Dodoma: Hawa ndio Wabunge wa Upinzani walioko Bungeni 2020-2025

Shining Light

JF-Expert Member
Jan 8, 2024
214
291
Wabunge kutoka Zanzibar
  1. Omar Ali Omar (ACT) - WETE
  2. Khalifa Mohammed Issa (ACT) - MITABWE
  3. Maryam Omar Said(CUF) - PANDANI
  4. Mohamed Said Issa (ACT) - KONDE
  5. Seif Salim Seif (CUF) - KUSINI PEMBA
  6. Salum Mohammed Shaafi (ACT) - CHONGA
Wabunge kutoka Tanzania Bara
  1. Shamisa Aziz Mtamba (CUF) - MTWARA VIJIJINI
  2. Aida Joseph Khenani ( CHADEMA) - NKASI KASKAZINI
Viti Maalum
  1. Halima James Mdee (CHADEMA) - VITI MAALUM
  2. Grace Victor Tendeya (CHADEMA) - VITI MAALUM
  3. Esther Nicholas Matiko (CHADEMA) - VITI MAALUM
  4. Cecilia Daniel Paresso (CHADEMA) - VITI MAALUM
  5. Ester Amos Bulaya (CHADEMA) - VITI MAALUM
  6. Jesca David Kishoa (CHADEMA) - VITI MAALUM
  7. Hawa Subira Mwaifunga (CHADEMA) - VITI MAALUM
  8. Tunza Issa Malapo (CHADEMA) - VITI MAALUM
  9. Nagenjwa Livingstone kaboyoka (CHADEMA) - VITI MAALUM
  10. Sophia Hebron Mwakagenda (CHADEMA) - VITI MAALUM
  11. Kunti Yusuph Majala (CHADEMA) - VITI MAALUM
  12. Anatropia Lwehikila Theorest (CHADEMA) - VITI MAALUM
  13. Agnesta Lambert Kaiza(CHADEMA) - VITI MAALUM
  14. Nusrat Shabaan Hanje (CHADEMA) - VITI MAALUM
  15. Asya Mwadini Mohammed (CHADEMA)- VITI MAALUM
  16. Felista Deogratius Njau (CHADEMA)- VITI MAALUM
  17. Stella Simon Fiyao (CHADEMA) - VITI MAALUM
  18. Salome Wycliffwe Makamba (CHADEMA) - VITI MAALUM
  19. Conchesta Leonce Rwamlaza (CHADEMA) - VITI MAALUM
 
Hapo hesabu zilikaaje ,wabunge viti maalumu 19 na wote ni wa CHADEMA ambao wana mbunge mmoja tu wa kupigiwa kura , ufafanuzi wataalam wa siasa hapa
 
Ili upate mbunge wa viti maalum ni lazima kura za wagombea ubunge wako zifike asilimia 5 ya kura zote za ubunge Tanzania.

Mfano waTanzania million 10 walipiga kura ya kumchagua mbunge. Hivyo basi chama chako lazima walau kipate kura laki 5 ili kifikiriwe viti maalum.

Sasa basi CHADEMA licha ya kupata jimbo moja lakini wagombea wake wa ubunge nchi nzima walipata kura zaidi ya million 3 ambazo ni kama asilimia 20% ya kura zote za ubunge.

Sasa unapataje 19? Mfano nafasi za viti maalum ni 100 ina maana utapewa pia asilimia 20 ya viti, ambazo ni viti 20.

Kwa upande wa ACT ina wabunge wa majimbo kama 4 ile 2020, ila unakuta majimbo waliyoshinda ni ya zanzibar ambako unakuta jimbo lina wapiga kura elfu 5!! Cha ajabu mtu kama Sugu anapata kura zaidi ya elfu 80 ila hashindi jimbo!! So utaweza ona kura za chadema ni nyingi kuliko ACT ndio maana viti maalum vinatoka chadema na sio ACT yenye wabunge wengi zaidi wa majimboni.

Cc: Pascal Mayalla
 
Naunga mkono hoja, thanks kwa elimu hii!.
P
 
Back
Top Bottom