Wema Sepetu atangaza nia

Wasanii wa bongo muvi wakishaingia tu bungeni basi nchi imekwisha. Fikiria bunge letu lijazwe na wasanii wa bongo muvi yaani watu ambao hawana elimu wala kitu chochote kichwani zaidi ya kuwaza kwenda location na kupigana miti hovyo hovyo. Huko bungeni si watakwenda kuendeleza tu sinema zao za X badala ya kutunga sheria?

Hii Imekaa Kigreat Thinker Zaid
 
Bro unauwa mchana kweupeeeeeee
Wasanii wa bongo muvi wakishaingia tu bungeni basi nchi imekwisha. Fikiria bunge letu lijazwe na wasanii wa bongo muvi yaani watu ambao hawana elimu wala kitu chochote kichwani zaidi ya kuwaza kwenda location na kupigana miti hovyo hovyo. Huko bungeni si watakwenda kuendeleza tu sinema zao za X badala ya kutunga sheria?
 
Usanii mwingine bwana. Yaani kachoka kuchezewa kwa sasa anataka kuwakilisha watu wa Singida? Ebu fikiria mtu kama Wema akuwakilishe Bungeni unategemea nini? Mtu kichwani hana kitu na shule kafeli, leo hii anataka kututungia sheria, jamani are we really serious kweli? Lazima sheria ipitishwe kwa watu (failures) kama hawa kutopewa hata nafasi ya kugombea ubunge. Fikiria aje apate ubunge then naibu waziri wa habari na utamaduni na hana elimu yeyote zaidi ya kujuwa kuongea broken english, si tutaonekana jamii ya hajabu kweli?

Notwithstanding all her shortcomings, her English is good bordering to excellent!!!

mnyonge mnyongeni........
 
Hivi huyu Wema hana washauri jamani? Sote twajuwa kuwa Wema alishindwa shule kule Singapore na hana elimu yeyote ile, leo aje kuwa mbunge si atagombanisha wahuni wenzake tu mjengoni? #TusimruhusuAgombee #AfungweKwaKugombea #ChanguUbungeHapana

Acheni hizo jamani..akili inayohitajika kuwa mbunge kupitia CCM ni uwezo wa kumsikiliza Spika anaposema WANAFIKI (tofautisha na "wanaoafiki") wote semeni ndio na yeye kusema "NDIYOOOO"...kingine kinachohitajika ni uwezo wa kuzomea point kuntu za wapinzani...la mwisho ni uwezo wa kusign posho...She can do all those, right???

sioni tofauti kubwa kati yake na wabunge wa CCM!!!! hujui kuwa utawala huu wa awamu hii umedhihirisha kuwa kama Shemeji anaweza kuwa rais hata wewe unaweza?
 
Usanii mwingine bwana. Yaani kachoka kuchezewa kwa sasa anataka kuwakilisha watu wa Singida? Ebu fikiria mtu kama Wema akuwakilishe Bungeni unategemea nini? Mtu kichwani hana kitu na shule kafeli, leo hii anataka kututungia sheria, jamani are we really serious kweli? Lazima sheria ipitishwe kwa watu (failures) kama hawa kutopewa hata nafasi ya kugombea ubunge. Fikiria aje apate ubunge then naibu waziri wa habari na utamaduni na hana elimu yeyote zaidi ya kujuwa kuongea broken english, si tutaonekana jamii ya hajabu kweli?

well said mkuu. Mtu kama huyu sidhani kama anaweza hata kujenga hoja yenye mashiko.
 
Mshikaji ananichekesha hapa Bar....anasema na yeye lazima agombee ubunge wa Tandale ili Wema akipita naye apate wa kucheza naye kitandani na kuandikwa magazetini kisha aje kugombea urais akishapata scandal za kutosha maana atakuwa anafahamika na watanzania.

mwambie kwa ccm ataweza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom