Maono: Wema Sepetu kuolewa ndoa ya Kikristo

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,514
Hayawi hayawi sasa yatakuwa kwa yule mrembo wa Tanzania Wema Sepetu.

Yale ambayo yatafurahisha wapenzi wa mlimbwende huyu yanakwenda kuwa.

Ni yapi hayo! Ni Yale ya kuvaa shela jeupe tena na ndoa ya Kikristo.

Naliona maono mrembo huyo akitoa taarifa kwa watu kuwa anakwenda kuolewa katika kanisa.

Katika maono hayo niliona mrembo huyo akitaja hadi mtumishi atakayefungisha ndoa yake.

Naliona pia akionesha mkono wake na kusema kwa lugha ya kingereza " I make it"

Mwisho wa maono hayo kwa Tanzania sweetheart kama anavyojiita.

Kila la heri Wema Sepetu katika ndoa yako.

Mungu ni mwema amekutendea.
 
'I make it' akiwa anamaanisha nini?
 
Secta ya kuwa nabii tapel kwa miongo mingi wanawake mlikuwa nyuma .naona sasa mnamuamko
 
Ni neema tu ya Mungu, Kuna wakati nilikuwa najiuliza mimi Donatila nimekuwaje...

Ukiniona Sasa nilivyo

Naona vitu hata vya nchi..

Mungu mwenyewe kapenda na mimi napokea kwa Imani.
 
Back
Top Bottom