Wema Sepetu atangaza nia

unataka nn wewe ni mwl wa maadili?? wema si mtu wa kutunga sera hata siku mojaaaa

ni ushauri tu..mi mwenyewe wema simkubali kabisa ila sio ndio nimtukane...
ok btw sio lazima ufwate kila misemacho...
nimekushauru tu so we fanya kile roho inapenda.
 
Ccm wasivyo na akiri watamchagua huyu kaahaba yani ukitaka kuujua upuuzi wa Wema nenda huko Instagram kuna vijana wake anawanunulia bando kutukana watu kuna huyo rais wao anaitwa Dogimasta yani huyu anamharibia sana wema.na huyo Dogimasta ndio atachangia Wema kupigwa chini kwenye mchujo anatukana sana watu
 
Yaani hapa na imagine hawa watu wanaotangaza nia afande sele. Huyo Wema. Sijui Steve nyerere and the like
Wakapita kuingia mjengoni hivi hilo bunge litakuwaje?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom