Msanii anaefanya vizuri kwenye kiwanda cha BongoFleva Whozu, amesema kuwa endapo kama ataachwa na mpenzi wake Wema Sepetu basi atajiua kwa kujitosa baharini.
Akifanya mahojiano na East Africa Radio Whozu amesema,
"Mapenzi yangu kwa Chimama yaacheni kama yalivyo. Nipo kwenye penzi zito siku mkiona nimeachwa nitajitupa kama yule mwana baharini na mazishi mje Moshi”.
“Nipo radhi kupigana na mtu yeyote kwa ajili ya mwanamke wangu kwa sababu nampenda”. - Whozu
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️