . .
Eiyer haiko hivyo hata wewe waweza sema tu asnte Yesu kwa kunipa mke anipaye utamu kiasi hiki mkaendelea, wala siyo dhambi. tatizo nisemapo kusali unassume ni kama vile kusali kwa mapambio na kupiga magoti la hasha ila wakati mwingine kwa mwanamke anayeipenda kweli ndoa yake hulazimika kupiga magoti kwaajili ya kuaaombea game tu tena hutoa na sadaka kwa ajili ya game tu.

no matter kwamba mzuka umekupandia wakati gaani but unatakiwa umtangulize Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Hebu niambie kwenda chumvini na kula koni kuna dhambi kiaje kama ni mke na mume?

sikubalianai na swala la kwamba kwenda chumvini dhambi. Maneno ya Munu yanasema hivi, mwanamke hana mamlaka juu ya mwili wak ena mwanaume hivyo hivyo. pia ikasema msifirane wala msiyaache matumizi ya mwanamke ya asili. katika kuendelea kusoma zaid ikasema walalapo wawili wapate ijara njema. sasa katika mafundisho yote ya ndoa kwenye biblia hakuna mahali Mungu amekataza kula koni wala kwenda chumvini ila kakataza **** pekeyake.

unapoyafanya hayo kwaajili ya maumeo ama mkeo siyo dhambi hata kidogo.
 
King'asti miye mbavu sina. Binafsi sijsema kuwa hata katika uovu umshrikishe Mungu ingawa Mungu ni wa ajabu sana ukimshirikisha atakuwepo tu. ila je huwaga unasali na kuombea mali za mwenzio vizuri na kwa uaminifu?

haki ya nani tena huyo atakuwa mungu wa ajabu sana yaani unamwita kwenye uovu naye naye anaenda kushuhudia na kukuacha ukifanya ili baadaye aje akuchome moto badala ya kukuzuia, lazima huyu mungu ni gaidi
 
Last edited by a moderator:
Jamani! Why cant you listen to what my loving mom is telling you! Huwa wanasali hivi pamoja na baba. . .

'Tunakushukuru Mungu, kwa neema ya ndoa uliyotupa. Siku kwa siku umeukuza upendo wetu. Nawe umetuweka pamoja tuufurahie unyumba huu. Tunapoingia katika kufurahia uumbaji wako, tunaomba baraka zako! Tupe kuwa na wakati mwema wa furaha kila mmoja akimridhisha mwenziwe. Amen'

Is that hard?

mwanangu wa moyoni na mpendwa kuliko wote umesema vyema sana. Natamani sana Mtambuzi Mama Ngina waje wawaeleweshe. sala waweza kusali jinsi utakavyo kulingana na circumstance ila ni vyema kabisa kwa wanadoa kusali na hii itawafukuza mapemo ya tamaa ndani ya ndoa zenu. amini usiamni
 
Last edited by a moderator:
boss sala hii achilia ile unayosali na wanao sebuleni, hii mnasali mkiwa in bed tayari kuanza kupeana raha, kama vile ambavyo mezani mnasali kwanza ndipo manakula kisha mnaaza kurukiana. mkimaliza mmetosheka mnasali mnalala. kabla ya kuamka mnarudiana tena cha mwisho ili kumfukuza shetani.

yesu wangu itabidi nitafumte mwanamke wa kufukuza naye mashetani leo. kumbe kupiga cha mwisho ni kufukuza shetani
 
Last edited by a moderator:
Sasa hayo ya 0713 mi siyajui,ila wanasemaga huko kuna joto balaa!Eti wanasema ukionja huachi,dada ni kweli?
Eiyer mdogo wangu wa moyoni nimekupa like manake umeuloiza swali zuri sana labda nirejee katika biblia kumbukumbu la torati Mungu aiweka baraka na laana na katika mambo ambayo aliyataja kama laana ni pamoja na ufiraji mengne yaliwa ni kulala na dada yako au mkweo au mwana au mnyama au mwanaume kwa mwanaume.
ukisoma vizuri sodoma na ghomora Mungu aliiangamiza kwasababu ya laana hizo hapo juu so to me hii ni dhambi hatakama kuna utamu wa kiasi gani.

Shetani ni baba wa uongo na yeye ni mjanja sana atakuhadaa kwa tamaa tu ili uanguke dhambini ilihli akijua kwa unamkosea Mungu wako. Fikiria alivyo mwonyesha Yesu milki yote na kwamba akimsujudia basi atampa of course ni kweli angempa milki ya kipepo ila Yesu aligundua kuwa mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe akamwambaia imeandikwa umsujudie Mungu wako tu. so its a matter of seeing in heart kwamba niukimbilie utamu wa dk 20 halafu nizikose baraka za Mungu wangu for life?

sikushauri mdogo wangu wa moyoni uingie humu miye dada yako shemejio nampa mbele tu na kila siku yu namliza kwa utamu ishu ni namwomba Mungu nikubali kutumika kumpa utamu na Mungu ananisikiliza lol si raha hiyo Roho mtakatifu ni rafiki sana atakuletea mifyonzo ya ajabu wewe usimtanie Mungu katika hili. sasa sijui asumbuke kutaka kufira kwasababu gani.
 
gfsonwin na mie ninayependa ku-do kwenye gari inakuaje jamani?, maana nikipata amarula zangu kabla ya kufika hm huwa kuna kona fulani hivi, hapohapo, na tunakuwaga tungi tayari, inakuaje hapo ssa? au tuwe tunasali kabla ya kwenda kupata mvinyo?
cacico hata kama unafanyia wapi sali japo sentensi moja tu, manake haikupunguzii kitu. tena waweza kuwa tayari mmeshavua nguo kabisa ukasema ee Mungu nakuomba uwe na sisi tulifurahie tendo hili mkaendelea. haina restrictions
 
Last edited by a moderator:
but i remember wakti nakaribia kuolewa , i was jus 20yrs old, my mum told me, kuwa kwenda uvinza ni dhambi, hairuhusiwi na kwa cc wanawake kwa wanaume kula koni pia ni haramu, maana huwezi kwenda chumvini kwenye morning glory, halafu baada ya hapo misa ya kwanza kanisa la chuo, wewe ni wa kwanza kwenda kupokea ekarist takatifu! we believe yule NI MUNGU HAI ALTARENI, but ni wangapi wanafuata hiyo??? unatoka kula koni, then huohuo ulimi unakwenda kupokea! ni dhambi, ni kufuru.
cacico nafikiri mama yako alikuwa anaongelea tu kwa ile hofu aliyonayo juu ya tendo zima na kule kuona kuwa ni uchafu. But siyo dhambi kulamba koni ama kwenda chumvini kwa nia ya kumfurahisha mwenzi wako dhambi ni kufirana tu. na hii imeandikwa wazi so mkiomba Roho Mtakatifu akawachagulia hiyo kuwa style yenu ya siku hiyo just go for it. Mama alitumia hekima za kimama za zamani kwani mpaka leo najua ni waoga hata tu wakupapasa tupu za waume zao.
 
Last edited by a moderator:
yesu wangu itabidi nitafumte mwanamke wa kufukuza naye mashetani leo. kumbe kupiga cha mwisho ni kufukuza shetani

sasa wewe kitalolo unapotosha maana sijasema kuwa katafute mwanamke lahasha ninaongelea kama tayari unaye mkeo ndani wakati wa tendo mnasali mmalizapo mnasalaia kisha mnarudiana tena ili shetani asiwajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu. sijui wewe unaichukuliaje dhana hii ila huu ndio ukweli kuwa twapasiwa kusali ili kupunguza chances za ibilisi kutujaribu na pia kulibariki tendo lenyewe
 
Last edited by a moderator:
haki ya nani tena huyo atakuwa mungu wa ajabu sana yaani unamwita kwenye uovu naye naye anaenda kushuhudia na kukuacha ukifanya ili baadaye aje akuchome moto badala ya kukuzuia, lazima huyu mungu ni gaidi
kitalolo sasa weye nakushangaa usemapo kusali wakati wa tendo la ndoa ni dhambi. Ingekuwa hivyo Munu asingesema jamani mbona maandiko yasema waziwazi katika 1kor7:1-6? nenda kasome upya naamini katika kulombea manake unajiepusha na mambo sana hasa kujaribiwa na tamaa zako mwenyewe na Mungu alijua wazi kua hii kitu kina raha na ibilisi atataka awajarinbie wanadamu hapo ndipo akaweka option ya kuliombea ili kumwondoa huyu adui katika eneo hili.

leo hi utakuwa shududa mzuri kuwa hakuna dhambi ambayo inamaliza wengi kama ya uzinzi wafikir nini sababu? watu wanasali sana makanisani na misikitini lakin bado ni wazinzi unaijua sababu? Basi sababu ni kwamba tumemwacha shetani atujaribu ka kutokuwa na kiasi kwetu. Ila katika hili atakaye pona ni yule anayesali kama Mungu alivyoagiza.
 
Last edited by a moderator:
sasa wewe kitalolo unapotosha maana sijasema kuwa katafute mwanamke lahasha ninaongelea kama tayari unaye mkeo ndani wakati wa tendo mnasali mmalizapo mnasalaia kisha mnarudiana tena ili shetani asiwajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu. sijui wewe unaichukuliaje dhana hii ila huu ndio ukweli kuwa twapasiwa kusali ili kupunguza chances za ibilisi kutujaribu na pia kulibariki tendo lenyewe

hiyo zana mimi siiafiki kutokana na jinsi nilivyo huwa ni mwepesi sana wa hasira na si mwingi wa rehema ndio maana mtu akinicheleweshea kitu chochote lazima nigom bane naye na ikiwezeka nasusia ni hicho kitu hata nikienda hotelini nikaagiza chakula wakikichelewesha tu kidogo naishia zangu sili tena .

hii nikutokana na kuwa hata katika mambo ya kawaida tu na chakula cha kawaidi huwa sisali na hata kanisani siendi. sasa unategemena nisalie tendo la ndoa wakati matendo mengine nimeshindwa?

Unanikumbusha mke wangu alikuwa anajifanya ameokoka kama wewe kila kitu maombi kila kitu maombi siku moja nanatoka aot akasema njoo tuombe kafunga macho akaanza maombi alisikia tu mngurumo wa gari akamaliza maombi akaenda kuvua nguo akajana akapuga tena maombi ya umshukuru mungu kwa kilichotokea.
Siku nyingne akaanzisha mchezo tukifanya michezo yetu wee tumechoka ile unataka kurukia anaikama anaanza kupiga maombi inanala inakuwa ndogo kaa kibamia na haiamki tena maana stimu yote imekatizwa
 
Last edited by a moderator:
Ni usiku mnene kama kawaida wengi wenye wenzi mmelala kupeana joto. Mimi nieona nimwache wa moyoni kidogo nije niwaulize maswali yafuatayo katika mapenzi.

je umeewahi hata siku moja kuomba ama kusali kabla na baada ya kufanya tendo la ndoa? kama ndiyo waionaje amani na raha uipatayo kwa kuliombea tendo hilo na kama hapana unaonaje karaha uzipatazo kwa kutokumtanguliza Mungu wakati wa hilo tendo?

Hata kwenye bibilia takatifu kitabu cha WIMBO ULIOBORA cha Mfalme Suleiman umeelezea yote hayo

thawabu ni kinyume cha dhambi
yaani jambo jema la kukupeleka peponi...

naomba uniwekee hapa sample ya maombi na sala ya kabla ya sex...

waweza sali hivi 'Eee Mungu baba yetu tunakushukuru kwa muda huu uliotupa, tunajikabidhi kwako tupatapo faragha hii ili miili yetu ikatumike kupeana raha na furaha ili tulifurahie tendo hili kama ulivyoagiza. Amen'

sala ziko nyingi sana mfano mimi binafsi huwa kuna muda najikuta namuombea wa G'y wakati tupo tunatafuta network. huwa kila nimshikapo kwa mikono moyoni nanena

'eeMungu uume huu wa mume wangu usitumike kumpa raha kahaba yeyote zaidi ya kunipa mimi mkewe halali" kama nikienda sikoni napo napanenea na hata miye najinenea natamani macho matiti, uke and so on vitumike kumpa mume wangu tu raha na viwe mali yake na si mwanaume mwingine yeyote" muda mwingine mama unajikuta labda ni asubuhi umeamka akikukiss just for good morning weye ukikwa umefumba macho unapiga power hapo hapo ee mungu midomo isimbusu mwanamke mingine yeyote kama inibusuvyo mimi. na Mungu alivyo anakupa amani tu. Huish kwa kuwa na kitete
 
hiyo zana mimi siiafiki kutokana na jinsi nilivyo huwa ni mwepesi sana wa hasira na si mwingi wa rehema ndio maana mtu akinicheleweshea kitu chochote lazima nigom bane naye na ikiwezeka nasusia ni hicho kitu hata nikienda hotelini nikaagiza chakula wakikichelewesha tu kidogo naishia zangu sili tena .

hii nikutokana na kuwa hata katika mambo ya kawaida tu na chakula cha kawaidi huwa sisali na hata kanisani siendi. sasa unategemena nisalie tendo la ndoa wakati matendo mengine nimeshindwa?

Unanikumbusha mke wangu alikuwa anajifanya ameokoka kama wewe kila kitu maombi kila kitu maombi siku moja nanatoka aot akasema njoo tuombe kafunga macho akaanza maombi alisikia tu mngurumo wa gari akamaliza maombi akaenda kuvua nguo akajana akapuga tena maombi ya umshukuru mungu kwa kilichotokea.
Siku nyingne akaanzisha mchezo tukifanya michezo yetu wee tumechoka ile unataka kurukia anaikama anaanza kupiga maombi inanala inakuwa ndogo kaa kibamia na haiamki tena maana stimu yote imekatizwa

ndugu yangu kitalolo pole sana sijakuelewa ila pia kama ni mtu wa hasira basi nikue pole nyingine manake katika dunia hii utakasirika kwa mangapi? imagine duniani kila siku lazima mtu waweza kujikuta umekwazika so sijui utaweka mangapi moyoni.
 
Last edited by a moderator:
Jamani hata mie nilikuwa sisali nikifikiria kuwa ku-mdu mke wangu hakuhitaji sala,ila kuanzia leo naanza kusalia hii sakramenti,tena tunavua nguo kabisa,tuna panda kitandani,hatakama litakuwa limesimama(potelea mbali) naombea ili nichelewe kukojoa,atupe na maufundi mengine yakutupagawisha then namalizia na Amen,then tuna-do.JF noooma jamani.
 
stephot kama wewe ni mcha Mungu kwa imani yako basi ni jambo jema sana kumshirikisha katika kila jambo ulifanyalo. usisubiri siku unaumwa tu ndio usali ama siku unamajonzi hapana hata wakati wa raha mwombe sana Mungu aitamngulie.

nashukuru kwamba umeona sababu kwanini usali na kwamba yakupasa kuliombea tendo la ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom