kat.ph
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,222
- 1,675
Sio mnyaturu huyo....ni MNYAMWEZIEti apewe kwanza halua ndo ameze dawa
Nyani Ngabu pita hapa umuone Mnyaturu live
Sio mnyaturu huyo....ni MNYAMWEZIEti apewe kwanza halua ndo ameze dawa
Nyani Ngabu pita hapa umuone Mnyaturu live
Unaenda wapi mkuu? Naona unapita
Mama Mnyaturu baba mzenjiSio mnyaturu huyo....ni MNYAMWEZI
Eti apewe kwanza halua ndo ameze dawa
Nyani Ngabu pita hapa umuone Mnyaturu live
Hiyo camera kama vile imetegeshwa ndo maana hakimbii mbali ha ha ha ha haAnatutia aibu sana watu wa Singida. Ucelebrity wa hivyo hata si utaki. Hivi nani huyo kwanza anaeweza kushika camera kuwachukua hiyo clip. Nimeishia kumhurumia tu. Mungu amsaidie ajitambue, vinginevyo sitakuja kushangaa nikisikia amekua teja.
Hivi huyu Wema ana umri gani kwa sasa? Kuna familia zinapata fedheha hadi basi duu
Hapana....mama mnyaturu baba MNYAMWEZI.Mama Mnyaturu baba mzenji
Mhh kila kitu kwenye maisha ya wema ni utata, umri, kabila, maisha vyote huwa havielewekiHapana....mama mnyaturu baba MNYAMWEZI.
So binti ni mnyamwezi. Mzee alipelekwaga tu zenj kufanya kazi
Vitu vingine bana teh anafanya mwingine ila aibu unahisi wewe. Mi nikiangalia hii clip naona aibu asee ha ha ha ha ha
Hata mie nilikua naona aibu mwenyewe!
Duh........ wizi si lazima wa kupora watu simu zao tu jamani. Huku anaambiwa nataka halua mwingine ataenda kuambiwa nataka Vogue. Tabu kweli kweli.
Kwani halua ndo kitu gani ati wengine ndo kwanza tunaskia