Wema Sepetu anavyomdekea Idris Sultan chumbani

Hivi huyo ni mgonjwa kweli?

Aiseee, Wema kiki zimeisha anatafuta kiki kwenye ugonjwa? Ama kwa hakika hii kazi ya usanii inaathiri mpaka maisha ya kawaida ya msanii mwenyewe.

Sasa huyu hapa sijui kweli anaumwa Sijui anaigiza?!! Yaani ni ufeki tu mwanzo mwisho.

BACK TANGANYIKA
umeona eenh? yn umemaliza klaktu sona haja ya kuongezea ktu.
 
Ha ha ha ha ha kwamba hawezi kunywa vidonge mpaka aweke ndani ya haluwaaa....Ee Mungu tusaidie,nina bint wangu pekee....Mungu muongoze awe mwanamke mpiganaji na kioo chanya cha jamii,Wakati mimi nikiwa mavumbini,taswira yangu ibakie kwake kwa maneno na matendo ya mfano...

Nafikiri kuna uhusiano mkubwa sana wa maombezi ya kiroho/dua kati ya mzazi na mtoto wakati akiwa bado mtoto....Kuna haja ya kufunga na kuomba katika kuwaombea watoto zetu maisha ya baadae tutakapokuwa mavumbini!!

Huyu Wema siyo yule wa 2006 pembeni ya Jokate na yule Mjita wa Mwanza....Ama hakika nuru imeingiwa na kiza kabla ya muda wa machweo!!
asante kwa maneno mazuri.
 
Masikini Bint Sepetu kamaliza kiki zote sasa anadhalilika hivi..huyu Idrisa hana ndugu? Mambo ya aibu haya
 
Back
Top Bottom