Wema Sepetu atangaza nia

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,782
66,956
Kugombania viti maalum Singida
 

Attachments

  • 1434539235686.jpg
    1434539235686.jpg
    21.5 KB · Views: 2,862
Mimi huyo simfagilii kwa sababu hana uwezo wa kuikabili Siasa mie naona wa Tanzania tunapoteza maana ya Ubunge ndiyo maana Tuna chagua Chagua halafu baadae tunaanza kulalamika sina
 
Kugombania viti maalum Singida


Usanii mwingine bwana. Yaani kachoka kuchezewa kwa sasa anataka kuwakilisha watu wa Singida? Ebu fikiria mtu kama Wema akuwakilishe Bungeni unategemea nini? Mtu kichwani hana kitu na shule kafeli, leo hii anataka kututungia sheria, jamani are we really serious kweli? Lazima sheria ipitishwe kwa watu (failures) kama hawa kutopewa hata nafasi ya kugombea ubunge. Fikiria aje apate ubunge then naibu waziri wa habari na utamaduni na hana elimu yeyote zaidi ya kujuwa kuongea broken english, si tutaonekana jamii ya hajabu kweli?
 
Mshikaji ananichekesha hapa Bar....anasema na yeye lazima agombee ubunge wa Tandale ili Wema akipita naye apate wa kucheza naye kitandani na kuandikwa magazetini kisha aje kugombea urais akishapata scandal za kutosha maana atakuwa anafahamika na watanzania.
 
Hiki Chama Kimeshageuka Dustbin


Wasanii wa bongo muvi wakishaingia tu bungeni basi nchi imekwisha. Fikiria bunge letu lijazwe na wasanii wa bongo muvi yaani watu ambao hawana elimu wala kitu chochote kichwani zaidi ya kuwaza kwenda location na kupigana miti hovyo hovyo. Huko bungeni si watakwenda kuendeleza tu sinema zao za X badala ya kutunga sheria?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom