Wenzi mwalifamu hili?!

Mi siku zote nasali sala zilizoko kwenye vitabu vyangu vya sala, kama vili misale, mawaridi ya sala, chuo kidogo cha sala nk. gfsonwin naomba uniandikie hapa sala kabla ya tendo la ndoa, au nielekeze kitabu ilipo nikaisome...
 
sala kabla ya tendo la ndoa
Mungu baba, mwing wa rehema na upendo tunakushukuru sana kwa ajili ya upendo wako katikati yet. Zaidi sana tunakushukuru kwa kutufanya gf na gy kuwa mwili mmoja na sasa tupo mbele zako kwa ajili ya kutimiza haja zetu na matamanio yetu ya kimwili.Tunakuomba uwe katikati yetu tendo hili tulifurahie na tujitoe kwa upendo na uaminifu wakati wote tutakapo shiriki tendo hili. Tunamkemea shetani aletaye roho za kutokuwa na kiasi na tunaharibu mipango yake yote katikati ya ndoa yetu. amen

sala baada ya tendo la ndoa

Mungu baba, tunakushukuru sana kwa uaminifu wako kwetu. tumetabua ya kwamba wewe Mungu ni mwaminifu kwetu na uaminifu wako unakuzunguka insi ambavyo ulikuwa pamoja na sisi toka tulipoanza kushiriki tendo hadi tunapomaliza. Asante sana kwa ajili ya miili yetu na kwa furaha na raha tuliyooipata wakati tunafanya tendo hili takatifu. Tunamtangazia Ibilisi baba wa uongo ya kwamba hatatudanganyaa tena kwakua umetuonyesha utukufu wako katika tendo hili kwa raha tuliyoipata. Sasa tunaviweka viungo vya miili yetu wakfu kwaajili yetu wenyewe na kwa ajili ya utukufu wako.
amen

Amina.
Nimeshazinakili....
 
Bishanga, nadhani unaanza hivi . .

Ee baba, ninaomba sukari ya TS iwe zaidi ya ile ya Mchele Ltd, na kiuno chake kiwe na grisi nyingi. Naomba unisaidie asinitengue kiuno kama Erotica.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom