Wema Sepetu atangaza nia

Aaandike maumivu.

Kwa hapa nakuunga mkono, sana
Ikulu ni mahala patakatifu - Mwl J.K Nyere.
Bungeni si mahala pa ukahaba - Msema yote.

KAMA KUNA MBONGO MUVI ANADHANI ATATUMIA UMAARUFU WAKE KUINGIA NDANI YA BUNGE TAKATIFU LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ATAKUWA ANAKOSEA, WENDA AANDAE SCRIPT YA MOVIE ACHEZE SCENE YA UBUNGE AU UWAZIRI KWA MAANA HIYO NDIO INAWAFAA WAKINA WEMA TYPE,

MTANZANIA YEYOTE MWENYE AKILI TIMAMU NA ANAEITAKIA NCHI HII MEMA NA MAENDELEO KWA MIAKA KADHAA IJAYO BASI ATAMBUE KUWA TANZANIA TUNAYOITAKA, INAYOFANANA NA RASILIMALI ZILIZOPO HAIWEZI LETWA AU JENGWA KWA HOJA ZA "ACTION/CUT", BALI KWA KUCHAGUA WATU SAHIHI WENYE UWEZO WA KUJENGA HOJA NA KULETA CHANGAMOTO ZA KISIASA, UCHUMI NA KIJAMII KWA UJUMLA NA SI WALETA CHANGAMOTO KWA USHINDANI WA KUABADILI STYLE ZA UKAHABA KAMA WABONGO MOVIES.

BINAFSI NACHUKIZWA NA WABONGO MOVIE KAMA WEMA TYPE WANAODHANI UMAARUFU WAO UTWAFIKISHA BUNGENI, WATANZANIA WATAMBU TUNACHAGUA WATU WANAOKWENDA KUTETEA WANACHI NA KUPIGANIA MASLAI YA TAIFA KWA UJUMLA, NA SI WATAKA WANAO KIMBILIA POSHO KAMA BONGO MOVIES.

IFIKE WAKATI WATANZANIA TUTAMBUE TUNATAKA NCHI YETU IENDE MBELE NA SI KURUDI NYUMA, KAMA MTU KASHINDWA HATA KUJISIMAMIA AU KUJIONGEZA YEYE MWENYE ANATAKA KUSIMAMIA WENGINE UNADHANI ATAWEZA KWELIII?????,

WEMA HATA KUJISIMAMIA HAWEZI KAZI YAKE KUHONGWA ILI MAISHA YAENDE LEO HII ANATAKA KUWAKILISHA WANACHI BUNGENI... LIKE SERIOUSLY?????? NO... NONONO.... HELL NO THAT'S IMPOSIBLE, WEMA TEAM'S AND LIKE HER TYPE SHOULD FOCUS ON MOVIES NOT POLITICS, THEY HAVE FAILED TO BE A SOCIETY MIRROR, HOW COULD THEY REPRESENT MAJORITY IN THE PARLIAMENT?????

AS Msema yote NTATAKA TANZANIA IINGIE KWENYE GUINESS BOOK KAMA NCHI YA MAAJABU KULIKO NCHI YOYOTE DUNIANI.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli hapana!#Wemasepetu hafai kabisa kuingia kwenye bunge letu tukufu!mbunge gani ana matattoo mwili mzima?? Dinazarde mzurimie
 
Last edited by a moderator:
Wema sepetu anacho jaribu kukifanya kisiasa kinaitwa "muscle flexing" anajaribu aone kama anaweza


Yaani ndiyo ajaribu kuona kama anaweza kuwaongoza watanzania? Huu si mchezo ama bongo muvi ya kuwa kila kitu feki..ninachoona mimi ni kwamba kachoka kuchezewa location na sasa anataka kuhamisha ufuska wake bungeni. Akishinda Wema I can assure you tutachekwa sana na majirani. Fikiria mtu hana akili na shule alishindwa kule Singapore leo hii aje kutunga sheria ya nchi, inakuja kichwani kweli?
 
Natafakari sana siku ya kura, nipoteze muda wangu nipange foleni kisha nipuge kyra, waibe kura kina sepetu wema waje kuingia bubgeni, kamwe sitafanya huo ujinga.
 
Wema amezidi kwa kashfa, nina picha za wema akigegedwa, je anafaa kuwa mbunge?

Zipo wapi mkuu?
Ni lazima mjue nzi hupatikana kwenye kinyesi au palipo pachafy sana.
Sasa mnashangaa nini Wema kuwa CCM na kutaka kuwa mbunge wa VITU Maalum?
 
toa hoja za kufanya usimfagilie, mi naona kama mtanzania tena kijana mwenye akili timamu anaaweza tena sana, wamekaa wazee na wameweza sembuse wema. usimjudge mtu kwa kumuangalia mpe nafasi uone uwezo wake.
 
take it easy wema,,,,
mara oooh kashfa mara oooh picha za kugegedwa.....
kwan mmeambiwa anagombea utawa(sister)?
keep it up kwan wapo wenye kashfa mara mia ya kwako,,
Gombea tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom