Hadithi: Dada Jesca

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Ni ijumaa ya mwisho ya mwezi huu wa tano, watumishi wa umma na sisi wa sekta binafsi sote tumejidamka zetu makazini kama kawa, si unajua tena… Mambo ya kuwajibika. Mambo yote yamekwenda sawa, ila tu kwa kutimiza wajibu wangu mwingine usio rasmi, nachelea kuwadokolea kidogo yaliyojiri. Ni stori inayomhusu Dada Jesca, mhazini wetu pale ofisini.

Kisa kilianza kwa kuwa aliwahi kutoka kazini kuliko ilivyo kawaida yake, na kama ilivyo ada ya kamera yetu ya simulizi kutoka jikoni ikamfuatilia kujua kulikoni?!! Si unajua tena…

Basi siku ile, kwanza Dada Jesca alikuja akiwa ameupara na kupendeza kwelikweli ingawa kwa kweli maumbile ya mtoto wa kike huyu hata akivaa maturubai anavutia, pili aliomba ruhusa mapema sana aweze kurudi nyumbani kwa kuvunga kuwa eti anajisika vibaya, mmh… kumbe mumewe alikuwa yu njiani kurudi toka safari ya wiki tatu na alikuwa ana hamu naye kupita maelezo. Tukumbuke kuwa ni miezi miwili tu imepita tangu Dada Jesca alipofunga pingu za maisha na kijana Badi na kuanza naye maisha mapya, kwenye nyumba mpya. Mume wake ni mfanyibiashara na alikuwa safarini kwa kipindi cha wiki tatu zilizopita.

Sasa mimi na udaku wangu nikajiuliza kulikoni? Hivi huenda ametonywa na mumewe kuwa yu njiani kurudi? Au ndo uzalendo umeshamshinda mtoto wa kike kaamua akajipakatishe kwa mwingine? Hata huyu? Huwezi kujua. Basi nikamfuatilia mwanzo hadi mwisho… mimi tena!!!

Bila ruhusa yake nimeamua kuwamegea kwa uchache yaliyojiri jikoni siku ile na kunaswa na kamera yetu. Akimaindi ntamwomba radhi badae, au kama vipi poa tu kwani uongo… tena naanza na jinsi alivyoondoka kazini hadi kufika home.

Basi ikawa baada ya kuruhusiwa alishuka chini toka ghorofa ya kwanza iliko ofisi yake kwa lifti wakati siku zote hutumia ngazi, kisha akatembea haraka kuelekea kituoni wakati siku zote hutembea polepole kwa madaha ili awatese vizuri mabazazi wenye uchu, maana mashaallah mtoto amejaaliwa si kidogo… ilimchukua dakika chache tu kutoka JM Mallhadi kituoni, akisubiri daladala za Posta-Mwenge.

Alivaa sketi nyeusi iliyoishia chini kidogo tu ya magoti, juu akiwa na blauzi nyeupe ya mikono mifupi yenye mikunjo maridadi mabegani na maua mazuri kifuani, moja kila upande juu kidogo ya chuchu zake nzuri zisizofichika na sidiria. Handbag yake ndogo ya rangi ya kahawia aliining’iniza kwenye bega la kushoto huku mkono wa kulia aliukunja ukiwa umebeba koti lake jeusi la ofisini.

Mwili wake ni wa wastani, rangi yake maji ya kunde, na kichwa cha mviringo kilichobeba kitita la nywele ndefu zilizosukwa kwa ustadi. Chini ilivaa viatu vyeusi vya kawaida visivyo na visigino virefu, saa ndogo nzuri ya rangi ya dhahabu ilinakshi mkono wake wa kushoto ikiwa ni zawadi toka kwa baba mkwe wake aliyozawadiwa siku ya siku ya harusi, na, ofcourse, pete ya ndoa. Sura yake ni ya malaika. Ukimwona Da’Jesca usivutiwe na uzuri wake basi we una lako.

***

Ukimwangalia kwa nyuma anapotembea ni raha tupu. Si tipwa-tipwa na hana makalio makubwa ila ni wa ukweli. Hasa ukiongeza na ile janja yake ya kila siku ya kupishanisha rangi ya chupi na nguo ya nje. Alijua kabisa anavaa sketi nyeusi nyepesi, ndani akatanguliza chupi nyeupe pee, tena laini ya kupwaya yenye pindo nene…

Kwa umbo lile, hata kama angelikuwa na sura ya sokwe bado angewapeleka watu puta.

Kila alipopita alisindikizwa na jozi kadhaa za macho, ya wake kwa waume, na hali hii tayari alikwishaizoea kitambo, tangu enzi zile akiwa kigori miaka kadhaa iliyopita. Alipofika kwenye makutano ya Samora na Azikiwe alisita kidogo, akafikiria ni njia ipi ya usafiri wa daladala itaweza kumfikisha home haraka zaidi. Maeneo anayoishi kule Sinza anaweza kufika kwa kupanda daladala zinazopita Morogoro road kisha Shekilango au zile za Kawawa road.

Mara alisikia sauti kwa nyuma yake mtu akijikohoza. Alipogeuka alikutana na salamu “Vipi dadaangu, habari.”

“Nzuri kaka, za kwako” alimjibu kiungwana kwa kuwa sura haikuwa ngeni kwake.

“Ndo unaondoka au unarudi tena ofisini dada? Naona leo mapema.”

Hapo ndo ikawa kana kwamba amemkaribisha. Alikwepa kujibu swali hilo na badala yake alimsogelea Jesca kwa karibu zaidi na kumwongelesha kwa sauti nzito ya chinichini. Vijana wa mjini bwana, hawana hata staha, wakitamani wanatongoza hata wakiwa katikati ya kadamnasi mchana kweupee.

Kwa kuwa Jesca hakuwa mgeni na mambo yale, alimwacha kiaina.

Alivuka Makunganya na kupanda kiwambaza cha jengo la benki ya Posta tawi la Metropolitan, akapunguza mwendo kidogo akijipa nafasi ya kujiangalia kwenye vioo vya jengo hilo ahakikishe kama yupo sawa. Na ahakikishe kama yule kijana bado aliendelea kuandamana naye. Aliporidhika alikunja kushoto na kuambaa ambaa kuelekea posta mpya. Alikwishalizoea sana eneo lile la jiji kwani hupita hapo siku sita za wiki, kwenda na kutoka kazini. Alipofika usawa wa jengo la Mavuno House aliangalia kushoto na kulia kwa usalama, alipopata nafasi akavuka kwenda upande wa pili wa barabara ya Azikiwe. Punde akawa kwenye kituo cha daladala cha Posta mpya..

Kwa kuwa abiria walikuwa ni wengi sana wakati ule na mabasi ni machache, akili yake haikutulia kama siku zote, alitamani kufika nyumbani mapema ili aweze kuandaa mambo kwa ajili ya mapokezi ya mumewe kipenzi. Lakini alipenda apate basi lenye nafasi ya kukaa. Ndo maana lilipopaki gari dogo aina ya Noah na mpiga debe kutangaza ‘Mwenge elfu mbili… Mwenge elfu mbili’, yeye akawa wa kwanza kujitosa ndani.

Darubini yangu ikamfuatilia kinyemela.

Dakika tisini baadaye aliwasili nyumbani tayari.

Ile kuingia tu ndani, jambo la kwanza ikawa ni kupiga simu ya kuhoji mzee yuko maeneo gani kwa wakati huo. Bahati mbaya au nzuri simu yake ikawa haipatikani. Akajifariji kuwa labda wapo mahali ambapo mtandao haupatikani vizuri.

Si vyema nkakwambia mimi nilijifichaje au darubini yangu ilibanzwa sehemu gani. Hilo si muhimu. We pokea story hii…

Akiwa home sasa, yupo huru peke yake binti wa watu, sehemu ya kwanza kuitembelea ikawa ni jikoni ambako alifanya uhakiki wa vyakula stoo na kwenye friji. Nyumba yao haukuwa kubwa, ila ni maridadi na ni ya kisasa. Alipojiridhisha kuwa kila alichohitaji kwa siku ile kilikuwapo, alichapa mwendo kwa furaha akielekea chumbani huku akijiimbia wimbo kwa sauti mororo isiyo na mpangilio. Baada ya kubadilisha mavazi yake na kuvaa nguo za kinyumbani, alirejea tena jikoni na kuanza maandalizi ya chakula. Furaha yake haikubaki moyoni pekee. Ilijaa ikamwagika kwa kuonekana waziwazi usoni. Mambo ya ndoa mpya si unajua tena… kipya kinyemi bwana…

Alianza kupika, huku mwili mzima ulikuwa umejawa na mshawasha wa mahaba…

Baadaye aliacha vitu vikiwa katika mpangilio wa mapishi jikoni na kuamua kwenda kutumia dakika chache bafuni aoge ili ikibidi kukutwa na ‘mzee’ basi heri akutwe msafi. Alitoka jikoni akaenda chumbani, akavua nguo na kuwasha redio. Aliposikia kipindi cha muziki wa mwambao akaongeza sauti, na punde alitoka, akiwa amejifunga khanga nyeupe yenye madoa madoa meusi. Aliifunga legelege tu juu ya matiti, yaani hata ikidondoka potelea mbali. Si yuko peke yake ndani bwana.

Chuchu zilishaanza kumjaa.

Akaingia bafuni kuoga. Aliivua ile khanga akaitundika ukutani, kisha akafungua maji yajae kwenye ndoo ya bluu ya kuogea, huku kiganja cha mkono wake wa kushoto kikichezea chezea titi lake la kulia. Ni kama lilikuwa linawasha vilee. Aligeuka nyuma yake na kuipa mgongo darubini yangu bila mwenyewe kujua, halafu akainama taratibu kuchukua sabuni.

Aliinuka akaiweka kwenye kibeseni kwa juu kisha, akainama tena kuchukua kopo la kuogea na kuanza kujisafisha miguu…

Akiwa ndo anaanza kuoga amejimwagia maji mara moja, hajaanza hata kujipaka sabuni mara akasika harufu ya kitu kuungua jikoni. Si unajua tena mambo ya gesi wakati mtoto alishazoea mkaa kwao. Alishtuka na haraka haraka akatoka bafuni na kwenda jikoni. Ila mara hii hakutoka na nguo, badala yake akawa mtupu kabisa kama alivyozaliwa. Sasa sijui ilikuwa kujisahau kwa bahati mbaya kutokana na dharura, au hakuwa na wasiwasi yoyote kwavile nyumba yao ilizungushiwa uzio na pia mlango amefunga. Au ndo bubu kutaka kusema mambo yanapomzidia….

Akajiachia.

Pata picha ule mwili unaotetema ukiwa ndani ya nguo ukapaisha nyoyo za wanaume na kuzinyima amani za wanawake wenzie, sasa ukawa unatetema ukiwa free. Laiti kungelikuwa na mtu anaona! Mwenyewe hakujali hata…

***

Jikoni akakuta kumbe ilikuwa ni mboga aliyoinjika ilianza kuungua. Akaitoa na kuanza kuweka mambo sawa, si wanasema mwanamke mapishi?… Akaamua asiende kwanza kuoga hadi amalize kupika mboga. Hakurudi bafuni kuvaa japo khanga moja au taulo, au basi walau hata chupi tu. Akabaki vile vile, akaendelea na mapishi kana kwamba amevaa. Si yupo peke yake home bwana.

Mawazo yake yakazama kwenye mapishi, mara aimbe mara apige makofi na kujitingishatingisha, ilimradi tu alijisikia raha moyoni. Hii ilikuwa ni safari ya kwanza ndefu ya mume wake tangu wafunge ndoa miezi michache tu iliyopita. Kipindi hiki kifupi ndicho haswa kilichomfundisha Da’Jesca maana halisi ya kummisi mume. Mwanzo alikuwa anasikia tu na mara nyingine hata yeye mwenyewe alitumia msemo huo wa nimekumis kweli mpenzi pasi na kujua maana au uzito halisi wa neno lenyewe. Alikuwa hajawahi kukutana na hali ya kusubiri mpenzi kama aliyokuwa nayo siku ile. Hali ya kutamani. Hata sura yake ilionyesha dhahiri kuwa amezidiwa na anataka. Mwili mzima ulionyesha kuwa anataka. Alichoka kulala mkono mapajani.

Mimi pia niliemfuatilia kwa darubini yangu nilipata shida ila nilijikaza kiaina. Kumwona DaJesca akiwa vile, wakati na mi mwenyewe sijaduu kitambo ni mateso kwa kweli. Hadi kovu dogo lililopo nyuma kushoto chini kidogo ya kiuno lilivutia kulitazama. Lakini mi ni professional, nilimwacha afanye yake name nikafanya yangu.

Basi ikawa akaandaa ile mboga mwanzo hadi mwisho akiwa mtupu vilevile bila kujali. Muda mrefu alisimama, mara kadhaa alikaa kwenye kigoda cha plastiki, na mara kadhaa aliinama kwa muda akikatakata ama kuchanganyachanganya vitu. Kijiupepo kwa mbali kilipompuliza sehemu zake za mwili ambazo kwa kawaida huwa ndani ya nguo wakati wote, alihisi raha ya ajabu na msisimko zaidi. Alikuwa peke yake… alijiachia na kujisahau.

Hata mumewe alipoingia, japo hakuingia kwa kunyata hakumsikia kabisa, akashtukia tu mkono mmoja unampapasa kwenye bega la kulia huku mwingine ukiteleza upande wa kushoto wa kiuno chake. Alipata msisimko na mshtuko kwa wakati mmoja.

“Aaii… baby, mbona hivyo! utaniua bwana!” alilalamika.

Akamtekenya kiunoni, kwa namna ambayo eti anapima kama anazo ny*** kiasi gani.

“Aaa… nini bwana.” Aliruka kwa mshtuko. Mume akaridhika.

Bahati nzuri hakuja na mgeni, vinginevyo ingekuwa aibu kubwa. Baba mwenye nyumba kumkuta mkewe akiwa vile jikoni…

“Ntakuua kwa lipi mamii… mshtuko au ny*** za wiki nzima nlizokuacha nazo?” mumewe alimuuliza kwa sauti nzito ya mahaba.

“Utaniua kwa vyote. Yaani nakwambia nime…”

DaJesca hakuweza kumalizia sentensi yake, mdomo wa mumewe ulikaribia wake, alilaza kichwa chake upande kidogo ili kipua chake cha mchongoko kisigusane na pua bapa la mumewe, akaupokea. Maneno yalipaswa kusubiri. Si wanasema maneno matupu hayavunji mfupa? Wawili hawa walikuwa na nia ya kuvunja mfupa.

Miongoni mwa mambo anayoyapenda sana Da’Jesca kwa mumewe huyu ukiacha mapenzi yake kwake na kumjali ni namna anavyojua kucheza na matiti yake. Kwanza matiti yenyewe ni ya kiwango cha juu, si makubwa si madogo, na yalipata mtumiaji anayejua thamani yake. Alitoa miguno ya raha alipoyatomasatomasa kiaina kwa vidole vyake vikubwa, mara nyingine akizungusha viduara kama vile anachora spring akianzia kwenye shina la titi na kuishia kwenye chuchu zililojiaa kwa mhemko. Na alipoziweka mdomoni na kuanza kuzimumunya na kuzipetipeti kwa ulimi joto lilimpanda DaJesca akajihisi yu kwenye ulimwengu mwingine kabisa.

“Nakupenda sana mume wangu.” Da’Jesca alitoa ushuhuda huku akihema.

“Mimi pia mke wangu. Tena kwa taarifa yako mi nakupenda zaidi.”

“Najua kwamba unanipenda mume wangu. Lakini nyi wanaume hamtabiriki hata kidogo.”

“Kwa nini hatutabiriki?”

“Kwa sababu mna tama kuliko sisi. Hata kama mwanaume ana mke ndani, ni aghalabu sana kukuta ameacha tabia ya kutazama na kutongoza wanawake wengine.”

“Kwa hiyo na mimi unaniweka kwenye mkumbo huo?”

“Hapana. Nina maana upendo wangu kwako si rahisi kuulinganisha na upendo wangu wako kwangu kwa sababu wewe ndiye utakayenisaliti siku si nyingi. Wenyewe mnaita kubadilisha mboga.” Da’Jesca alisema kimasihara huku mikono yake ikifungua vifungo vya shati la mumewe kimoja baada ya kingine. Alivaa shati la rangi ya kijivu, la mikono mifupi, ambalo punde lilitupwa kando, likifuatiwa na fulana ya ndani. Baadaye suruali ya kitambaa kizito cha pamba na boxer yake ya polo zilibwagwa na kusogezwa kando kwa mateke.

“Mi naona wewe ndo utanisaliti mimi.”

“Siwezi mume wangu. Nimekula kiapo kwako. Hili tunda ni lako wewe pekee kwa siku zote za maisha yangu. Sitaki mwingine. Unanitosha.”

Mumewe hakujibu kitu kwani ubishi huo usingaliweza kwisha. Haikumsumbua. Anawajua wanawake vizuri. Hasa wanawake wazuri wa caliber ya Da’Jesca.

Da’Jesca alipotupa macho na kuona kibegi kidogo cha safari cha mumewe sakafuni karibu na mlango wa jikoni, alizima majiko yote mawili, akakifuata na kuelekea nacho chumbani, mumewe akiwa nyuma yake kwenye kila hatua bila kukosea. Kama kumbikumbi. Walitembea kama binadamu wa kale enzi hizo hakujagunduliwa mavazi na kujisitiri maungo. Japokuwa Da’Jesca alikuwa amevua nguo zote, kwenye sehemu fulani chini ya kiuno ngozi ilikuwa ng’avu kuliko nyingine kwa mchoro wa kufuli, kivazi ambacho wanawake huwa nacho mwilini almost wakati wote hadi wakati wa kulala, isipokuwa kwa walio ndani ya ndoa.

Kidume moyo ukampwita. Mihemko ilikuwa ya hali ya juu mno kana kwamba ndo mara yao ya kwanza wawili hawa wanajiandaa kulimega tunda. Udenda ulimtoka. Si wa mdomoni.

Wanandoa wale wakaingia chumbani ambako walifutika mlango wapate faragha. Kilichoendelea huko hatujui kwani darubini yetu hii ni ya simulizi toka jikoni tu, haishiki za chumbani. Labda bafuni nasebuleni tu.

Nusu saa hivi baadaye mlango wa chumbani ulifunguliwa, akaanza kutoka Da’Jesca, amechoka hoi ila sura yake imechangamka na anaonekana ni mwenye furaha. Alijikokota kuelekea bafuni. Kisha mume wake naye alitoka, taulo kiunoni, tabasamu usoni. Trailer tayari bado picha lenyewe baadaye. Jamaa ni mziki mnene hata Da’Jesca, mkewe, analifahamu hilo. Kwanza kwa ukubwa wa maumbile na pili kwa performance. Inasemekana bwana mkubwa ana inchi saba na ushee na akikaa juu mara nyingine hashuki kwa muda mrefu kwelikweli. Anaunganisha juu kwa juu. Siku za nyuma Da’Jesca alikuwa anaumia kiasi cha kutaka kuachana naye lakini kwa sasa keshazoea. Anaumudu mchezo na amedata kwake kupita maelezo.

Walipotoka bafuni wote walirudi tena jikoni kukamilisha maandalizi ya chakula. Mara hii Da’Jesca akiwa ndani ya kanga moja na mumewe taulo kubwa jeupe. Wote bila nguo nyingine yoyote ndani. Mapishi yalipokamilika kwa pamoja waliandika meza na kuketi kwa mlo, huku mwanaume akiwa na hakika kabisa chakula kilichoandaliwa kitakuwa kitamu ile mbaya, bila kujali ni chakula gani.

Ilikuwa ni ugali wa dona na rost ya nyama ya mbuzi, mnavu na kachumbari ya kabichi.

“Haha… kumbe ulipitia mochwari leo?” mumewe alitania baada ya kufunua kawa kwenye bakuli la mboga.

What?” Da’Jesca alijifanya kushangaa. Alijua jinsi mumewe anavyopiga vita ulaji wa nyama kwa chini chini. Anakula nyama ila hapendi nyama. Anadai ana mpango wa kuwa vegetarian siku za usoni. Ati anawahurumia wanyama wanavyochinjwa na kukatishwa maisha yao kwa uroho wa minofu. Yeye na rafiki zake wanaita mabucha ni mochwari za kuhifadhia mizoga ya ng’ombe. Na binafsi aliwaza hivyo kweli. Yaani aonapo nyama anawaza kuwa huyo jana alikiwa ni mnyama mzima kabisa mwenye afya ambaye kwa mujibu wake ni kwamba siku yake ya kuondoka duniani ilikuwa bado haijafika. Anyway…

“Nasema, ulipitia mochwari?… shida nini mama, protini? Kwa nini hukununua maharage? Au choroko.”

“Kwani nikiacha mimi kula nyama ndo ng’ombe hawatachinjwa?”

“Ukiacha wewe utakuwa mfano na kuwahamasisha wengine ambao wanadhani hakuna maisha bila nyama nao kuacha.”

“Halafu?”

“Halafu soko la nyama litapungua, palipokuwa pakichinjwa ng’ombe kumi kwa mfano, patachinjwa wanane. Huoni kama utakuwa umeokoa maisha?”

Da’Jesca hakujibu, badala yake alinawa akachukua pande moja kubwa nono la nyama na kulisokomeza mdomoni kwa mumewe, kumnyamazisha. Naye akafanya vivyo hivyo, kulipiza.

Walipomaliza kula na kulishana, na kuchombezana kwa michezo na maneno ya kitoto ya mezani, DaJesca alikusanya vyombo na kuviweka kwenye sinki halafu akafuta meza na kuweka vitu vingine sawa. Mumewe alielekea chumbani.

Baby fanya fasta basi uje.” Aliagiza huku akimwonyesha kwa kidole cha shahada cha kulia mdiso ndani ya taulo.

“Nyoo… sikupi tena leo.” Da’Jesca alijifanya kuzuga wakati alielewa fika kinachokwenda kutokea kule chumbani kwani hata yeye baada ya kuoga na kula alishaanza kujisikia hamu tena, japo mdiso wake si rahisi kuonekana kwa macho.

“Ukichelewa kuja ntakuja mimi, kaa mkao wa kuliwa.” Wote waliangua kicheko kwa pamoja.

“Mi sio chakula wewe” Da’Jesca alijitetea.

“Kwani ni chakula tu kinacholiwa?”

“Eee… kama siyo hebu jaribu kunitajia vitu vitatu ambavyo si vyakula na vinaliwa.” Da’Jesca alimchalenge mumewe.

“Mmmm… hebu ngoja, vingapi umesema?”

“Vitatu”

“Kiapo, denda, na wewe…” wakacheka tena kwa pamoja.

“Mi siliwi” Da’Jesca alilalamika.

“Unaliwa.”

“Siliwi.”

“Tupinge kama sitokutafuna usiku kucha leo.” Alinyoosha kidole kidogo na kurudi akimfuata Da’Jesca wapinge kwa kuunganisha vidole na kuvianchanisha kwa ishara ya kukata.

“Aka… sitaki kupinga.” Da’Jesca alirudi nyuma.

“Utake usitake tunapinga.”

Wakaanza kukimbizana kwa dhihaka kuzunguka mle jikoni huku wakicheka kwa furaha. Kanga ilimvuka Da’Jesca na taulo likamvuka mumewe. Wakawa wanakimbizana watupu. Walipendeza na miili yao iliendana. Sipatii picha wawapo kitandani. Macho ya kila mmoja hayakutosheka kumwona mwenzie. Walipendana na walitamaniana. Kwa usiku ule ulimwengu mzima ulijidelete wakabaki wao, wakahisi raha kana kwamba dunia nzima ni wao tu. Mioyo ilikongeka, kila mmoja akajiona ni mwenye bahati kubwa kumpata mwenza wake. Mwisho Da’Jesca aliongoza mwenyewe chumbani kama kondoo machinjioni na wote wakatokomea huko.

Kesho yake walichelewa sana kuamka. Na walipoamka walikuwa wachovu kweli kweli.

Mapenzi ndani ya ndoa yana raha yake bwana…

Ila kwa hakika mboga ile ilikuwa tamu kupita kawaida…
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom